Leo nilikua nenda kwa oman haluwa hapa sakina . Shukraan . Jazaka Allahu khairan
@wauwaupikpok25334 жыл бұрын
ukienda nichkulie na mimi
@aziaraayoub52343 ай бұрын
Mashallah .samahani kungumanga kwa kiswahili kingine ni nini?
@nabagalahadijjah10743 жыл бұрын
Nakukubal
@aminadamasoloi96202 жыл бұрын
Twaweza tumia cornflour
@mariamnjuki15804 жыл бұрын
Assalm alykum ...jaman huo unga wa muhogo ni huo unaopikiw ugal au ni mwengn?
@mngwalijuma5977 ай бұрын
Hzluwa ni mzr
@maggief18513 жыл бұрын
Natamani haluwa
@supamaridadi39004 жыл бұрын
Mashaallah na like video Mashaallah mungu Akubariki lakini waeza kueka kikombe 2
@FebineAwuor4 жыл бұрын
Tamu sanaa😋😋
@minacooks58294 жыл бұрын
Keep going sister
@itsafrah._.89534 жыл бұрын
Yay 😁 I was waiting for a haluwa Recipe
@dorroboss4 жыл бұрын
I like your recipes, but I usually adjust the amount of sugar I use, sometimes the recipes are too sweet and I don't have a sweet tooth anymore. Kudos for great recipes
@rebbymwawasi9323 жыл бұрын
Naeza tumia unga wa ngano?
@samirbazaar22902 жыл бұрын
Mapishi rahisi Unga wa tapioca unapatikana wapi hapa Mombasa nami nataka nijifunze
@fatimasaid48553 жыл бұрын
🤲
@AhmedAbdallah-qr6bh6 ай бұрын
Tuonane bc mikon mizuri na kucha nzuri
@leilamehbub9484 жыл бұрын
Aslm Alkm mashAllah u r always my role model is unga ya muhogo same na corn flour Sana Sana naona wapishi hutaja hii Kuna na ni nn hufanya haluwa kuwa soft Sana ambaye sio nzuri advice me sis na Allah Akubariki Sana thanks
@ahmedrashidali52143 жыл бұрын
MashAllah kupika Haluwa inachukua how many hrs?
@ladyfausta74483 жыл бұрын
Naweza kutumia unga Wa ngano unafaa km Sina hui ungs
@aishasiyad36414 жыл бұрын
Assalam aleikum siz I’m in Mombasa nipate wapi hio unga ?
@cutymi79304 жыл бұрын
Supermarkets, markiti pia unga wa muhogo
@shamsahaji62024 жыл бұрын
Tapioca starch...huu sio unga wa muhogo tunaopikia ugali ,upo tofauti so unaponunua ujue kwamba unanunua tapioca starch habibty.
@timaanwar91334 жыл бұрын
Aslm aleikm shukran kwa halwa soo easy mashallah. Nauliza huu unga wa muhogo ni swa na unga wa 'wanga'?!
@abubakaromar54294 жыл бұрын
assalam alykum je unaweza kurumia unga wa muhoga wa locally
@fatmasaleh27074 жыл бұрын
mashallah,, nimependa sana .. unga ulotumia unapatikana wapi?
@sakinavora78304 жыл бұрын
Supermarket hapa Nairobi iko
@farhatali54174 жыл бұрын
😋😋
@jabrial52954 жыл бұрын
Hiyo ulotumia ni tapioca flour sio tapioca starch?
@yuppaali17704 жыл бұрын
habibty hiyo kikombe unacho tumia ni ml ngapi please yanitatiza shukra kwa mapishi ya halwa-halwa ya seif
@rashidramadhani9264 Жыл бұрын
Dada mm nataka nijifunze kupika halua. Lakin sijui Maan sina kazi ya kujitegemea. Nahitaji nijifunze hata kwa malipo nipo tayari. Sijui unapatikana wp.
@aminashee20274 жыл бұрын
Asalam alaykum.. Masha Allah nimependa Sana ..lkn ungaa huu naaweza pata wapi...Niko malindi
@cutymi79304 жыл бұрын
Supermarket tuskys cassava flour, supermarket pale barani ya wahindi
@cutymi79304 жыл бұрын
Maduka ya ration pia
@aminashee20274 жыл бұрын
Ok sawa.. thanks alot I will try tomorrow in sha Allah
@lulusanga23264 жыл бұрын
A salaam Aleykum un ga huh was tapioca kwa Dar naupata wap
@wauwaupikpok25334 жыл бұрын
kariakor
@leilamehbub9484 жыл бұрын
So any mafuta ni sawa tu bt samli is the best
@asabalabdalla11114 жыл бұрын
je unaweza tumia unga wa uwanga?
@hajiwaseif6774 жыл бұрын
Shukran lkn unga wa mgongo mzr
@brighterkendy80293 жыл бұрын
This channel is the best especially am the all time lover of swahili dishes,,, God bless you siz
@wauwaupikpok25334 жыл бұрын
Je unajua recipe ya haluwa ya kidigo?
@rehemabakali4944 жыл бұрын
Ndyo hyo ya kidigo ujaona na unga wa bada hpp
@melissahnasiche1874 жыл бұрын
Mapishi rahisi Kama Sina unga wa mihongo naweza tumia ngano🤔🤔🤔🤔
@thee_wiseman_4 жыл бұрын
Sauti taaaaamu kuliko haluwa yenyewe....
@muniramohammedmunira3832 Жыл бұрын
Kama huna unga wamuhogo naweza kutumiy unga wa mahidi
@athmanali77704 жыл бұрын
Waaleikum salaam Wow mashallah inaonekana tamu sana please niambie jina lako ni nani ? Unaishi wapi ? Mimi ni binti wa athman ali Naysana please I want you to become my best friend I really like this video thanks for your video bye
@zahramfaume-zi4nw Жыл бұрын
Sorry dear..nataka kufuhamu halwa Unaweza kukaa muda gani bila kuharibka? Na ikiwa haikai muda mrefu mpaka kuharibika naweza fanya nini ili kuifanya isiharibike mapema.?!
@sumaiyamahamoud24884 жыл бұрын
Halwa ile ya mombasa kwa ba seif tamu ajab
@joycemwamburi53774 жыл бұрын
Zafarani ndio nini kwa kizungu.
@hanybakhshuweinmbarak57654 жыл бұрын
Saffron
@globisticsfreightforwarder78782 жыл бұрын
Ajab
@keziahmwangi24784 жыл бұрын
It's hard to cook this unless you write down your recipe,not easy to understand this ingredients.
@rukienoor65554 жыл бұрын
It's an Arabic desert it's not for everyone.
@wishywashy26583 жыл бұрын
Rukie noor that's not a nice answer. Do you only make food from your community or do you try other people's too!!! Kezia the recipe is in the description box girl. Give it a go!!!