Kaka nimependa sana maelezo yanaelezea ukweli mtupu.
@ruzhalnetwork47533 жыл бұрын
Asante sana director timoth kwa darasa lako mimi ni actor lakin pia napenda na uandishi wa film hakika nimejifunza vitu vingi mpaka hapa nilipo fikia somo hili la tatu pia naombi kwako utusaidie nasisi waigizaji yaan uanzishe darasa litakalo wahusu waigizaji na sio producer, director au script writer
@mussafanto70883 жыл бұрын
Shukrani sana kaka
@ofmae-thebrainstech35012 жыл бұрын
This is the Best scool of Filming for sure.
@philipojangama Жыл бұрын
Shukrani sana timoth, nimeongeza vitu vingu mm Kama mwandish na mzalishaji
@JumaSingano-pr3rn23 күн бұрын
Nakushkuru sana kaka na nmekuelewa
@Chawamsafi12 жыл бұрын
Mfano mzuri ambayo wametuacha na maswali hadi leo ni story ya watoto wa mama ntilie na ngoswe
@tallenfilms2 жыл бұрын
Asante sana Director lakn pia ninapenda nipate namba yako tuweze kuwasiliana nina personal issues nisingependa tuwasiliane katika uwanjaa huu🙏
@manjatz759426 күн бұрын
We Kuma unafundisha vizuri Sana dah weka nipe namba nikutumie Ata buku 5 dah upo vizuri
@BahatiNgowi Жыл бұрын
Good job bro ninakufuatilia sana
@halaatv3 жыл бұрын
Shukran sn kk
@Adomix-zd3fj8qz6o9 ай бұрын
Asante sana 🎉🎉🎉
@HAfidh-mo3xz Жыл бұрын
Samahani naomba unifundishe kuipanga script kwenye daftar
@mortencegeorge80033 жыл бұрын
Kwamfano series ya JUMONG tulivyo tambulishwa ayamuso, mpaka alivyo kufa, act one iliishiya wapi
@mpyangatv94503 жыл бұрын
Mmmmmh...... Sio rahisi kupata mwalimu kama wewe.
@ElishaOtieno-qi6xp Жыл бұрын
Nimekuelewa Sasa kaka.
@ElishaOtieno-qi6xp Жыл бұрын
Lakin brother pamoja na yote umeni kujiona mshindi katika darasa lako ktu kikubwa ninacho taka kutoka kwako ni namba yako kunamambo flani ya faragha nahitaji nikushirike tuweze kutengeneza kitu plz brow.
@anitayambayamba30352 жыл бұрын
No yako director
@SamuelOndaraАй бұрын
Ni vp mtu anafaa kwandika prologue Ni baada Ya kwandika script ama n kabla Ya kwandika script
@Blackmedia2745 Жыл бұрын
Naomba kuipata number yako brother samahani
@learnswahiliwiththeobald12832 жыл бұрын
kazi nzuri kaka, nilkua naomba kujua kitu ktk uandishi wa script, kwa mfano tunavyoona kweny film scene moja inakatwa kabla haijaisha, then inakuja scene nyingn na baadae ile scene inarudi inaendelea, sasa katika kuandik script ile scene tunaikata au tunaiandika had mwisho wa scene then editor anakuja kuikata?
@JumaSingano-pr3rn23 күн бұрын
Hiyo ni kazi ya editing
@Bekakiluasha-fu7pw7 ай бұрын
Kak vip Antagonist akirudi nyuma na kuwa katka upande wa shujaa katik act3 bila lengo la kumteketeza shujaa kutakuwa na ubaya?
@Akymedia0072 жыл бұрын
kaka mm Niko mwanafunzi wako Kabisa nafatilia mafundisho Yako mpaka Sasa nimetengeneza flamu kwa kutumia akili niliyo ipata kwako ila nilitaka unikosoe kama Kuna mapungufu
@HassanKipyego-cs5ff15 сағат бұрын
Weka link ya filamu yako
@aminahassan75143 жыл бұрын
Kaka Timothy mie napendaxana kuigiza Lkn xjapata iyo nafasi Kama kutakuwa na uhitaj wa waigizaj mie nkotayar