jifunze kuremba keki ndani ya dakika 6

  Рет қаралды 29,883

Luvanda Loreen

Luvanda Loreen

Күн бұрын

Пікірлер: 55
@OdinaLujaji
@OdinaLujaji 10 ай бұрын
Asante luvanda
@AugusterTamar
@AugusterTamar 9 ай бұрын
🎉🎉
@veronicafelician-oi2iu
@veronicafelician-oi2iu 4 ай бұрын
Vizuri sana, nimepaenda unafundisha vizuri
@LuvandaLoreen
@LuvandaLoreen 4 ай бұрын
Karibu
@LissaGodson
@LissaGodson 5 ай бұрын
Asante sana maelezo mazuri sana
@LuvandaLoreen
@LuvandaLoreen 5 ай бұрын
Karibu 😍🫂
@LizzyBpeter-rc2yg
@LizzyBpeter-rc2yg 4 ай бұрын
Sama han dada iyoo cramu cot na nini​@@LuvandaLoreen
@evamakelemo6685
@evamakelemo6685 20 күн бұрын
Nimependa unavyoelekeza
@ELIZABETHMATHIAS-qh4jw
@ELIZABETHMATHIAS-qh4jw Жыл бұрын
Nice work lolo
@LuvandaLoreen
@LuvandaLoreen Жыл бұрын
Thank you🤗❤️
@aminanyasulo3607
@aminanyasulo3607 Жыл бұрын
Kazi nzuri
@LuvandaLoreen
@LuvandaLoreen Жыл бұрын
Asante
@BrayanProsper-uu7fk
@BrayanProsper-uu7fk 7 ай бұрын
Nimeipenda Sana
@KhamisRashid-r8n
@KhamisRashid-r8n Жыл бұрын
Shukran mpnz
@LuvandaLoreen
@LuvandaLoreen Жыл бұрын
Karibu
@amisafaraji5796
@amisafaraji5796 Жыл бұрын
Mi nataka kujifunza live
@SalmaMagoga
@SalmaMagoga Ай бұрын
Asante
@christinakanindo7364
@christinakanindo7364 3 ай бұрын
Hongera mpendwa, je butter icing huwa inakauka kabisaa yaani iwe ngumu?
@LuvandaLoreen
@LuvandaLoreen 3 ай бұрын
Asante, inategemea. Ukiweka siagi kidogo na powdered icing sugar nyingi inawahi kukauka. Siagi ikizidi haikauki.
@JONATHANNDEMELA
@JONATHANNDEMELA 5 ай бұрын
Asate sana
@BlandinaKonkii
@BlandinaKonkii 28 күн бұрын
Kama Una freezer unawasha feni kinachoitajika ikauke
@priscapaulpaul6254
@priscapaulpaul6254 3 ай бұрын
Hello nsaidieni vipimo vya buttercream
@LuvandaLoreen
@LuvandaLoreen 3 ай бұрын
Hi prisca, thats a separate video. kzbin.info/www/bejne/joS9loSFbc6Dfc0
@MchaliKimweri
@MchaliKimweri Ай бұрын
Kama wengine hatuna freezer tunaweka wapi
@LuvandaLoreen
@LuvandaLoreen Ай бұрын
Fridge la kawaida
@MchaliKimweri
@MchaliKimweri Ай бұрын
Asante ubarikiwe nimeelewa
@EdithaJoseph-zt2xu
@EdithaJoseph-zt2xu Жыл бұрын
😋
@SamiaSultan
@SamiaSultan 3 ай бұрын
Nawezaje kupamba keki nikiwa sina hiyo stendi ya kuwekea plate ya keki
@LuvandaLoreen
@LuvandaLoreen 3 ай бұрын
Nunua stendi inauzwa 18,000-25,000tsh. Bila stand unaweza kupamba ila utaasumbuka sana
@JuliethErasto
@JuliethErasto 2 ай бұрын
Hiyo suger umechanganya na nini mpk iwe ngumu
@LuvandaLoreen
@LuvandaLoreen 2 ай бұрын
500g kimbo 500g icing sugar powder
@fatmahussein4563
@fatmahussein4563 Жыл бұрын
Mi najua whip ndo waitia kwa frig eti..
@LuvandaLoreen
@LuvandaLoreen Жыл бұрын
Ata icing sugar ya kawaida unaweza eka
@fabiolapeter7295
@fabiolapeter7295 Жыл бұрын
Umebekia TINI za nchi ngapi Na recepe yake ikoje
@LuvandaLoreen
@LuvandaLoreen Жыл бұрын
6 inch baking tray. Link ya recipe ipo description box
@favouredandblessedladiestv1191
@favouredandblessedladiestv1191 Жыл бұрын
Ukiweka kwenye fridge haiyayuki?
@LuvandaLoreen
@LuvandaLoreen Жыл бұрын
Haiyayuki
@SamKijo
@SamKijo Ай бұрын
Jins ya iupamba kakci
@MarthaKenganije
@MarthaKenganije 10 ай бұрын
Packet ngapi za icing sugar hutosha kwa keki ya nusu kilo
@LuvandaLoreen
@LuvandaLoreen 10 ай бұрын
Moja tu
@SalmaKibaigwa
@SalmaKibaigwa 3 ай бұрын
Kama huna friji kuna ulazima wa kiweka dada
@LuvandaLoreen
@LuvandaLoreen 3 ай бұрын
Ndio, friji inarahisisha kazi
@upendommbaga573
@upendommbaga573 9 ай бұрын
Ni packeti ngap za icing sugar mbona naona icing yako ni nyingi
@LuvandaLoreen
@LuvandaLoreen 9 ай бұрын
Packet moja 500g
@RosedianaKimaro
@RosedianaKimaro 2 ай бұрын
Asante sana kipenzi unaelewesha vizur sanaa​@@LuvandaLoreen
@WanjiraChristine
@WanjiraChristine 3 ай бұрын
N umetengeneza ajy icing sugar
@LuvandaLoreen
@LuvandaLoreen 3 ай бұрын
Link ya recipe kzbin.info/www/bejne/joS9loSFbc6Dfc0
@GetrudaMachibya
@GetrudaMachibya 3 ай бұрын
Kama hauna friza unafangaje
@LuvandaLoreen
@LuvandaLoreen 3 ай бұрын
Tumia friji la kawaida
@GetrudaMachibya
@GetrudaMachibya 3 ай бұрын
@@LuvandaLoreen namanisha friji hauna hata hilo kawaida
@wahdajady3736
@wahdajady3736 Жыл бұрын
Clam kot n nn
@LuvandaLoreen
@LuvandaLoreen Жыл бұрын
Crumb coat ni layer ya kwanza ya icing sugar unayopaka, inashikilia cake crumbs
@zuashfar9719
@zuashfar9719 4 ай бұрын
Samhn naomb kuulz hiy unayopak juu yalokaa km maji ni nini😢
@LuvandaLoreen
@LuvandaLoreen 4 ай бұрын
Sugar syrup. Maji na sukari kidogo. Inasaidia keki isiwe kavu sana. Unaweza ukatumia maji badala ya maziwa
@zuashfar9719
@zuashfar9719 4 ай бұрын
@@LuvandaLoreen Asnt san
Сестра обхитрила!
00:17
Victoria Portfolio
Рет қаралды 958 М.
Quilt Challenge, No Skills, Just Luck#Funnyfamily #Partygames #Funny
00:32
Family Games Media
Рет қаралды 55 МЛН
Мясо вегана? 🧐 @Whatthefshow
01:01
История одного вокалиста
Рет қаралды 7 МЛН
JINSI YA KUTENGENEZA ICECREAM ZA UBUYU
6:20
Dina
Рет қаралды 127 М.
Mini Lunch Box Cakes
16:33
Thy Than
Рет қаралды 11 МЛН
jifunze kutengeneza icing sugar ndani ya dakika 5
5:51
Luvanda Loreen
Рет қаралды 6 М.
Jinsi ya kupamba keki rangi zaidi ya mbili #neemashaaban
4:59
Neema Shaaban
Рет қаралды 1,7 М.