📂 Kwa wanaoshindwa kufanya applications, karibu tuhudumie kwa bei rahisi kabisa! ✅ Tumeamua kuwaelekeza bure ili mtu akishindwa atatuchangia gharama ya bando la kumsaidia application yake tu. ⭕ GUSA LINK HII KUWASILIANA NASI MOJA KWA MOJA WHATSAPP ➠wa.me/message/KPBYLKDN6LF5B1 ⭕TAFADHALI FUATA MUUNDO WA MESEJI ULIOWEKEWA ILI KUHUDUMIWA KWA URAHISI ✍️KARIBU SANA
@JoyceWandaka6 ай бұрын
Shukran ❤
@utumishiportal6 ай бұрын
Karibu sana ndugu @Joycewandaka
@boscosabuni9353 Жыл бұрын
So kuna haja ya kutuma application letter tena as attachment wakati main body umejielezea Main boy ya email na application letter vintofautiana
@utumishiportal Жыл бұрын
Yeah kuna haja kibwa sana ya kuambatanisha application letter, kuna sababu kuu mbili, Mosi! Wachakata maombi ya ajira huwa wanatofautiana, kuna wengine wanakimbilia moja kwa moja kwenye attachments, hivyo kama hujaweka application letter itakuwa tatizo pia! Zaidi ya hivyo, pili, documents zako unazoambatanisha ndizo hutumika kama kumbukumbu za ajira katika kampuni/organization husika, sio rahisi kuhifadhi email yako kuwa ndio kumbukumbu ya ajira zilizotolewa!
@boscosabuni9353 Жыл бұрын
@@utumishiportal asante sana... Kwa hivyo unachoandika main body ya email na application letter kuna haja ya kutofautisha
@khamisimaallimtv85396 ай бұрын
@@utumishiportal kwa hiyo utatuma na maombi kwa had kopy ili iwe kumbu kumbu kwao?
@FelisterEmanuel7 ай бұрын
Unaweza kuomba kupitia cm au mpk uwe na laptops
@utumishiportal7 ай бұрын
Hata kwa kutumia simu. Unaweza kote!
@ramadhanmaige-r6e Жыл бұрын
Nimekuwa nikituma email kuomba nafazi za kazi but nmekuwa nikipata shida jinsi ya kutuma ningependa kupata maeelezo zaidi kuhusu utumaji wa CV na caverletter
@utumishiportal Жыл бұрын
Kwenye Hii video nadhani tumeelezea vingi labda kama kuna suala tumeeelezea ukawa hujaelewa?
@ShukuruKharim17 күн бұрын
Ninachotaka kujua ni kwa ninaanzaje online kuandika
@EliphasKisioki-o1rАй бұрын
Na gmail ambayo inayo Cc na Bcc inamaanisha nn
@ClarahKavishe-zx3ps11 ай бұрын
Mh mm cjaelewa
@utumishiportal11 ай бұрын
Hujaelewa wapi ndugu!
@twahathomas3514 Жыл бұрын
Nahitaji kufuta account au kupunguza baadhi ya documents kwny account yangu maana nimejaribu kufanya hvyo nimeshindwa. Naomba msaada wako
@utumishiportal Жыл бұрын
Account gani? Gmail?
@MariamShabani-qb2de9 ай бұрын
Kwan ni lazima iwe ya kingereza
@utumishiportal9 ай бұрын
Inategemeana na unapoapply! Kwa kampuni nyingi zinachukulia kiingereza ndo official 😁!
@innocentzephania9830 Жыл бұрын
Naomba kuuliza jinsi ya ku attach document
@utumishiportal Жыл бұрын
gusa kialama chA file kilichopo juu ya emails composer kama tulivyoonesha kwenye video hiyo
@NanayaTz25488 ай бұрын
Vipi kama huna chochote chanku attach but una experience na kaz hiyo kutokaka na field mbali mbali na kufanya ktk orgn mbal mbal????
@JacksonKabika-qn5me7 ай бұрын
Te ukitaka utume napo barua ambayo imesha andikwa tayar unafanyaje
@utumishiportal7 ай бұрын
Nimeonesha hapo namna ya kuambatanisha nyaraka, ambapo miongoni mwa nyaraka ni hiyo barua ya kuomba kazi, CV, vyeti na vinginevyo
@jacrisy09396 ай бұрын
Kuna nyaraka nimeweka kwa makosa nikitaka kuappy kaz inagoma nifanyaje
@utumishiportal6 ай бұрын
Nyaraka zipi
@jacrisy09396 ай бұрын
@@utumishiportal user yangu nimeisahau pili namba niliyo sajiria sipo nayo tena