Movie Kali sana 💪ila bwana harusi asingerudia nguo kwenye scene ya pili ameharibu
@freenaturemovies26 күн бұрын
pamoja
@Japhet-xr3vhАй бұрын
I love it
@JuliusMnkondo-fk9kvАй бұрын
Kamanda ng hakim
@freenaturemoviesАй бұрын
naam kaka karibu free nature movie usisaau kusubscribe
@RachaelMchandaАй бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@VivaSmart34427 күн бұрын
Pongezi kwa cameraman. Camera ipo imara sana, haitikisiki. You are a good person. Mtunzi na mwongozaji, hongereni, ila jitahidini kufupisha scene. Dakika 5 hadi 6 ni nyingi mno. Labda scene ziwe zinaingiliana. Dakika 2, 2 na nusu au 3 zatosha.
@freenaturemovies26 күн бұрын
pamoja endelea kuwa karibu na channel yako tutaboresha