AMEN MUNGU WETU UNATUPENDA SANA SISI TU WAKOSAJI KWAKO UENDELEE KUWA NASI BABA🙏
@MikeSimiyu213 сағат бұрын
Mungu najua ulikuja ju yangu naomba uwe nasi vile vile ulivyo kuwa na na mtumishi wako elisha pamoja na anna,tunakutegemea kwa lolote kwenye maisha yetu maana tuko kama kipofu mbele yetu 🙏🙏
@ZulehaHassan9 ай бұрын
Asante Mungu kwa kumtoa Yesu kwa ajili yetu
@JacksonMulata10 ай бұрын
Amen yesu ndiye kimbilio langu
@mohamedisimaiАй бұрын
Leo nimemuona mungu wa wakristo amempa kipigo mungu wao sema yy anasema ana bwana wake
@AffectionateFoliage-oc1jk Жыл бұрын
Yesu kristo ndiye mwamba wangu imara sitaogopa katika magumu yote yeye ni msaada tele.
@MagdalenaNyangalima10 ай бұрын
Bwana Yesu uliteseka Kwa Ajili ya dhambi thanks God for everything ❤❤❤❤
@abdab84669 ай бұрын
Magdanella,umesahau ile nyimbo,kila mtu atachukua mzigo wake mwenyewe siku ikifika,yesu alikua Hana dhambi atateseka vipi,hakuna kumpa mzigo yesu ,wakiristo wanafanya dhambi kisha mnambandika yesu,nikuulize Magdalena mtoto wako akifanya makosa ,atakae shikwa au kushtakiwa ni wewe au mtoto wako
@GabrielRamazani-e9u3 ай бұрын
Mtoto ni Mtoto kuna upendo Kati ya mwana damu na upendo wa Mungu kwetu
@Ramsonimuzungu10-i7wАй бұрын
Poa🎉
@RutaClarisseАй бұрын
Le Français manque de temps en temps
@RutaClarisseАй бұрын
🧐🧐🧐hum hum
@josfinnor Жыл бұрын
Mungu ni wewe tu mungu wangu nautabaki kua mungu tukatika maishani mwangu pamoja na usao wgu na usao wetu
@sifaelmbaga789626 күн бұрын
Eee mungu wangu Nipe moyo wa kuwapenda wanao nichukia ❤❤
SALOME niombee maisha yangu na kemboi ni mume wangu wa maisha
@Jeniferswaibu2 күн бұрын
❤❤❤❤sina cha kusema zaidi kwake baba yangu zaidi ya asante tunaishi kwa neema yake nampenda ,yesu❤❤❤❤❤❤❤ 4:24
@KomboJuma-oj3qc Жыл бұрын
🙏🙏🙏 nakupenda sana yesu wangu unikumbuke sikuyangu ya mwisho mbinguni tukafurahie sote kwa baba
@نيماخميس2 ай бұрын
Emungu,wangu nakushukuru kwa Kumutoa mwano kujakutuokoa.
@BISHOPUCOMMEDY2 ай бұрын
Yesu kristu 🙏 nakupenda Sana
@ياسمين-ض6ج6ش Жыл бұрын
Eeee mungu sisikii vizuri nahitaji uzima na kila maumivu ninayo sikia yatoeke kwa jina lako
@HappyDalmatian-uu8zw10 ай бұрын
SALOME Thanks jesus for protect me and my family I lov u jeses❤❤❤❤❤
@shelyboyshely2928 Жыл бұрын
Ameen ubarikiwe sana yesu yani mpaka chozi limetoka
@mohamedisimaiАй бұрын
Usiwe mjinga huyo mungu wako yupo Ungereza ana enjoy ela zake ww kilimo cha upuuz
@bentskahindi Жыл бұрын
Mungu naomba maisha yangu uniongoze wewe pamoj n familia yangu tuokoe tuhurumie n utuokoe
@RutaClarisseАй бұрын
🙏🙏🙏amen
@mohamedisimaiАй бұрын
Hapo alipo yy kapigwa mijeled atukusaidia je acha upofu
@RodgersMulongo10 ай бұрын
Yesu kristo wewe ndio mwokozi wa maisha yangu , mwenye Dhambi naomba uniokoe hadi siku źangu za maisha yangu yote
@davidmzia54469 ай бұрын
Mungu azidi kunilinda na kuniokoa mimi na familia yangu siku zote za maisha yetu na tuikiri Imani siku zote na tuione pepo Amen.
@ZuwenaBaruti8 ай бұрын
Were ndehe baba wangu tu na Sema Asante sana kwa Kazimierz yako
@Stamili4147 ай бұрын
Amen 🙏
@WisdomMuhoza7 ай бұрын
Uco wapi Uco binguni
@levocatuspjohn86387 ай бұрын
Lakini huyu sio YESU KRISTO ni muigizaji tu
@emillyzeeh117310 ай бұрын
Yesu nimuchungaji wangu sitapungukiwa na kitu ❤❤❤❤❤❤ l love Jesus Amen Amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏➕
@KokusimaJohn22 күн бұрын
I love youJesus
@HelenZawadi-os4zz Жыл бұрын
Eeh yesu wangu untiaye nguvu unipaye ujasiri nkupenda sana Baba yngu stakuacha had sku z maisha
@rahabmausli418310 ай бұрын
Mwana Wa Mungu Kijana wangu anaugua ugojwa Wa Vigo nakuoba umponye na umsamehe makosa Yake mfungulie Milango yanjera Kama Ulivyo fungulia Paul Na Sila Nakwamini Mwana Wa Mungu Amen 🙏🙏
@MikeSimiyu213 сағат бұрын
Yuko yuko nawe pia na yule mtoto wako iwapo jipe imaani yatosha atakupigania kwa lolote lile 🙏🙏
@MiriamMukasa Жыл бұрын
Yesu mwana wa mungu ni mkuu ndani ya maisha yetu imeandikwa tusiwe watu wa kujaribu mungu kwa vitendo vyetu jina la mwokozi litazidi kuinuliwa Ameeeeeeen
@Saymalegi8 ай бұрын
Amenn
@GabrielRamazani-e9u3 ай бұрын
Amen
@ZaanZeen-j6d8 күн бұрын
Ameen.Ameen. mungu.aliteda.makuu.sana.mungu❤❤❤❤❤
@KukirwaAisha Жыл бұрын
Buli kimu kisoboka bwokiriza kristo yesu mukama waffe❤❤❤❤❤
@MarkBarasa-l6z15 күн бұрын
Amen amen amen Baba yetu uliobiguni tusamee mangosa yetu
@VeroMuge Жыл бұрын
Thank you god ww ndie jia yetu utusamee tambii zetu mungu
@IreneGarimoshi15 күн бұрын
Ee yesu mwema unisikilize ibaliki ndoa yangu isivunjike idumu siku zote za maisha yetu mimi pamoja na mume wangu na family yangu Amina 🙏🙏🙏
@ioicemauda4604 Жыл бұрын
Kwa kweli Yesu ndio ufufuo na uzima. Asanti mungu kwa kumtuma mwanao afe kwa ajili ya dhambi zetu .amen 🙏🙏🙏🙏
@raphaelaugustino40410 ай бұрын
Yesu ndiye yule jana na hat millele tumwamini yy by babu jonathani j lusinde ubarikiwe na akulinde
@Channelivt9 ай бұрын
Zz
@jessint18 күн бұрын
Yesu ni muokosi wetu ❤❤❤ Amen 🙏🙏🙏
@SarahNyongesa-g2k3 ай бұрын
Yesu asante kwa zawadi ya uhai unao nipa mimi na watoto wangu amen❤❤❤
@florashayo4382 Жыл бұрын
YESU KRISTO ahsantee Kwa kunipenda, kukubali kunikomboa na kunisamehe. Kazi ya kalivari na shukuru. Nashukuru Baba pia na Roho Mtakatifu. Ahsantee pia waliohubiri na kupanda mbegu kwangu. Nawapenda mbarikiwe zaidi
@IbrahimOsundwa-k7t13 күн бұрын
amen
@HariytAsd Жыл бұрын
Amen thanks God love you with only my heart Jesus Christ protect me and my family and everyone that need you lord🙏🙏🙏🙏🙏♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️
@senytasefaun813411 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@kennedyonabo9593Ай бұрын
Mungu maisha yangu na mienendo yangu ziku pendeze
@VictoryBangninga20 күн бұрын
Mungu ninakupenda sana naomba ukaone haja yang moyoni amin
@leonardmhina8983 Жыл бұрын
Napenda sana haya mafundsho ni zaid ya chuo chochote ulimwenguni
@MarymGomah20 күн бұрын
Mungu Maisha yangu na mienendo yangu ziku pendeze 🤲🏻
@emillyzeeh1173Ай бұрын
Mugu Atukuzwe , I ❤❤❤❤❤ you Jesus ,Atukuzwe mwana wa mungu 🙏🙏🙏🙏🙏❤️❤️❤️❤️❤️🇩🇪🇪🇺
Mungu baba yetu aliye juu n hata dunia mfalme wa falme akuwe pamoja nasi milele n milele amen 🙏💖😍
@GabrielRamazani-e9u3 ай бұрын
Amen
@timothysalehe4024 ай бұрын
Mungu tunaomba utusamehe dhambi zetu eeeh Baba 😢😢😢
@MatiMm-x7m13 күн бұрын
Amina, tuombee sisi wakosefu
@PeterEkusi10 ай бұрын
Thank you Jesus for sustaining me and my family.
@AlbertKoy-t4b11 ай бұрын
Uniongoze eebwana kwakila siku ya maishani mwangu duniani popote niendapo. Aaamen !!
@apollobupolo98846 ай бұрын
Yesu nikumbuke mimi nauzao wangu watoto wenzangu wazazi wangu mke wangu eee Bwana wangu kwaniaba yao nabisha mlango wako tufungulie 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@moseswekesa61769 ай бұрын
Nitasimama mlangoni na nibishe kwa yule atakae fungua nitaingia maneno yake yesu ❤❤❤
@FrancisAlubeto5 ай бұрын
Asante YESU kwa kuniokoa na kunisamehe na kunifanya moja ya wtoto uliokwenda kutuandalia makao mapya MBINGUNI HALELUYA
@GabrielRamazani-e9u3 ай бұрын
Amen
@BravoTanganyika11 күн бұрын
Nampenda yesu mwana wa mungu
@josephmiho-bc4or11 ай бұрын
tuji funzeni hapa kwani dunia imefikia pabaya yesu anasuli vizazi vyetu 🙏AMENI
@NahashonMaobe4 ай бұрын
nampendayeyesu wangu kwakilakitumwamin Mungu atakufunguliachia yoyo amen
@MwanaHuseni-jf2lv9 ай бұрын
YESu christo mwamba wangu Kaa nami bwana katika maisha yangu familia zetu ziko mikononi mwako huta tuacha wala kutupungukia nkupa sifa na heshima baabaa uketie mahali pa juu❤❤🙏🙏🙏
@IsaacWafula-kc3fl9 ай бұрын
Mungu wangu,,unasitahili kuabudiwa milele❤
@LeilahAtoo Жыл бұрын
amen...nitamtumikia Mungu siku zote hadi atakapo kuja tuishi pamoja maisha ya milele mbinguni
@Aminaamina-us5yjАй бұрын
Baba wasamehe hawajui watendalo,bwana wangu Yes Chiristo,Mwenyezi Mungu muumba mbingu na inch naja kwako unisamehe dhambi zangu na nakuomba unikumbuke siku utakapo rudi nayakabidhi maisha yangu mikononi mwako na Roho yangu mikononi mwako na umukumbuke mama yangu na ndugu zangu walio wagonjwa ukawaponye kwa jina lako na la roho mtakatifu nimeomba na kuamini 🙏
@CalvinHanta4 ай бұрын
MUNGU ndiye mwokozi wa maisha yangu na ni mlango wa mafanikio yangu naomb unisamehe Mimi mwenye dhambi na kuzifuta dhambi zangu katik kitabu Cha hukumu na kuyaandika mema yangu katika kitabu Cha uzima wa milele Amen. 🙏🙏🙏
@ElenoPaul2 ай бұрын
Ee yesu naomba unisaidie katika family yangu 🙏🙏🙏
@KuvunaGonda-l4f10 ай бұрын
Bwanayesu asifiwe kilawakati yy ndiye mwenyeuponyaji Na mwenye mamlaka emeen 🙏
@katusabeamina7955 Жыл бұрын
Ooh my God, i love you Jesus christ, i put my heart in ur hands protect me , my family, friends and the whole world in Jesus name i pray Amen 🙏. Thank u heavenly Father, for loving us unconditional ❤️ 🙏🙏🙏🙏
@eliasmyamba47672 ай бұрын
Maisha yangu yote nitakutukuba ewe mungu wangu mbaka mwisho wa uhai wangu eemungu nisaidie 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@christinemeri8189 Жыл бұрын
Ooh LORD protect my entire family with your blood AMEN 🙏
@AaAa-zo3yj3 ай бұрын
Rita mungu naomba kupitia kwa haya madhabau Dan na summy wakombolewe kwa jina la yesu kristo amen
@celinapatrick38565 ай бұрын
Ee Mwenyezi Mungu niokoe nifike MBINGUNI AMEN 🙏 Nitakuabu BWANA MUNGU WANGU . NIOKOE MIMIMWANAO 🙏
@IreneKasiti-gg7lo Жыл бұрын
Thank you Lord for your eternal love..Glory be to Jesus Amen
@BubutabafeBubuta14 күн бұрын
yesu na Mimi unikumbuke tangu leo , AMINA
@JabiliYasini10 ай бұрын
Yesu ndie mulinzi wetu sote namupenda sana
@MillyKhasoa6 ай бұрын
Asante mungu kwa kuniokoa kwa mikono ya hibilisi na watu wabaya
@NasriHasan-tv7vy8 ай бұрын
Bwana yesu ningoze kutenda mema siku zote za maisha yangu 🙏🙏🙏🙏
@AaAa-zo3yj7 ай бұрын
Rita yesu unikumbuke kwa hii nyumba unifunike na mapawa yako kwa jina la yesu kristo amen
@chrisostomekaviriryo62856 ай бұрын
Ni naomba filme Rédigeze
@Travelersdiary25525 күн бұрын
Ee Yesu Unikumbuke na mimi kwenye Ufalme wa Baba yetu Aliye Juu Mbinguni nitajitahidi kuishi kwa kumpendeza yeye na sii Ulimwengu huu 🙏
@samuelkatana3361 Жыл бұрын
JESUS AM YOUR SON PROTECT ME AND MY FAMILY FROM ENEMIES AROUND US,ALL DEMON'S TO PASS AWAY AS I USE YOUR NAME 🔥
@judithnanyingi-fg1db4 ай бұрын
Mungu atukuzwe amen 🙏💖
@HappynessJoel5 ай бұрын
Nakushukuru mungu kwakulinda siku zangu zote za maisha yangu endelea kunitendea wwma katika maisha yangu pamoja na ndugu zangu marafiki,majirani,nawengine wote aminaaaaaaaa
@ShubbykmАй бұрын
Nakushikuru sana baba ,kwa yote ulionijalia katika maisha yangu yote familia yangu na ndugu zangu. Aksante sana baba
@KibibiNafac10 ай бұрын
🎉 Amen milele yote nawatuote wakakujuwe kuwa wewe ndiwe Mungu wakipekee namwenye utukufu nanguvu naheshima na Baraka zote Zina wewe Milele na milele Amina kwa watuote wamchao
@TitusNkuito2 ай бұрын
Amen we thankz god for he was good everyday❤
@Gbran-q6s11 ай бұрын
Yesu ndiye mwana Wa Mungu aliye Hai nampenda yesu
@yandisamahasela522710 ай бұрын
Jinalako lisifiwa wewebwana
@DeborahKariuki-tm4so11 ай бұрын
Am preparing myself and know more about Easter celebration and understand more of Jesus in my life.
@namengekin33952 ай бұрын
YESU utakudja chukua kanisa usinipite na uzale wangu sote na familia yangu bila kusahahu majirani na marafiki Amen❤
@neemamtangi4818 Жыл бұрын
Ameen nakupenda yesu wangu karibu kwenye moyo wangu.
@MamaRosha8 күн бұрын
Wee Mungu ss ni wakosaji naomba utusamee pale tunapokukoaea.
@iamgreatestmbanga84553 ай бұрын
Bless me lord🎉❤
@ImaeImae-p3v10 ай бұрын
Ee mungu tusamehe ss binadamu🙏🙏🙏🙏
@nafularatifah120110 ай бұрын
Yesu nipe ndoa yangu Baba
@SamwelSamwel-j8p2 ай бұрын
🙏🙏🙏🙏sarut kwako hakika wewe na mung wa kwel unastahil sifa na utukufu 🙏🙏🙏
@evarlynkavaya658310 ай бұрын
Yesu ni mwana wa mungu,tena ni mungu
@binseif22166 ай бұрын
😂😂😂Duh Mwana wa mungu halafu Mungu tena
@SalmahLuvunoАй бұрын
😂😂@@binseif2216
@IbrahimOkech-n1iАй бұрын
Asante yesu kwa uokombozi wako
@LuluSimba10 ай бұрын
Bwana ndie mchungaji wangu sitapungukiwa kitu❤
@LEONARDTUMWET-jx3qf5 ай бұрын
E mwokozi wa Maisha yangu Nakuomba uzidi kupigania Maisha yangu, Amen Shallom 🙏
@FrancisGithindi10 ай бұрын
Yesu ni muokosi wetu
@atienojuma8076Ай бұрын
Yesu asante sana🎉yesu asante kujifanya chakula kutuletea shibe alama ya pendo🙏🙏🙏asante yesu kwa kunifia msalabani aki😢😢😢😢😢😢😢upendo wa ajabu yesu wangu🙏🙏🙏🙏
@RisperKemunto-dq1zn11 ай бұрын
Asante mungu kwa kunipa huhai
@AaAa-zo3yj3 ай бұрын
Rita yesu unikumbuke pamoja na familia yetu kwa jina la yesu kristo amen
@nehemiahndalawa6720 Жыл бұрын
AMEN, YESU NDIYE NJIA NA UZIMA WA MILELE
@aloiyce-pb4st10 ай бұрын
Yesu ni mwokozi
@LukwessaobidjiАй бұрын
Vraiment Mungu nimukubua merci Jésus-Christ
@NaomySumaye10 ай бұрын
Thanks jesus for protect me and my family i lov u jesus ❤❤❤❤❤
@SylviaItinot-k3cАй бұрын
Yesu ndiye masihi ya maisha yangu amen
@AnnalazzaroAnnalazzarookello Жыл бұрын
Asante mungu wewe ndio tumaini langu sitaogopa amina
@AnnalazzaroAnnalazzarookello Жыл бұрын
Amina
@mutukucharles1432 Жыл бұрын
Amina
@mutukucharles1432 Жыл бұрын
Asante yesu
@NasriHasan-tv7vy9 ай бұрын
Asante baba kwakumtoa mwanao kua mwokozi wa maisha yetu 🙏🙏🙏🙏
@goyeepastorisaac8464 Жыл бұрын
Oh lord my God I repent all my sins and declare that I will serve you wherever I go all the days of my life,to reach out, Renew my salvation and use me according to your will..in Jesus name I thank and pray.Amen
@olimpiaswai87342 ай бұрын
Bwana wangu na Mungu wangu Yesu kristu.nisaidie nishinde vishawishi vya dunia hii.
@isacknyokaboys2 ай бұрын
Asante yesu
@voice_wright8 ай бұрын
Yesu nixamhe zambi zangu niongonz na kunilind amin