Kaka umeelezea vizur mnoo. Lkn sijasikia ukitaja Bei ya hyo gari? Au anayehitaj anakupigia simu ndio ajue bei mkuu..
@MrSABYY Жыл бұрын
Bei 20 Million
@humoodbatrani855711 ай бұрын
Ipo vizuri
@blessedqueenie30319 ай бұрын
🚀🚀🚀
@MrSABYY9 ай бұрын
💐💐
@NgengeMkeni-uo5hq7 ай бұрын
Hapo umetudanganya mchana kweupe. Yaani tofauti ya CVT na AT ni sensor?😂... Acha hizo bhn, CVT inatumia mfumo wa chain and pulley wakati AT inatumia mfumo wa gia.
@MrSABYY7 ай бұрын
Asante sana boss kwa kuturekebisha… Tumepokea na tunafanyia kazi. Ubarikiwe 💐💐
@ekundamkwizu83635 ай бұрын
Kwani Automatic haina sensor?... unazingua. Kama hujui jielimishe kwanza ndio uje kuongea kwenye public