JESUS B - ACHA KUTESEKA NJOO NGOMENI KWA KIBOKO YA WACHAWI

  Рет қаралды 9,792

NGOME YA YESU KRISTO

NGOME YA YESU KRISTO

Күн бұрын

Пікірлер: 30
@LizyBaby-cm1sd
@LizyBaby-cm1sd 26 күн бұрын
Yesu wangomeni tumeteseka sana mimi family yangu kielimu kiuchumi Nandoa kati ya Watoto kumi na moja kila Aliesoma Inaishia njiani wangine wanapata magonjwa Yakuanguka kiuchumi ndoo 0 Baba koani mussa tuombe wazazi wangu wamechekwa sana bola wasinge zaaa
@rebeccakibona
@rebeccakibona 27 күн бұрын
Bwana. Yesu. Atukuzwe ngomeni ni faya. Faya. Ushauli tunaomba. Kwaya inapokuwa madhabauni kuimba wanevaa sale wanajisikia kuimba wawe wanakaa pembeni bila. Kuwatinga wambaji bwana Yesu atukuzwe
@SaraJohn-s4d
@SaraJohn-s4d 2 ай бұрын
Yesu wa ngomeni ni nuru Hali nawapenda wote ❤❤
@AllanKalu-y3u
@AllanKalu-y3u 9 күн бұрын
Haki I love this song 🇰🇪
@ChanceLuhembo
@ChanceLuhembo 5 ай бұрын
Baba tusaidiye mimi nawatoto wangu tunateseka nawachawi naitajimusaada wamaombi baba wabintiyangu wapate mandowa nabarikikaziyamikonoyangu byashara
@ZamoyoniTina
@ZamoyoniTina 4 күн бұрын
🔥🔥😍
@ZilipaBalalu
@ZilipaBalalu Ай бұрын
YESU KRISTO MUNGU AKUBALIKI SANA KUHANI MUSA
@majaliwamassawe
@majaliwamassawe 5 ай бұрын
tukashinde kwa kishindo nam nishuhudie matendo makuu ya yesu wa ngomen
@judithanthony2690
@judithanthony2690 4 ай бұрын
Jesus B huu wimbo ni 🔥 🔥
@ZamoyoniTina
@ZamoyoniTina 4 күн бұрын
🏃‍➡️🏃‍➡️🏃‍➡️
@judithanthony2690
@judithanthony2690 4 ай бұрын
"Kimbia kimbia kwa Kuhani Musa kiboko ya wachawi" 👏 👏 👏
@HellenSebastian-d7s
@HellenSebastian-d7s 2 ай бұрын
Naupenda sana huu wimbo jmn
@AllyMuchali
@AllyMuchali 5 ай бұрын
Naomb yesu wang'omen unione namm p1 na famly yng
@majaliwamassawe
@majaliwamassawe 5 ай бұрын
nimetesek sana baba tusaidie hii kes iliyok mbeleyet mama mkwe kutupeleka police hatimae mahakaman sabab kubwa tunamharibia mambo yake
@hazelsoko1594
@hazelsoko1594 5 ай бұрын
YESU KRISTO WA NAZARETH MUGU MKUU NURU HALISI AWATUNZE, JESUS B.... WELL DONE
@FrumenceBoniphaceMasero
@FrumenceBoniphaceMasero 5 ай бұрын
Acha kukimbia kimbia kimbia njoo ngome kwa baba lao
@GraceSambula
@GraceSambula 4 ай бұрын
Yesu niunganishe na ngome ya Yesu kwa jina la yesu
@HamidaFrancis-f6c
@HamidaFrancis-f6c 5 ай бұрын
Hongera baba Kuhani kwa kazi nzuri
@DaudKaifai
@DaudKaifai 3 ай бұрын
Jamani akuna ngome inayo toa nyimbo kama kanisa hili na kama lipo niambieen❤
@iddyally1029
@iddyally1029 2 ай бұрын
Hakuna
@RamaMuhando
@RamaMuhando 4 ай бұрын
Kimbia❤❤❤
@AnnaMzava-o2j
@AnnaMzava-o2j 5 ай бұрын
Nyimbo nzr sn yesu awainue zaid
@marykifolo1252
@marykifolo1252 5 ай бұрын
Yesu wa ngomeni nitetee mimi na watoto wangu.wachawi wanacheza maish ya familia yangu.yesu nikomboye.
@SaipeiSendeu
@SaipeiSendeu 5 ай бұрын
BABA WANGOMEN MUSSA Naomba maombi yako baba wangu
@Emanuelkitege-dd2tc
@Emanuelkitege-dd2tc 5 ай бұрын
Madogo wameupiga mwingi🙌🙌🙌
@SeciliaLaswai
@SeciliaLaswai 5 ай бұрын
Njoo ngomeni ndo kilichobaki tu🎉
@pillyramadhani3726
@pillyramadhani3726 5 ай бұрын
Swala ni moja tu ,kukimbia 🎉
@ChanceLuhembo
@ChanceLuhembo 5 ай бұрын
Ndio baba nasisi tusahidiye kwamaombi wachawiwanatusumbuwasana
@anitabarnaba
@anitabarnaba 5 ай бұрын
Hapo Sasa weeeeeeeeee
@tabitaluka2142
@tabitaluka2142 5 ай бұрын
Yesu wangomeni nimeteseka. Baba. Nimekuja kwako yesu wangomeni nione baba yangu mimi mwanao nimetengwa kiroho hatakimwili.miaka.minane nipo America 🇺🇸 sijapata gari
MAKUHANI KWAYA  - UINULIWE MFALME
8:44
NGOME YA YESU KRISTO
Рет қаралды 27 М.
JIUNGAMANISHE NA MAOMBI YA UFUNGULIVU
1:53:22
NGOME YA YESU KRISTO
Рет қаралды 16 М.
Lamborghini vs Smoke 😱
00:38
Topper Guild
Рет қаралды 56 МЛН
Players push long pins through a cardboard box attempting to pop the balloon!
00:31
MAOMBI YA KUONDOKANA NA NYAKATI MBAYA ZINAZOKUANDAMA
19:47
NGOME YA YESU KRISTO
Рет қаралды 39 М.
NACHOTAKA NIWE / NIKIWA NAWE NITASHINDA/ MUNGU MWENYE ENZI/USINIPITE MWOKOZI #subscribe #GuzaTv,
1:01:53
𝗚𝘂𝘇𝗮 𝗧𝘃. (𝑻𝒐𝒖𝒄𝒉𝒊𝒏𝒈 𝒍𝒊𝒗𝒆𝒔)
Рет қаралды 547 М.
MAKONDA NA POLISI ALIYEMPIGA BIBI NYUMBA ARUSHA KWA LAK 5
12:16
CHAMPION TV
Рет қаралды 175 М.
MAKUHANI KWAYA - NIMEKUJA NA MAUA
17:44
NGOME YA YESU KRISTO
Рет қаралды 54 М.
JESUS B  - SISI NA KUHANI MUSA
14:28
NGOME YA YESU KRISTO
Рет қаралды 2,2 М.
MUME WA JINI ANASWA KANISANI BAADA YA UNABII
11:57
NGOME YA YESU KRISTO
Рет қаралды 63 М.
RABI KWAYA  - NJOO UJIONEE
8:58
NGOME YA YESU KRISTO
Рет қаралды 6 М.
Lamborghini vs Smoke 😱
00:38
Topper Guild
Рет қаралды 56 МЛН