Bagia/ Bhajiya rahisi za kunde

  Рет қаралды 114,793

jikonajane

jikonajane

Күн бұрын

Пікірлер: 82
@majorworld2955
@majorworld2955 2 ай бұрын
wow! hongera
@rehemamwamakula7328
@rehemamwamakula7328 2 ай бұрын
Asante Kwa somo zuri nimekuelewa sana
@AmaniKarugaba-d7b
@AmaniKarugaba-d7b 11 ай бұрын
Safi sanaa
@jayzeem14
@jayzeem14 2 жыл бұрын
Safi sana!:nimefurahi kujifunza mbadala wa kunde Asante sana nzuri sana!:
@mercyurio1632
@mercyurio1632 7 ай бұрын
Nakupenda jmn kwann sjakuona kitambo😢umenifunza
@magangakiyabo3429
@magangakiyabo3429 Жыл бұрын
Hongera 👏 👏
@tamarablack254
@tamarablack254 2 жыл бұрын
Kando na Dania(coriander)waeza Tumia mchicha(pig weed)....kunde nyeusi nzuri ..
@milembemakoye4604
@milembemakoye4604 4 ай бұрын
Nimependa mafunzo ya video hii jane
@iddahravity9369
@iddahravity9369 3 жыл бұрын
Asante sn maganda baada ya kuloweka yalikuwa yananikera now nimepata njia mpya thx
@magrethnnko4350
@magrethnnko4350 3 жыл бұрын
😋😋😋😋cijawahi jutia kukutazama jmn unaniweza kwa jiko hatr vingi nafnya kama unavyoelekeza .
@harunisimkonda6873
@harunisimkonda6873 2 жыл бұрын
Hongera Kwa pishi zuri
@nilzaluzuka7751
@nilzaluzuka7751 Жыл бұрын
👍
@muotinzmultiply88
@muotinzmultiply88 3 жыл бұрын
Asante sana....nitazipika na maganda... maana maganda ni fibre.
@jikonajane8459
@jikonajane8459 3 жыл бұрын
Yanafanya pia zinakuwa more crunchy 😊
@SubiraAli-qw4sk
@SubiraAli-qw4sk 7 ай бұрын
Aslm alkykm.vp hutii unga wa ngano
@chalamilakhamis-om6ek
@chalamilakhamis-om6ek Жыл бұрын
Pambe mamy ❤nmepnd
@MarinaLudanha
@MarinaLudanha 11 ай бұрын
Majani ya giligilani si rahic kuyapata nafanyaje?
@aminaaminaali-ch3vo
@aminaaminaali-ch3vo Жыл бұрын
xo sweet badia
@sarahkalume5845
@sarahkalume5845 Жыл бұрын
Nlijaribu lakini hazishikani
@MaryNswila-i3d
@MaryNswila-i3d 4 ай бұрын
Naomba kuuliza bagia wanatia Amira?
@josephinealex8966
@josephinealex8966 Жыл бұрын
Asante kutuelimisha kipimo cha kunde sijakipata samahani.
@ilhamhaji1125
@ilhamhaji1125 10 ай бұрын
Vikombe viwili
@dorcaslundumen4370
@dorcaslundumen4370 2 ай бұрын
@elizabethmuhoka7837
@elizabethmuhoka7837 2 жыл бұрын
Asante nitajaribu
@annkamau2760
@annkamau2760 2 жыл бұрын
Asante kwa kiswahili
@felisterabed9859
@felisterabed9859 2 жыл бұрын
Asante mpendwa nimeipenda hiyo
@hellenmawere9284
@hellenmawere9284 2 жыл бұрын
Kazi nzuri cute Jane... Naanza kukufuatilia Sasa😍😍
@tabumnenge7982
@tabumnenge7982 2 жыл бұрын
Asante Jeni bagiani nzuri
@ilhamhaji1125
@ilhamhaji1125 10 ай бұрын
Vipi kuhusu moto uwe mdogo mdogo au saiz ya kati!?
@salmakibwana8401
@salmakibwana8401 2 жыл бұрын
Nimependa sana
@lucynyalagu3799
@lucynyalagu3799 9 ай бұрын
Asante kwa upishi huo
@naturelle1097
@naturelle1097 Жыл бұрын
Baking powder na limau zina saidia nn
@gloriousmunissy6483
@gloriousmunissy6483 2 жыл бұрын
Asante sana mpenzi
@anethpino1321
@anethpino1321 2 жыл бұрын
Ubarikiwe dada
@MaryNswila-i3d
@MaryNswila-i3d 4 ай бұрын
Nimejifunza pishi tami
@kadijahajali3918
@kadijahajali3918 2 жыл бұрын
Nzur unaweza mashalah
@mariamhamis-dc4px
@mariamhamis-dc4px Жыл бұрын
Ungeongeza kitunguu saumu na majani yauwatu bajia Zina kua Yammy
@michaelsamsoni8147
@michaelsamsoni8147 Жыл бұрын
Hogrraa sana mungu akubariki
@maryammohammed1991
@maryammohammed1991 2 жыл бұрын
nzuri sana shukran
@priscamshama2636
@priscamshama2636 Жыл бұрын
Kunde kiasi Gani?
@dominikamtewele2103
@dominikamtewele2103 Жыл бұрын
Mi nahitaji kujifunza za njegele
@jamilajamila9682
@jamilajamila9682 Жыл бұрын
Sasa hapo kwenye kuroweka kunde,je unaroweka kwa muda gani!? Ili isagwe
@ireneshayo413
@ireneshayo413 Жыл бұрын
Usiku kucha/ unaloweka asubuhi then joini unapika😂
@hidayanina5288
@hidayanina5288 Жыл бұрын
Asantee
@jacklinemmasy5130
@jacklinemmasy5130 2 жыл бұрын
Nimipenda samahan eti Amira haiwekwi?
@jescalutegonsombnambyakoda6719
@jescalutegonsombnambyakoda6719 Жыл бұрын
Bagia hiz napenda lakn napata San kiungulia SIJUI why
@khalimarjabir6976
@khalimarjabir6976 2 жыл бұрын
Ni tamu sana
@RoseAndrew-u7f
@RoseAndrew-u7f Жыл бұрын
❤❤❤❤❤
@annasaid6065
@annasaid6065 Жыл бұрын
Nice
@amiriabdul6305
@amiriabdul6305 2 жыл бұрын
kama huna chakusagia unaweza kuzichemsha alafu ukaziponda ponda mpaka ziwe rain
@safiaothman1098
@safiaothman1098 3 жыл бұрын
SHUKRAAN SANA
@annkamau2760
@annkamau2760 2 жыл бұрын
Wow
@lilianluhasi5053
@lilianluhasi5053 2 жыл бұрын
Àsante Sana dada
@aminasalamalekumamina6217
@aminasalamalekumamina6217 3 жыл бұрын
Salam alekum uanasaga giligilàni nà vigiti vake
@jikonajane8459
@jikonajane8459 3 жыл бұрын
Mimi natoaga vijiti nasaga majani peke yake kama kwenye video
@lailatsaid5145
@lailatsaid5145 Жыл бұрын
Sio bagia ,nibajia😀
@GulfOman-of9cy
@GulfOman-of9cy Жыл бұрын
Yupo correct ni Bagia ndio zinaitwa love
@aishaathumani7264
@aishaathumani7264 Жыл бұрын
Hohoo je na karoti
@furahinisimba6304
@furahinisimba6304 3 жыл бұрын
Asante lazima nitengeneze pia haitumii muda mwingi
@jikonajane8459
@jikonajane8459 3 жыл бұрын
Kweli, ni rahisi sana😊
@goodluckpiga7466
@goodluckpiga7466 Жыл бұрын
Samahan dada kama huna majan ya giligian utatumia nn
@ITIKAGIDEON
@ITIKAGIDEON Ай бұрын
Tumia majani ya uwatu au mchicha
@kalundedoto5830
@kalundedoto5830 Жыл бұрын
Naitwa kalunde kutoka Dodoma
@reisamedia8465
@reisamedia8465 3 жыл бұрын
Love you Jane. Your blessed. Am Naomi a new subscriber on your channel. Greetings from Tanzania. Love you. Hi to baby Mila
@jikonajane8459
@jikonajane8459 3 жыл бұрын
Jamani, ahsante sana my dear. Salamu zimefika, tunakutumia lots of love from Berlin
@shuweahamisi2271
@shuweahamisi2271 Жыл бұрын
Mashallah
@betinamajele1264
@betinamajele1264 3 жыл бұрын
Blenda unaweza tumia ya juice
@jikonajane8459
@jikonajane8459 3 жыл бұрын
Ndiyo, mimi natumiaga ya juice
@joycevarisango8484
@joycevarisango8484 2 жыл бұрын
Hivi ukisaga unga was kunde mashineni kabisa
@happynessrobert7011
@happynessrobert7011 3 жыл бұрын
Unaitumia hamira au Baking powder? Maana sijaona
@jikonajane8459
@jikonajane8459 3 жыл бұрын
Baking powder, nimeweka mbona angalia vizuri
@naturelle1097
@naturelle1097 Жыл бұрын
Aliweka bakin powder
@marianyahenge9529
@marianyahenge9529 Жыл бұрын
Naomba uwiano wa bp na kiasi Cha kunde plz
@edinamasunga7473
@edinamasunga7473 3 жыл бұрын
Maji ya limao yanasaidia nin
@jikonajane8459
@jikonajane8459 3 жыл бұрын
Yanaongeza flavor
@edinamasunga7473
@edinamasunga7473 3 жыл бұрын
Asnt
@petroniachilonge6805
@petroniachilonge6805 3 жыл бұрын
Mashine hiyo ya kusagia nafaka inauzwa shl ngp
@jikonajane8459
@jikonajane8459 3 жыл бұрын
Sipo tanzania, sijui kwa tanzania zinauzwa bei gani
@bellebellebelle5485
@bellebellebelle5485 3 жыл бұрын
@@jikonajane8459 na Kenya, haswa Nairobi naeza ipata wapi? Asante.
@jikonajane8459
@jikonajane8459 3 жыл бұрын
@@bellebellebelle5485 ulizia maduka ya vyombo wanaweza kuwa nazo
@MargrethHelman
@MargrethHelman Ай бұрын
Jinsi Ya Kupika Bagia Nzuri Za Dengu/How To Make Bagia At Home
7:21
Mziwanda Bakers
Рет қаралды 534 М.
Try this prank with your friends 😂 @karina-kola
00:18
Andrey Grechka
Рет қаралды 3,7 МЛН
This Rice Dish Is Delicious
7:00
Rozy's Kitchen
Рет қаралды 562
Maini makavu ya kukaanga na mbogamboga
12:05
jikonajane
Рет қаралды 11 М.
BAJIA ZA KUNDE /JINSI YA KUPIKA BHAJIA (BLACK EYED PEAS) WITH ENGLISH SUBTITLES
6:57
Tajiri's Kitchen Swahili Flavor
Рет қаралды 116 М.
HUTONUNUA MKATE TENA  BAADA YA KUANGALIA VIDEO HII
6:21
keki plus
Рет қаралды 1,7 МЛН
KUTENGENEZA MANDA ZA SAMBUSA/SAMOSA SHEETS
9:41
Ika Malle
Рет қаралды 428 М.