JIFUNZE KUSUKA NYWELE HII MPYA KABISA / Tiktok low cut Hairstyles / Natural Crochet Styles

  Рет қаралды 89,509

FARIDA OTHMAN

FARIDA OTHMAN

7 ай бұрын

Пікірлер: 377
@faridaothman
@faridaothman 7 ай бұрын
MAFUNZO YA ONLINE Ada 12,000 tu 📌 Utajifunza makeup na kusuka Lipia 0657292650 Then Njoo Whatssp nikuunge darasani MASWALI YOTE YATAJIBIWA DARASANI 📌UNAPOWAHI KULIPIA UTAJIFUNZA VITU VINGI ZAIDI
@gladynessmchome9988
@gladynessmchome9988 7 ай бұрын
Safi nywele nzuri🙏🙏🥰
@SinahMwichande-qn5di
@SinahMwichande-qn5di 7 ай бұрын
Nahitaji nijiunge na chuo
@AbraKakotse
@AbraKakotse 7 ай бұрын
Ça fait combien en franc CFA
@giftchansa3892
@giftchansa3892 7 ай бұрын
Bunda ngapi madam zinafaa
@giftchansa3892
@giftchansa3892 7 ай бұрын
Fundi gani umetumia madam na Ile hair bonding uwezi tumia
@user-rm9xy2vz8c
@user-rm9xy2vz8c 7 ай бұрын
Asante na darasa msaada wa jina ya gundi inayotumika hapo
@dianaclement6828
@dianaclement6828 7 ай бұрын
Mungu akubariki Sana,naomba kujua aina ya gundi inayotumika
@GraceMunisi
@GraceMunisi 14 күн бұрын
Nimejifunza Leo nanimesha suka mtu❤❤❤
@lydiahlusweti5846
@lydiahlusweti5846 7 ай бұрын
May God bless I have learned different styles from online class
@rehemakatonga6645
@rehemakatonga6645 7 ай бұрын
Asante sana Farida Mungu akuweke Sanaa kwa ajili yetuu
@fatimafoaani2263
@fatimafoaani2263 7 ай бұрын
A wonderful style nimeipenda mungu akubariki sana kwa mafunzo ya urembo
@faridaothman
@faridaothman 7 ай бұрын
Ameen
@evelynkwamboka5449
@evelynkwamboka5449 Ай бұрын
mwalimu mzuri kweli. maelezo yako yanaridhisha.ubarikiwe na ujuzi zaidi
@EbronWilliam-on1mu
@EbronWilliam-on1mu 6 ай бұрын
Asante sana F uko vizuri mamaa. Una moyo mzuri, Mungu azidi kukutunza.
@JoanithaGeorge
@JoanithaGeorge 14 күн бұрын
Asante dada mungu akubarik sana najifunza Zaid
@happinessLyimo-sm2fo
@happinessLyimo-sm2fo 7 ай бұрын
Nimeipenda sana hiyo nywele 😊
@marthamagayane9821
@marthamagayane9821 7 ай бұрын
Asante aunt Farida Kwa ujuzi huu Mungu aliokupa na kushare na sisi barikiwa sana Mummy
@faridaothman
@faridaothman 7 ай бұрын
Asante sana
@NeemaJoseph-pu5ci
@NeemaJoseph-pu5ci 7 ай бұрын
Nakupenda sana we dada najifunza vingi kwako
@user-zs8wn2gx4v
@user-zs8wn2gx4v 7 ай бұрын
Wow amazing❤
@YudaTadeimlowosa
@YudaTadeimlowosa 4 күн бұрын
Napenda San kukuangalia dada angu Kaz nzur
@JACKLINEISAACJOSEPH-kl1ej
@JACKLINEISAACJOSEPH-kl1ej 6 ай бұрын
Asante Farida. Mungu akubariki
@user-vh2gv1ju6u
@user-vh2gv1ju6u 6 ай бұрын
uko vizuri sana dada mungu akupe ujuzi zaidi
@ElizabethGaspar-jp5fy
@ElizabethGaspar-jp5fy 5 ай бұрын
Kaz nzuri kipenz napenda sana darasa lako i learn many God bless u mom
@nsalumbanga761
@nsalumbanga761 7 ай бұрын
amependeza sana…keeps up the good work darling
@hanamuson891
@hanamuson891 7 ай бұрын
Napenda kazi nzuri unayo ifanya be blessed siz much lov from 254
@faridaothman
@faridaothman 7 ай бұрын
Thankss❤
@saveke7238
@saveke7238 3 ай бұрын
Thanks farida naenjoy xn darasa lako
@user-gp9vu1mf7r
@user-gp9vu1mf7r 7 ай бұрын
Kazi yako ni nzuri sana. Big up ❤
@user-ck5cb1fz8t
@user-ck5cb1fz8t 5 ай бұрын
Asante farida othuman imenitoa mbali sana unakazi nzur.ngoja nijitafute unitumie kit make up
@user-zm3fy4wn9x
@user-zm3fy4wn9x 7 ай бұрын
najifunza meng san. ❤nkuonda bureee
@user-tk1ns1su1y
@user-tk1ns1su1y 7 ай бұрын
Aiseee barikiwa sana bibiye❤🎉🎉🎉
@user-ky6cj6du7i
@user-ky6cj6du7i 7 ай бұрын
Najifunza vingi kupitia ww dear asanteee sana Samahani n gundi gan umetumia
@user-zp2rb6lx2g
@user-zp2rb6lx2g 7 ай бұрын
Nimeipenda asantee kwa mafunzo yako
@user-gc7mz9gl4p
@user-gc7mz9gl4p Ай бұрын
Nimeipenda na piano nimeielewa asante kwa mafunzo
@JacklineDaud-qh2wg
@JacklineDaud-qh2wg 6 ай бұрын
Mungu akubaliki dada kuwa moyo nzuri 😍😍
@user-ur7ex3rx5i
@user-ur7ex3rx5i 3 ай бұрын
Asante samahan jina la gundi
@MaryMahimbo-vn8xu
@MaryMahimbo-vn8xu 6 ай бұрын
Kaz nzuri dada Mungu akuweke kwaajili yetu
@akimanakathykelly1673
@akimanakathykelly1673 7 ай бұрын
Nakupenda sana from Burundi naitaji kuja dar unifundishe
@Emilyakinyi-xs2ln
@Emilyakinyi-xs2ln 4 ай бұрын
Asante Sana Farida mungu akuongeze marifa dada yangu
@margretagunda4563
@margretagunda4563 7 ай бұрын
Asante kwa kushare❤❤❤....
@kitotohassan9858
@kitotohassan9858 7 ай бұрын
Asante dada mmnimmojawalo wakujifunza kwako
@user-qp3zq1si1n
@user-qp3zq1si1n 7 ай бұрын
Mungu aendelee kukupa moyo
@obuyaselah343
@obuyaselah343 6 ай бұрын
Kazi yako nzuri sanaaa❤️❤️
@user-zd7ig5qd6b
@user-zd7ig5qd6b Ай бұрын
Asanteni Sana mwalimu wetu Mimi nashuru sana.
@rehemamasanja8875
@rehemamasanja8875 6 ай бұрын
Nimependa kazi nzuri madam
@NeemaAman-xq5sd
@NeemaAman-xq5sd 7 ай бұрын
Wao God mungu awape maisha marefu jaman
@faridaothman
@faridaothman 7 ай бұрын
Ameen
@estherkhisa
@estherkhisa 7 ай бұрын
Asante dada nataka kujuwa pale kwa kucrotchet
@user-yg8db9dv1x
@user-yg8db9dv1x 5 ай бұрын
Asante dada kwa mafunzo yako mazuri unafundsh vzr
@faridaothman
@faridaothman 5 ай бұрын
Sante snaa
@CatherinCletus-hn3gk
@CatherinCletus-hn3gk 5 ай бұрын
Nywele nzur nilikua nataman sana kujua
@Ester-fp3pk
@Ester-fp3pk 3 ай бұрын
Asante my najifuza mengi aina gan ya gundi😊
@user-xf8gw3cj3n
@user-xf8gw3cj3n 7 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤nabarikiwa sana na mafunzo yako
@PaschalLyuba-rm2uz
@PaschalLyuba-rm2uz 7 ай бұрын
Nazd kujfunza mengi sana mungu akubark Farida
@VictoriaNgatunga-nm9py
@VictoriaNgatunga-nm9py 7 ай бұрын
Uko vzuri dada Farida kesho ntajiunga whatup nijifinze zaidi maana nna saluni lkn Kuna baadhi ya vitu sivijui ❤️❤️
@faridaothman
@faridaothman 7 ай бұрын
MAFUNZO YA ONLINE Ada 12,000 tu 📌 Utajifunza makeup na kusuka Lipia 0657292650 Then Njoo Whatssp nikuunge darasani MASWALI YOTE YATAJIBIWA DARASANI 📌UNAPOWAHI KULIPIA UTAJIFUNZA VITU VINGI ZAIDI
@user-gs3sj9ok4g
@user-gs3sj9ok4g 7 ай бұрын
Kwakweli nimejifunza vingi toka kwako barikiwa sana❤
@faridaothman
@faridaothman 7 ай бұрын
Sante snaa❤
@evaristaurio5475
@evaristaurio5475 7 ай бұрын
@@faridaothman dad gundi inahitwaje
@user-ml4kv4ty4b
@user-ml4kv4ty4b 18 күн бұрын
Good work
@LucyMamen-fv6is
@LucyMamen-fv6is 5 ай бұрын
Dada angu mzuri unafundisha vzurii sana..MUNGU azidiii Kukutunza.
@marymalyos3662
@marymalyos3662 3 ай бұрын
Congratulations my friend Farida
@user-jl5yw6bt4u
@user-jl5yw6bt4u 4 ай бұрын
Aina ya Gund jaman dada farida
@MagrethMichael-pv9wt
@MagrethMichael-pv9wt 7 ай бұрын
Nakupenda bure jaman MUNGU akutunze sana
@user-kn5mp4jp1l
@user-kn5mp4jp1l 7 ай бұрын
Mungu akubali kwa kutufundsha❤❤❤❤❤
@faridaothman
@faridaothman 7 ай бұрын
Amiin
@salomeurio560
@salomeurio560 4 ай бұрын
Safi sana mpendwa... Ubarikiwe mno...❤
@faridaothman
@faridaothman 4 ай бұрын
Ameen
@user-qq2jt9cj2o
@user-qq2jt9cj2o Ай бұрын
Naitaji kusuka na makeup mm Angel nakaa magomeni
@hassanMohamed-cn7zc
@hassanMohamed-cn7zc 12 күн бұрын
Nimejifunza dada vip gundi umetumia gundi gani naomba kujua
@user-qq2jt9cj2o
@user-qq2jt9cj2o Ай бұрын
Naitwa angel nakaa maribor naitaji kujifuza kusuka
@user-gr7bi3bn3s
@user-gr7bi3bn3s 5 ай бұрын
Hongereni sana natamani kujifunza zaidi naomba nilipie
@user-jl5yw6bt4u
@user-jl5yw6bt4u 4 ай бұрын
❤❤❤
@sifuninhayo9104
@sifuninhayo9104 4 ай бұрын
Nakukubali sana Farida Othman
@user-ph5um2mp1w
@user-ph5um2mp1w 7 ай бұрын
Hongera kipenzi unatisha
@OliverJoy-vw8uk
@OliverJoy-vw8uk 29 күн бұрын
Asante dada mungu akutunze
@user-hh1vg2hr1i
@user-hh1vg2hr1i 5 ай бұрын
Asante sana dada, nisaidie jina LA gundi inayotumika
@user-xx8lr8xt6k
@user-xx8lr8xt6k 5 ай бұрын
Darasa lako liko vzr sana madamu ila jina la gundi ndo haujatutajia
@neemakalinga9682
@neemakalinga9682 4 ай бұрын
Mungu akuzidishie dada Farida❤❤❤❤
@MwanaTemba-cc6fc
@MwanaTemba-cc6fc 5 ай бұрын
Asante kwa darasa jina la gundi mya dear
@mariammwakikatoamen2245
@mariammwakikatoamen2245 7 ай бұрын
Asante sana naomba jina ya gudi
@rosewiston4029
@rosewiston4029 7 ай бұрын
Amazing
@Ratifahazizi-gc6dt
@Ratifahazizi-gc6dt 7 ай бұрын
Ubarikiwe mno😘
@user-be3rw2fq2s
@user-be3rw2fq2s 6 ай бұрын
Huwa nakuelewa xana dada Farida Mungu azid kutia nguvu
@miriamvictor282
@miriamvictor282 7 ай бұрын
Nimependa jmn unajua kufundisha❤❤❤
@faridaothman
@faridaothman 7 ай бұрын
Santee
@user-kc4xx8jp9f
@user-kc4xx8jp9f 4 ай бұрын
Nimependaaaaa ufundishaji wakooo
@HappyBackgammon-qi7px
@HappyBackgammon-qi7px 4 ай бұрын
Napenda kujifunza ingawa umri umenda nifaje?nipo mkowani dada farida
@aminabest6957
@aminabest6957 6 ай бұрын
Ubarikiwe sana dada
@susanguyabi5243
@susanguyabi5243 Ай бұрын
Nimeangalia hiyo nywele nimeipenda kwahiyo 45000 ni kusuka tu au inasimamia hadi hiyo nywele
@MINISTERBAHATIMPUME-px4pf
@MINISTERBAHATIMPUME-px4pf 3 ай бұрын
Kwa kweli Dada Farida nakufwatilia sana nataka nifufue ndoto yangu, unanipa moyo sana sana
@faridaothman
@faridaothman 3 ай бұрын
Shukran snaaa
@NeemaDaniely
@NeemaDaniely 3 ай бұрын
Naomba kuuliza hii selfie umechambua na jell?
@halimaibrahim7477
@halimaibrahim7477 6 ай бұрын
Ubarikiwe❤
@user-ng9jw1uu1p
@user-ng9jw1uu1p 7 ай бұрын
kweli ni nzuri
@rehemafadhili7306
@rehemafadhili7306 7 ай бұрын
Hongera dada upo vizur mno
@user-id4kk6gm5y
@user-id4kk6gm5y 5 ай бұрын
Nimependa sana dada yangu❤❤❤natamani kujua kusuka zaidi,unanisaidia je please.
@user-jt4kl4gb9x
@user-jt4kl4gb9x 6 ай бұрын
Asante naendelea kukuelewa
@suka_upendeze5649
@suka_upendeze5649 7 ай бұрын
Ubarikiwe dada
@giftchansa3892
@giftchansa3892 7 ай бұрын
Hongera ❤❤❤❤
@user-vv5qb2vc2v
@user-vv5qb2vc2v 6 ай бұрын
Nakuelewa sana farida why teget sisi wa mbali ka temek imekaaje iyo na pia tupo kwanye mandoa kwann usifungue kituo mana online sisi wengine wagum kuelewa unasaidiaj hapo
@giftchansa3892
@giftchansa3892 7 ай бұрын
Madam Mungu akubaliki Sana Yani nimejifunza mengi zaidi kwako❤❤❤
@faridaothman
@faridaothman 7 ай бұрын
Sante snaa
@halimamusaamiri4187
@halimamusaamiri4187 7 ай бұрын
❤❤❤❤❤kazi nzuri
@SadaMakota
@SadaMakota 13 күн бұрын
Asante madam❤
@giftsarungi5768
@giftsarungi5768 7 ай бұрын
Unatufunsisha wengi kujua nywele mpya
@benitagerman5389
@benitagerman5389 7 ай бұрын
Barikiwa 🙏 kwa SoMo Zur❤️
@user-ch6hu1qi6i
@user-ch6hu1qi6i 5 ай бұрын
Wooo Jon ni nzur
@user-ng9jw1uu1p
@user-ng9jw1uu1p 7 ай бұрын
Hakika ni nzuri
@raymondmagere4696
@raymondmagere4696 6 ай бұрын
Nywele iyo niipi dada ni selfii au aujaiweka iyo nywele
@dianakwamboka1918
@dianakwamboka1918 7 ай бұрын
Through your videos My dear I have learned alot from you there's some styles I was not knowing but now I have know them be blessed alot my dear 🎉🎉🎉🎉🎉🎉and I will keep watching your videos everyday 🎉🎉🎉🎉🎉
@faridaothman
@faridaothman 7 ай бұрын
Thanks for feedback Glory to God 🙏 be blessed more❤
@bintingomale3145
@bintingomale3145 7 ай бұрын
Nimeitafuta hii nywele dukani sijaipata
@faridaothman
@faridaothman 7 ай бұрын
@@bintingomale3145 MAFUNZO YA ONLINE Ada 12,000 tu 📌 Utajifunza makeup na kusuka Lipia 0657292650 Then Njoo Whatssp nikuunge darasani MASWALI YOTE YATAJIBIWA DARASANI 📌UNAPOWAHI KULIPIA UTAJIFUNZA VITU VINGI ZAIDI
@user-vv5qb2vc2v
@user-vv5qb2vc2v 6 ай бұрын
NavipikMa sijalelewa na nishalipia farida mm ninauhitaji
@HappynesMalisa-cl2iw
@HappynesMalisa-cl2iw 6 ай бұрын
Imenibless sana
@linaqenyares9094
@linaqenyares9094 7 ай бұрын
Asante kwa darasa
@annageofrey9123
@annageofrey9123 5 ай бұрын
Asante darasa zuri kipenzi
@shaddyasalum2369
@shaddyasalum2369 6 ай бұрын
Ahsante sana da farida
@shaddyasalum2369
@shaddyasalum2369 4 ай бұрын
Ahsante sana da farida❤
@agnesschamichami8422
@agnesschamichami8422 7 ай бұрын
Asanteee jaman naomba tuambie gundi ulio tumia
Trying Tiktok low cut crochet hairstyle/ Beginner Friendly
11:52
Ivonmelda
Рет қаралды 1,2 МЛН
🚨 No Glue!!! Trending TikTok Low-Cut Crochet Hairstyle
12:55
Jasmine Royal
Рет қаралды 310 М.
DELETE TOXICITY = 5 LEGENDARY STARR DROPS!
02:20
Brawl Stars
Рет қаралды 17 МЛН
When Steve And His Dog Don'T Give Away To Each Other 😂️
00:21
BigSchool
Рет қаралды 17 МЛН
11 QUICK AND EASY CROCHET BRAID STYLES | How to
4:54
Kiitanaxo
Рет қаралды 597 М.
LOW CUT CROCHET ❌NO GLUE❌ TUTORIAL|STEP BY STEP TUTORIAL
5:49
Yvonne wema
Рет қаралды 3,6 М.
Trying Tiktok Low cut Crochet Hairstyle/ Beginner Friendly
14:35
ONYINYE OKEKE TV
Рет қаралды 130 М.
The Most Natural Looking Kinky Curly Crochet Braid Hairstyle.
20:00
NaturalHairnamix
Рет қаралды 497 М.
Jinsi ya kusuka NATURAL CROCHET / Natural Crochet Hairstyle
6:06
FARIDA OTHMAN
Рет қаралды 8 М.
DELETE TOXICITY = 5 LEGENDARY STARR DROPS!
02:20
Brawl Stars
Рет қаралды 17 МЛН