Jaman mwanasimba wenzangu! Kiukweli mm naipenda sana simba najisikiaga raha sana nikiuona uzi mwekundu❤❤❤❤❤
@VicentMkude2 күн бұрын
Pamoja familia ya ubaya ubwela
@Msosingle-p6d2 күн бұрын
Nguvu moja🦁💪
@badopoamusic01532 күн бұрын
Kila la kher Wanajesh wetu singida tutamfunga vyovyote vle Usimamiz na baraka za Mungu Zikiwa Mbele yetu. Mungu simama Vyema Na sisi, (YAA MUTAKABIR)
@israelkisaila84012 күн бұрын
Japo najuwa singida wanaenda kubana sana😢 maana tayari wameshapangwa na yanga aise
@israelkisaila84012 күн бұрын
Mechi inachezwa lini?
@badopoamusic01532 күн бұрын
@@israelkisaila8401 hawawezi Broh Simba Ushindi Ni Lazima Goli Mbili Plus 1
@badopoamusic01532 күн бұрын
@@israelkisaila8401 tr 28
@EsterMjema-n8cКүн бұрын
Tutashinda t
@ShukuruMakoko2 күн бұрын
SIMBA NGUVU MOJA ushindi na tutashinda❤❤
@MirriamChiti-sk3cv2 күн бұрын
mungu ibariki simba yetu Kila siku amen
@MwanaiddSaid-o1d2 күн бұрын
Mungu ibariki timu yetu ya Simba ishinde mechi zote zilizobaki mbele yetu mpaka tuchukue ubingwa mwaka huu
@ZulphaMsangi-s9g2 күн бұрын
Aamiin 🙏
@jessicamasepo8320Күн бұрын
Amen 🙏🙏
@SamsonSamsoni-q9s2 күн бұрын
ilove simba ♥️♥️♥️♥️🦁♥️♥️♥️💪💪💪💪♥️♥️♥️♥️🙏
@LindaMbilinyi-n3nКүн бұрын
Inshallah🤲🤲🤲🤲🤲❣️❣️❣️nguvu moja,ushindi kwa uwezo wa allah
@YustinaMartin2 күн бұрын
Eee mwenyezi mungu wanao tupo mbele yako si wengine ni simba sports club Tunaomba 🙏utujalie afya njema na ushindi mnono sku ya juma mosi trh 28 bila ww baba sisi si chochote maaana maadui ni wengi SIMBA NGUVU MOJA
@RamadhanTsaidy892 күн бұрын
Mungu akubariki nawe unayo iombea simba sc mema na uwe hivyo siku zote...
@jumamangombe64932 күн бұрын
Ee MWENYEZI MUNGU.........Amina
@AminaLibisa2 күн бұрын
Safari iwe njema wapambanaji wetu na mrudi na ushindi Inshallah 🙏❤️❤️
@KhadijaOmari-ec2jwКүн бұрын
Nimefulahi kumuona baluwa
@AminaLibisaКүн бұрын
Barua yupo sijajua Kwa nini hapangwi na ni mchezaji mzuri sana
@KwabinamHardware2 күн бұрын
Simba nguvu moja 💪🔥🔥🔥🦁🦁
@Ommybabaa472 күн бұрын
❤️ BISMILLAH❤INSHALLAH Safar njema yenye Baraka Tele 🇹🇿 🇦🇪
@iddiramadhan2 күн бұрын
Kila la khery mnyama Simba sports club siku ya tarehe 28 Amiinna Rabillah Allah miinnah 🤲
@LesikarEdward-x9h2 күн бұрын
Kila la heri my big team mungu awatangulie muendapo❤❤❤❤
@SetMohamed-i9y2 күн бұрын
Allah's Kareem! Inshaallah.
@WilliamTitus-b7u2 күн бұрын
Together we can. Wishing you all the best my favorite team Simba SC.
@ClemntinaFisoo2 күн бұрын
May almighty bless you
@HelenaMwasunda2 күн бұрын
Mungu mbariki Mpanzu awe na utulivu sisi mashabiki tunampenda asiwe na papara tunamuamini atulie afanye mavitu ya ukweli
@ErickMsodock-w5s2 күн бұрын
Nyie ndo tunawategemea kutupati point 3 muhim Simba nguvu 💪moja
@ShomariMrisho-e3b2 күн бұрын
❤❤❤❤ I love 💕 simba 😢
@mussangalawa24032 күн бұрын
Sipend mashabiki wanaojipendekeza kwa wale machoko wa Uto kuwaona kama wana timu nzuri kutuzid. Tubaki ktk fikra chanya za kuipambania timu yetu
@AllyMwinyi-rx8gr2 күн бұрын
Kwa uwezo wa Allah naamini singida atakula kuanzia 2 na kuendelea tena Sina shaka na Hilo inshallah simba nguvu moya tukutane tarehe 28 paleee liti
@tumaini372 күн бұрын
Kibuuu🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@NyasanaTv-ol4ix2 күн бұрын
wanajeshe wetu tunawaamini sana kapambaneni kwa nguvu zote pia mungu awape wesi katika mchezo mshinde kikubwa dua mungu yupamoja nanyi
@Lazarokidulanya2 күн бұрын
Hapa kibu kule mpanzu, kat jean 10 juu mukwala❤❤❤
@habibalikulo20682 күн бұрын
❤❤❤
@IsackVedasta2 күн бұрын
UBAYA UBWELA 🔥🦁🇹🇿🔥
@AminaIssa-x4pКүн бұрын
Mungu ibariki simba nguvu moja
@KwabinamHardware2 күн бұрын
Wa kwanza
@GatesMakoi2 күн бұрын
Dada LOVE Babo
@jamesraphael95812 күн бұрын
Ni unyama ubaya ubwela ❤
@manmanonline63942 күн бұрын
Ubaya ubwela ❤❤❤❤❤
@JemsiMokya2 күн бұрын
Wenzangu was msimbazi nawatakiya Kila la heri timi yetu mungu awatangulize na ushindi was pointing tatu dakika zote zakwanza na zamwisho
Shomary master naamini mwenyezi mungu anampa amtakae kwawakati wake avyo ona unastairi kupata Simba tunastairi mwakahuu wewe Kama umenuna nunagauko
@JoyceJoseph-q4wКүн бұрын
Kila la kher wana Simba mung awe nanyi 🙏🙏
@Husna-jf5qg2 күн бұрын
❤❤❤❤🎉🎉
@GatesMakoi2 күн бұрын
Babo Justine SIRITO MAKOI LEO Dada VAI MAKOI LOVE Babo Dada LUCY MAKOI LOVE Babo SIMBA 5 LEO 🏆🏆🥇🥈🥉🏅🎖️🏅 SPOr pesa polisi
@JordanMethod2 күн бұрын
Safari njema ubaya ubwela kama kawaida Mungu awatangulie
@Salimramsey-x8u2 күн бұрын
Mungu awatangulie
@ernestkamata25552 күн бұрын
Tuisupport team kwa kila namna naamini Singida anakufa tu bila shida
@nyanzigenyanzige2 күн бұрын
MUNGU Awalinde jaman ushindi kwenu
@honesthenry9012 күн бұрын
Hamjatoa list ya wachezaji walioenda singida
@petermchome84692 күн бұрын
Tunawaamini kwamba mtapambania nembo ya SimbaSC#simba Nguvu moja#ubaya ubwela#
@bestman36512 күн бұрын
Ule u sharp wa Kagere na Okwi kwenye kupiga kambani bado sijauona, jitahidini straika wetu❤
@nilmadaudi9358Күн бұрын
Kila la kheri wapambanaji wetu 🦁
@JumaRashidi-fu6yy2 күн бұрын
❤❤❤🙏🙏🦁🦁
@assifiweramadane6222 күн бұрын
Semaji??
@philemornmutta15972 күн бұрын
Tunacheza na baba na mwanae kesho watake wastake watapgwa tu pamoja na ahadi walizoahidiwa
@BigkassimКүн бұрын
Tim yangu simba
@imanimwambagi81762 күн бұрын
Ubaya ubwela
@GatesMakoi2 күн бұрын
😘😘🥰🥰😍😍🤩🤩🥳🥳
@DeborahAthuman-dk8tr2 күн бұрын
Mungh Ibarik simba ikapate ushindi
@vumiliamgendi1482 күн бұрын
Jamani semaji letu la caf liko wapi mbona hatulioni
@OmaryKiduka2 күн бұрын
Waoeni nafas kamati
@anithawidambe75432 күн бұрын
MUNGU TUNAOMBA WALINDE WACHEZAJI WA SIMBA WABARIKI WAPATE USHINDI KILA MCHEZO AMINA.
@Namtumbo2 күн бұрын
Kushinda nilazima
@jumamangombe64932 күн бұрын
Siyo lazima, tafadhali usilete maneno ya kiuwendawazimu na kufuru kwa Mwenyezi Mungu. Uwe mcha Mungu. Mungu aisaidie timu yetu ya Simba SC ili ishinde na wachezaji wote wa timu zote wamalize mechi salama! Amina
@BeatriceZakaria2 күн бұрын
Semaj semaji semaji letu liko wapi mbona atuna taalifa yeyote ya kuhusu semaji atujazoea kukaa kinuonge ivi bila kumsikiliza semaji na kumuona semaji tunataka tujue yuko wapi toho zetu zitulie
@vannie-gggg2 күн бұрын
Ahoua anaongea na nani jamani ananipa presha😂😂
@MizaDaniel-g5n2 күн бұрын
Mung ibarik simb yet jmn
@Alhawari-w2bКүн бұрын
Simba huwa mnazarau baazi ya timu ndio Maana mnapata matokeo yakubahatisha mda mwingine, mfano mechi iliyopita 😢😢😅
@mungeresiti529415 сағат бұрын
Hizo jezi zenye kola mbn hazisambazwi?
@ShabrinSshemoka2 күн бұрын
Mungu mkubwa tuta shinda nahii pia
@mrishojuma46952 күн бұрын
Nendeni mkapigwe goli mbili tu zinawatosha naamini mtapigwa Ee Mungu jalia yapigwe goli mbili bila kwamaana yananunua marefa saana lakini mpira hayajui
@EsterMjema-n8cКүн бұрын
Kibao kitawageukia nyie
@GatesMakoi2 күн бұрын
🧔🧔
@GatesMakoi2 күн бұрын
🤱🤱🎂🎂🍽️🍾🍾🥂
@anithawidambe75432 күн бұрын
NENDENI MKAPAMBANE KWA JASHOA DAMUMPATE MATOKEO KWA UWEZO WA MUNGU ITAKUWA
@AbubakarPatrick-q1zКүн бұрын
Vp kibu D atakuwepo?
@GatesMakoi2 күн бұрын
🫡🫡🤓🤓😎😎
@geraldbagole4494Күн бұрын
Rupia ndio wa kutazamwa zaidi,weka beki mwenye nguvu na akili atembei.Mechi laini kabisa.Simba anashinda 2.😂
@PendoMatemba-ql1ng2 күн бұрын
kama wameanza kuwaloga na nyie mkaloge jamani jkt tungekosa Alama embu jitaidini siyo sisi wa kutoka na penat hii ni Aibu kubwa sana
@LucasRuben-x1t2 күн бұрын
Aibu ya nn
@jumamangombe64932 күн бұрын
Mungu akusamehe na asiipatilize simba sc na uovu wako huu amen. Mungu atusaidie simba sc
@GatesMakoi2 күн бұрын
YANGA 0 mtoto
@NyasanaTv-ol4ix2 күн бұрын
naomba mungu awape wepesi katika mechi hiyo mshinde kikubwa dua tu
@SamsonSamsoni-q9s2 күн бұрын
👏👏👏👏👏👏👏🦁🇹🇿♥️♥️♥️♥️♥️💪💪💪💪💪🙏🙏
@Ommybabaa472 күн бұрын
❤️ BISMILLAH❤INSHALLAH Safar njema yenye Baraka Tele 🇹🇿 🇦🇪