No video

JIMY KINDOKI AWAPONDA SIMBA/WAMEAGA MCHEZAJI KISUKUMA/WABEJA KULOMBA/CHAMA AMESHAMWAGA WINO YANGA.

  Рет қаралды 8,510

M15  TV

M15 TV

Күн бұрын

Пікірлер: 17
@amjadikihongosi1135
@amjadikihongosi1135 2 ай бұрын
Mimi Simba mwamba nakukubali sana
@user-zu8ou2oe4c
@user-zu8ou2oe4c 2 ай бұрын
Ila tu nakukubali mana mnasherehesha soka letu
@ALLYBULULA
@ALLYBULULA 2 ай бұрын
Salut kwako kindoko mm nimekuelewa ila unawaamsha sana kwahiyo tumia kod ili nawao waumize kichwa
@MrishoMindu-zq7mz
@MrishoMindu-zq7mz 2 ай бұрын
Kweli Nyani haoni kundu lake. Unamuachaje Kenedy? Kwa kigezo gani kisa humpi muda? Vip fred ? Vip Okra? Alikua hapati nafasi? Hapa napo mmetumia kigezo gani? Tujaribu kua wepesi kuelewa wagumu wa kusahau. Unaongea mpaka unapitiliza unasahau ulicho ongea.
@DenisSanga-bj5ud
@DenisSanga-bj5ud Ай бұрын
Jimmy usiwashtue hao mambumbumbu waache waendelee kudanganywa
@AmadeIssaPengo
@AmadeIssaPengo 2 ай бұрын
Au moyo wa Morson na chama uko sawa ukiwapenda sawa na bure muda utasema Kwa chama.
@LetasKomba-br1xh
@LetasKomba-br1xh 2 ай бұрын
Kwani yanga mlivyo badirika kwann wale wachezaj hawakukataa na kuja Simba?
@rizikikihombo7713
@rizikikihombo7713 2 ай бұрын
Tujifunze nini kutoka simba 😁😁😁😁😁😁
@LetasKomba-br1xh
@LetasKomba-br1xh 2 ай бұрын
Acha kuingilia mambo ya Simba diri na ya kwako Kwan ww unaumia nn? Ww huwez kutufundisha hata ninyi mliwatimua wengi Akina deus kaseke na wengine
@AmadeIssaPengo
@AmadeIssaPengo 2 ай бұрын
Chama yuko na Morson moyo wake na muda utasema.
@charlessolomon5928
@charlessolomon5928 2 ай бұрын
Kindoki unaongea chin ya kiwango
@LetasKomba-br1xh
@LetasKomba-br1xh 2 ай бұрын
Kwan shida kuchukua kombe au kuitengeneza timu yako iwe Bora?
@user-gb2pl3ln9m
@user-gb2pl3ln9m 2 ай бұрын
Madeni fc
@errydeo8865
@errydeo8865 2 ай бұрын
Mwanaume DENI BRO! KAMA HUNA DENI BASI UNAPEWA VYA BURE! Marekani taifa KUBWA tajiri duniani lina deni! Itakua Yanga? Na jua madeni yalikujaje! Wewe kila sehemu nakuona! U always post rubbish! Una kazi wewe😂😂??
@abdallahkibamba1116
@abdallahkibamba1116 2 ай бұрын
Oya ww mshamba kumbe ongerea yanga kufungiwa ya Simba utapata mimba mzee umekua kama. Mama mjamzito unatema mate kila Kona mzee
@errydeo8865
@errydeo8865 2 ай бұрын
Fatilia mpira! Mambo ya kufungiwa yashapitwa na wakati! MAMBO hayo yaliisha tangia 14/ 6! Unaishi nchi gani bro!!?Nyie lazima tuwakere! Msimu mzima umeisha msemaji wenu alijigeuza msemaji wa Yanga! Sasa unalia nini!? TULIA bi mdogo 😂
@user-zu8ou2oe4c
@user-zu8ou2oe4c 2 ай бұрын
Wap ww mmefika mara 1 club bingwa midomooo sisi ni zaid ya mara 5 nyie bado mnatakiwa mjifunze kwa simbaaaaa
小丑把天使丢游泳池里#short #angel #clown
00:15
Super Beauty team
Рет қаралды 46 МЛН
The Giant sleep in the town 👹🛏️🏡
00:24
Construction Site
Рет қаралды 20 МЛН
黑天使遇到什么了?#short #angel #clown
00:34
Super Beauty team
Рет қаралды 47 МЛН
ОБЯЗАТЕЛЬНО СОВЕРШАЙТЕ ДОБРО!❤❤❤
00:45
MCHOME UNATAKIWA UPEWE MAUA KAKA HUJAWAHI KUWA MNAFIKI
9:01
LISSU AFUNGUKA SIMBA KUPEWA JINA LAKE  NA RAIS SAMIA
6:34
Mwananchi Digital
Рет қаралды 38 М.
小丑把天使丢游泳池里#short #angel #clown
00:15
Super Beauty team
Рет қаралды 46 МЛН