Big up sana brother, serikali iwaangalie vijana wenye vipaji na iwawezeshe kwani hata nchi zilizoendelea ziliwawezesha wabunifu wao.
@kato_tz3 жыл бұрын
Wabongo bhana, unapungukiwa nini ukiappreciate kazi ya mtu, amjibu kabisa ukitumia hilo jiko utatumia mafuta ya taa kidogo sana compared na ukitumia jiko la mafuta yaa taa tupu.
@r14kgroup683 жыл бұрын
Safi sana Tanzania ibadilishe mitaala iwape vipaji fursa sio kukomalia elimu ambao haina faida kwa wanafunzi, safi sana
@michaelstephen37433 жыл бұрын
Umefanya jambo zuri lakini Kuna majiko yalikuwepo yanayoitwa STOVU nadhani ni muundo TU ila big respect
@KIMSwahili Жыл бұрын
Mashallah kazi nzuri
@kekiplus1andonly3 жыл бұрын
MashaAllah🙏🙏🙏🙏🙌🙌🙌🙌🙌🙌hongera sana kaka
@caslidajosephat89123 жыл бұрын
Tatizo Tanzania vipaji haviendelezwi.
@josephjohn21143 жыл бұрын
Hongera kwa ubunifu wa vifaa rahisi kufanikisha jiko la stove....... ila hii teknolojia ya stove ipo tangu miaka mingi nyuma...
@petroatanas89882 жыл бұрын
Hongela pambana mungu atakusaidia ila kwaviongoz hatuna
@Ndu-wa.uroony23 жыл бұрын
Hongera sana kaka... Hili jiko ni muundo mwingine wa stovu... Ama kile kijiko cha kuchomelea kinachotumia petroli na upepo
@saidmahaba1326 Жыл бұрын
Good brother
@kibasamohamedi80293 жыл бұрын
Duh aiseeeee safi
@sometimes56213 жыл бұрын
Hongera sana kwa ubunifu.
@mosesngirila87163 жыл бұрын
Mungu akutangulie
@NyumbaniHabariMedia3 жыл бұрын
Safi sn David Kalinda
@mosesngirila87163 жыл бұрын
Vizuri kaka
@prettyh75093 жыл бұрын
Mashallah 🙏
@paschaltsaxara23763 жыл бұрын
Mafuta ya taa tena daaah changamoto nyingine! Huo upepo ni kusaidia tu mafuta yawake
@tamimtours69343 жыл бұрын
HAIPO HIYOO FANI KABSAA
@elidaimamnzava36493 жыл бұрын
Hiyo inaitwa stove toka zamani inatumia mafuta taa
@bigbossmanbossman69463 жыл бұрын
Stove inatumia tambii tofauti na hili jiko
@masoudkipara50533 жыл бұрын
Asa ilo co la upepo bali ni lamafuta
@karimhamisi46272 жыл бұрын
Hili Ni jiko la stove Ni kitambo tu hata ukienda kwa mafundi radiotor wanatumia mfumo huo sasa sijajua tunaita ubunifu ama Kuna jina lingine alafu ukituambia kinachowaka Ni upepo mh
@johnb.j.m2063 жыл бұрын
Ayo TV unafanya kazi nzuri ya kuibua vipaji. Ila huu ubunifu ukishatangazwa hapa hatupati mrejesho baadaye. Hawa wabunifu wa Kitanzania wanapaswa wawezeshwe ili waibue mengi zaidi. Serikali iwape support.
Shida kubwa kwa hawa wabunifu mnaowatangaza hawajitambui ukiwafuata ufanye nao biashara ni wasumbufu kweli kweli. Yupo mmoja nilimfahamu kupitia ninyi kishachukua pesa Kazi hataki kufanya mwezi wa 4 sasa
@yasinathumani2623 Жыл бұрын
Bro me nipo natafuta mtu wa kufanya nae kazi me natengeneza jiko linatumia oil chafu
@tumainimwanyonge10983 жыл бұрын
Naliitaka unauzaje
@jamesmasanja19633 жыл бұрын
Kwamba gas haiwezi kupika maharagwe Aaah Tafadhali hii ni kitu ya zamani Sana umebadilisha tu umbo la stove kaka
@internetviralvideos90643 жыл бұрын
Haya majiko nayafahamu ni utaalamu wa kizamani babu yangu alikuwa nayo mengi sio kuwa ndio kubuni wa Kwanza..... Yanaitwa stove...
@umiy19713 жыл бұрын
Hii ni stima sio ugeni wala ubunifu mpya
@khadijahali48373 жыл бұрын
😁😁kmb
@internetviralvideos90643 жыл бұрын
@@umiy1971 kwetu tuliyaita stove
@internetviralvideos90643 жыл бұрын
@@khadijahali4837 yap
@khadijahali48373 жыл бұрын
@@internetviralvideos9064 ok
@mgawerevocatus85823 жыл бұрын
Kitu kingine Ayo TV muwe mnasoma comment zinazolalamikia watu mnaowatangaza itawasaidia kuwapa uoga kuwa wanafuatiliwa
@tamimtours69343 жыл бұрын
WABUNIFU WAPO ILA KUWEZESHWA WATU WINGI MKONO WABULI .NA SERIKALI IMELALA