Eeh mungu kizazi hiki kina kuitaji mno tujalie Roho wako mtakatifu atufundishe Amen.
@marycheupe86134 жыл бұрын
Mungu atusaidiye tuweze kutawalwa na roho wake
@mn94844 жыл бұрын
Amina. Mungu akubariki Mchungaji.
@dianamhanila51874 жыл бұрын
Mungu atusaidie Roho Mtakatifu akatawale katika maisha yetu....Nina kijana wa kiume ana miaka miwili...Nlishamwambia usikubali mtu akushike sehemu zako hata kama ni baba uniambie.
@rehemanashon3739 Жыл бұрын
Barikiwa sana Pastor wangu 🙏♥️
@PhebiElias-rw9ns2 ай бұрын
Ubalikiwe kwamafundisho mazuli mungu akutangulie
@jamesmedard55384 жыл бұрын
Barikiwa sana.
@barnodkush Жыл бұрын
amina Pastor huyo Roho aliye ndani yako na anijaze pia
@rehemanashon3739 Жыл бұрын
Roho Mtakatifu nifundishe kuomba sawasawa 🙏♥️
@Grace-go3cr Жыл бұрын
Balikiwa pastor na baando mambo banndo
@christerkilamlilo70134 жыл бұрын
Asante sana kwa mafundisho mazuri Baba Mchungaji
@judithcherono25954 жыл бұрын
Amen God bless you long life pastor
@kusakabuga2824 жыл бұрын
Amina Dada
@kusakabuga2824 жыл бұрын
Nabarikiwa sana na MUNGU MUUMBAJI wa vitu vyote
@mn94844 жыл бұрын
Kizazi kikotofauti kabisa tuwaombee watoto
@TommyLee-ib5pk4 жыл бұрын
Watu wa Mungu hili ni ombi langu tu au maoni pindi mnapo upload video mjitahidi sana kuweka somo lote mwanzo hadi mwisho hata kama mnakata vipande lakini mjitahidi sana kuweka vyote ili tunapoingia kujifunza tusiishie katikati yani kuna kitu fulani hiv mnakipoteza maana unakuta roho mtakatifu amejaa yupo busy anakufundisha kitu halafu inafika mwisho kabla somo halijaisha na muendelezo wake mnachelewesha sana.. Ni hayo tu
@MahubiriPrMmbaga4 жыл бұрын
Only Strong ASANTE KWA MAONI YAKO
@ayengobenjamin80143 жыл бұрын
Let us, Seventh-day Adventists, go back and unite with our church pioneers who were with a living prophetess among them