Una jua sana mwambaa umewapa wana ume heshima sana kk ubarikie
@shabanikhamisi56982 жыл бұрын
Yes yes melody kali sana videos ver nice 👌 thanks mfalme unajua sana dansi tz niya kwako
@erickmsuya64652 жыл бұрын
Mtoto wasinza washa Moto kk
@zaitunimakungwa81452 жыл бұрын
No uyu jama ana jua Sana natamani kukuona Sana live Mungu akujalie kijana ufungue band ya kwako unakipaji kikubwa Sana kwenye mziki uhu wa dansi Tanzania ubarkie duh ngoma Kali Sana nafarijika
@geremyshadrack91702 жыл бұрын
🔥🔥🔥 ... Tisha Sana aisee
@nicholauskadala55372 жыл бұрын
King 👑 wa Rumba 🎸🎷🎺🎤🎧
@makasabubala56612 жыл бұрын
Bi up my brother all the best long life my my brother
@ibrahimleonard9542 жыл бұрын
Jimmy manzaka yanga damu nakupenda sana Mwamba🙏🏻✌🏻
@ashurabakari2602 жыл бұрын
Nice song mfalm Jimmy very vere nice
@nicholauskadala55372 жыл бұрын
Mziki kwako ni sawa na maji tu unatereza tu king of Rhumba
@ellysambo27022 жыл бұрын
Kitoko makasi
@marikyusan89262 жыл бұрын
🇹🇿🙏🎧💕 Tisha sana mkali hujawi kukosea 🇷🇪
@mwaluluzuba32922 жыл бұрын
Hujawai feli kwenye utunzi wa nyimbo zako, pia hongera kwa video nzur 🔥 🙏
@amossulle44052 жыл бұрын
watoto wa sinza tuna kupenda sana Mtu yawatu auna ubaya kk unajuasana tu respect
@rebecasiame18012 жыл бұрын
Nice
@mbababaukene6702 жыл бұрын
Meanie mturuge
@yonaabdi26022 жыл бұрын
Mfalume wa rhumba🔥🔥💚💛
@dennisnyamweya39092 жыл бұрын
Quality music with good message. I like it so much.
@judithmaeda66502 жыл бұрын
Bonge la rhumba 👌
@thabitissa67662 жыл бұрын
Ngoma kalili sana🔥🔥🔥
@frankmsungu14822 жыл бұрын
Mtuluge atari sana tz una itendea aki sana dansi ipo siku kk nakuona mbali sana kidunia yes nice song quality video cool cool music
@Maseke102 жыл бұрын
MKALI WA HIZI KAZI MFALME WA RHUMBA JIMMY MANZAKA ✅✅✅
@abulrashid62542 жыл бұрын
Peninah penzi la baba niatari sana nice quality and Melody yeah
@erikimukali96352 жыл бұрын
Balaaaa song Kali Sana auna mpinzani brother duh Kali mno
@jeffballafundi97762 жыл бұрын
Hongera Mzee Umetsha👏👏👏👏✌️🥰🙌
@jumamakamba22122 жыл бұрын
Wimbo mzuri hujawahi kuniangusha mfalme wa rhumba
@ismailjah93922 жыл бұрын
Cool cool
@papaamarsha16592 жыл бұрын
Wimbo mzuri sana video nyo ni nzuri sana MFALME NI MFALME
@BahatiKajobile Жыл бұрын
Mama petit Jesus na mbeya ❤❤❤ pongezi mwanangu ufike mbali mungu akubariki sana
@peninahrasugu74372 жыл бұрын
Jimmy Manzaka-Peninah Penzi La Baba DRN 🎼🎶❤️❣️🔥🔥🕊🕊
@athumanikahoki48072 жыл бұрын
Wewe jimmy manzaka nakukubali sana huna mpinzani jimmy manzaka mmoja tu usimfananinishe na vitu vya kijinga hapa tz wewe ndiyo mfalme wa Rhumba 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@magrethshishwa54812 жыл бұрын
Kichupa konkiiii🔥🔥🔥🔥umeuaaaa kinomaa
@marshamuisyo38082 жыл бұрын
🔥🔥 fire. Much love from Brooklyn NY.
@mcpambe80632 жыл бұрын
Kama kawaida....tracklist imepokea ingizo jipya. Kazi safi Mtu Rouge
@materekajunior43392 жыл бұрын
Astonishing vocalistic Rhumba...
@adammsowoya31272 жыл бұрын
Kila mahali mmutoooooooooo,by adam.tom
@adammsowoya31272 жыл бұрын
Safi kabisaa
@shilwaluwole4389 Жыл бұрын
I miss my papa apumzike kwa aman @jimmy manzaka ss ndo wale hatukupata mapenzi ya baba zetu
@twali_b2 жыл бұрын
Mutu Rouge, Speed ya Vites ✈ 🔥
@jimmymanzaka12812 жыл бұрын
Nakutafu mzaxi🤣
@rickansiribwa82892 жыл бұрын
Nice sana mfalme
@dave-rupofficial46272 жыл бұрын
Rumba tamu kama asali
@shomaryathumani96852 жыл бұрын
Danger de mort Mutu Rouge. Keep it up bro
@johnycavishe5207 Жыл бұрын
Big up Sana nmekjua kptia game ya tp mazembe na yanga kmbe unatsha kwenye kuimbae
@jamilatongota58522 жыл бұрын
kama kawa rhumba la nguvu bila makelele🔥🔥🔥🔥🔥
@fredrickkweka17852 жыл бұрын
Jimbo la taifa hili .......yaani Sauti yako tu alafu unamtaja mtoto mkali "penina """daaaah !!! Ukizindua utuambie tusikose kabisa
@tuffmachine12 жыл бұрын
So cool, well composed good work.
@peninahrasugu74372 жыл бұрын
❤️
@peninahrasugu7437 Жыл бұрын
Thanks Cuzo
@pamgloriazayky60682 жыл бұрын
I feel in heaven already listening and dancing to this with my hubby & ma kid. Thank you so much. I wish the whole world would be rhumbatic bombastic.
@kelvinkevo30562 жыл бұрын
🌹🌹🌹❤️❤️❤️❤️
@franciskambu16292 жыл бұрын
❤❤❤❤❤❤❤
@majormajomjohn37752 жыл бұрын
Mfalme wa Rhumba
@frankmakeula4506 Жыл бұрын
Nyimbo nzr
@xbasstonaofficieltv2 жыл бұрын
Wataisoma namba
@akramperfumestz20202 жыл бұрын
Ezali Rhumba confirmé
@kumskanza2492 Жыл бұрын
Courage courage
@mashalamusicempire11582 жыл бұрын
💣💣💣💣💣🔥🔥🔥🔥🔥
@rebecasiame18012 жыл бұрын
🔥🔥
@omaryabubakary42632 жыл бұрын
Manzakaaaaaa💥💥
@beatricefrumence36042 жыл бұрын
😋😋😋😋😋🙏
@gastojason1292 жыл бұрын
Mfalme wa rumba
@ramsonmpulule6264 Жыл бұрын
Ngoma imetulia
@graceanyungu2774 Жыл бұрын
Wow nice sound
@ramsodavidson60112 жыл бұрын
Km kawaida yako Mchawi wa Mic, mchawi wa Rhumba,Umetisha sn goma kali ,Video kali sn Jembe, Ongera sn tumekumiss mwana United Arabic Emirates (Dubai)huna Mpinzani.