Sasa mtu analia unaendelea kumhoji? Halafu unamuuliza anamkumbuka baba yake kwa lipi, hilo ni swali?😂😂😂
@zainabumalekela29385 сағат бұрын
Pole sana mwanangu kwa huu msiba mkubwa wa mzee mpe pole sana mama na ndugu zako. Mimi ni mama malekela. Tuzidi kumuombea mzee akapumzike sehemu sahihi.
@morinerwehumbiza24085 сағат бұрын
Waandishi wa habari sijui kama huwa mnasoma comments? Watu wanapofiwa muwe mnawapa privacy kidogo, hasa wakiwa bado wanaomboleza. Mnaweza mkawaomba interview baadae wakishapoa. Let them grieve in private bila kuwawekea makamera usoni.
@Mkonkotolyo11 минут бұрын
Wafiwa wenyewe wanataka na wengi wanauza sura,kama hutaki unawaambia sitaki niacheni.Hawawezi kukulazimisha
@MosesKaaya3 минут бұрын
Waandishi ????
@Aida-qh3jq2 сағат бұрын
Poleni sana wafiwa mwenyezi mungu awatie nguvu
@Timoclement5 сағат бұрын
Waandishi wa ovyo sana pole sana Dada
@Kingstonbagamoyo3 сағат бұрын
Poleni sana wafiwa wote ,,wasanii wa mziki wote Poleni sana,tupo pamoja
@halimamasai22346 сағат бұрын
Pole dada lakini kilio na mikope hayo haya
@kamarhelo5 сағат бұрын
Nakwambia na makucha kabisa
@boscokikoti5 сағат бұрын
Hatari..anagezitoa
@EdwardKabologo-e2i5 сағат бұрын
Kumbuka huyu ni mkristo din yetu haina masharti makali kias icho. Kwaiyo ni Ruksa!
@lainessmwombeki79195 сағат бұрын
Kwa hiyo mnauchungu kuliko Jesca 😂😂😂
@emmanuelsunday83255 сағат бұрын
@EdwardKaboUkristo hauruhusu mavitu ya bandialogo-e2i
@evaamedeus4305 сағат бұрын
Pole sana mumy
@shyfettymtunda46196 сағат бұрын
Pole sana kwa kuondokewa na baba.😢
@sharifabahar99055 сағат бұрын
😢😢😢pole sana msiba sikia kwa mtu tu watu wanakazi kusema toa kope uo muda unatoa wapi kwanza atakope uoni nilivaa chupi kichwani mm 😢😢mwanangu nilivyo mpoteza miguuni sina ndala natembea sijui atakwangu wapi
@SabrinaCute-r2w3 сағат бұрын
Msiba wa baba mzazi na mikope kweli jmn mmh ungezinyofoa tuu na mikucha ungeing'ata ng'ata na meno itoke tuu kwa uchungu😢mzazi anaumaaa kama nimekosea mnisamehe 😭😭😭
@marrycloudey79383 сағат бұрын
Mmh jamani kama alikuwa kaweka kabla ya kuwa na msiba ayanyofoe au
@marrycloudey79383 сағат бұрын
Kwanza ukishafiwa huwezi kumbuka kama unakope au makucha
@shaelshael2191Сағат бұрын
Ni mkristo huyu sio muislam
@annegunga37382 сағат бұрын
Poleni wafiwa
@DAUDICHITINGA6 сағат бұрын
Kumbe huyu mwenye bar ya kitambaa cheupee huyu mzee alkua ndo baba akee!!daah😭😭😭
@shabanponera2895Сағат бұрын
Hata neno kitambaa cheupe kalitoa kwa baba yake
@tressynkosi5165 сағат бұрын
Pole sana shangazi yangu
@omarmussa57556 сағат бұрын
Pole sana
@FatumaKawawa-e6p55 минут бұрын
Jamani,nyinyi waandishi wa habari hivyo hamuoni c sahihi kumhoji mtu akiwa analia hivyo?
@esthermichael46534 сағат бұрын
Ila waandishi wa habari duh
@Nanah185 сағат бұрын
R.I.P King Kiki, pole sana familia nzima ya King Kiki, jamani ishu ya kope, sioni kama ni ya kuizungumzia hasa, maana msiba unatokea ghafla, mtu hawezi kuanza kuwaza kutoa kope na kucha wakati akili yake hata haiwazi vitu hivyo muda huo, watu wanashinda bila kuoga, kubadili nguo wala kula misibani mpaka wakumbushwe na kuforciwa kufanya hivyo
@sharifabahar99055 сағат бұрын
Wachache sana wataelewa comment yako
@Chimamy52426 сағат бұрын
TOA MIKOPE
@sharifabahar99055 сағат бұрын
Anakumbuka kutoa kope wakati mtu kapoteza baba yake
@otchuwmwinyi88805 сағат бұрын
Ndo na mikope kama unachochea moto
@WivinaFrance-xn3mk3 сағат бұрын
Yaan msiban mikope mikucha duuu ila pole
@shabanponera2895Сағат бұрын
Waandishi ni wapumbavu mno, hamna ubinaadam, hamuwezi kumuacha mtu akaomboleza
Umisha wai kufiwa ukiwa upo kazini utaaenda nyumbani kufata nguo
@JudyLee-hf9cy4 сағат бұрын
Ndo apo wapunguze ujuaji@@sharifabahar9905
@lunangabenjamin31215 сағат бұрын
Ndugu mtangazaji sioni kama ni ustarabu kumhojo mfiwa wakati yuko kwenye emoshion. haya siyo mbaya kujulisha kilio cha mzee kupitiya interviex zenu.ila msiwe mnalenga mfiwa kabisa juu bado hayupo sawa chukuweni hata binamu zake wajomba,shemeki.ila wawapashe habari.polini tena kwa msiba apumzike salama kwenye nyumba yake milele,yeye mbele yetu sisi nyuma.
@dotnatajoseph26203 сағат бұрын
Muacheni jamani mbona waandishi wa habar hamna utu? Mtu amefiwa na mzazi wake nyie ndo kwanza mnazid kumuoji pole sana dada
@gideonkasese92445 сағат бұрын
Tezi dume hii
@FatumaKawawa-e6p54 минут бұрын
Pole sana Jesca na familia yote
@nth35124 сағат бұрын
Hii familia inaleta matatizo kweny jamii, bar kila kona. Mmomonyok wa maadili, mabinti, ndoa hazielewek, udangaji, daah. Huruma sawa lkn hapana. Kwahyo mzee wako atakumbukwa kwa bar za starehe, very sad.
@colletatesha52652 сағат бұрын
Wewe kama unajiona mkamilifu tulia mshukuru mungi
@shabukemakuru6 сағат бұрын
Nyie waandishi wa habar mtu ana majonzi mnakomaa kumuuliza hamjui kufiwa nini