Jinsi ya kufanikiwa kwa muda mfupi | Kupata kazi | Utajiri | Mapenzi | Pesa | Ushindi | Cheo

  Рет қаралды 24,396

Rakims Spiritual

Rakims Spiritual

Күн бұрын

Tumia njia hii kufanikiwa chochote ulichokwama.
VIDEO YA NGUVU ZA MIUJIZA
www.youtube.co....
JINSI YA KUTOKA NJE YA MWILI
www.youtube.co....
JINSI YA KUFANYA MEDITATION
• Jinsi ya kufanya Medit...
KWA HAYA NA MENGINEYO TEMBELEA
rakimsspiritual...

Пікірлер: 211
@user-fw4ci3zn5v
@user-fw4ci3zn5v 9 ай бұрын
Jamani kama kuna watanzania wamefanikisha kwa maswala haya basi tuelezeni nasi ambao tunatafuta kujikuamua na maisha magumu haya ,tuweze saidia wenye uwezo mdogo
@SadockKyokyo-fu2nn
@SadockKyokyo-fu2nn 9 ай бұрын
Utaunganisha vip hitahi baada ya kutamka
@SadockKyokyo-fu2nn
@SadockKyokyo-fu2nn 9 ай бұрын
Hitahi namaansha
@geofreymwakatobe7950
@geofreymwakatobe7950 3 ай бұрын
Sasa baada ya kusema maneno hayo then ?
@FestoEliasMhh
@FestoEliasMhh Жыл бұрын
Watu wengi wanataka ila hawana imani na hichi kitu; mm nimeelewa kwa licha ya kutamka , inahitajia kuamin kwamba itakuwa
@AsumanMud-tu2yg
@AsumanMud-tu2yg Жыл бұрын
Safi sana mimi nataka nifanye
@LameckMartine
@LameckMartine 5 ай бұрын
Kaka nakukubari sana haya unayo fundisha naona kama nilichelewa kujua
@MejagaredAbambo
@MejagaredAbambo 7 ай бұрын
Habari za mchana ,samahani naomba kuuliza ,unielemishe kuhusu Jini ninayemshikia anaitwa MAMI WATA .ni ji gani
@rakimsspiritual
@rakimsspiritual 7 ай бұрын
Nitamuelezea nikipata wasaa
@zainabmusa-kf8zi
@zainabmusa-kf8zi 2 ай бұрын
Asalamu alaykumu warahmaturulla, kk,nitakupataje
@zainabmusa-kf8zi
@zainabmusa-kf8zi 2 ай бұрын
Kk,samahani sija elewa kwaili,somo, naomba, namba yako,,kk wetu
@alexkipepeo3611
@alexkipepeo3611 6 ай бұрын
Sawa kaka
@kassimsaid9644
@kassimsaid9644 7 ай бұрын
Nimependa wewe ni Mwalimu nzuri
@rakimsspiritual
@rakimsspiritual 7 ай бұрын
Asante sana Endelea kutufuatilia kwa maarifa zaidi asante
@ChipkiziRashid
@ChipkiziRashid Ай бұрын
Mimi naomba namba Yako plz naomba​@@rakimsspiritual
@AdamOmar-ib9vw
@AdamOmar-ib9vw 5 ай бұрын
maasha allah uko allah akuongoze na akupe umri mrefu wenye kheri ndani yake tuzidi kujifunza kwako na pia mwalim juu ya hili somo nimeelewa vizuri ila je ni vitu gani natakiwa kuwa navyo kwa kufanya iyo kazi na ni wakati gani na mazingira gani.?
@rakimsspiritual
@rakimsspiritual 5 ай бұрын
Amin atuongoze na atujalie sote In shaa Allah... Hakuna kitu chochote zaidi ya utulivu na kufanya nilivyoelekeza
@AnnaMkasa
@AnnaMkasa 14 күн бұрын
Mwalimu unataja marangapi katika yale majina 5 ,mfono × 100 au × 1ooo
@GasoreJuma
@GasoreJuma Жыл бұрын
Kaka kila aliefaanikiwa kuwapata hawa watumwa,hasemagi. Wapo kabisaa. Namim INSHAALLAH nitawaita.
@rakimsspiritual
@rakimsspiritual Жыл бұрын
Kusema siyo rahisi tangu nimeanzisha hii channel ni watu zaidi ya mia 6 wameweza kumuita salsal lakini 6 tu ndio waliweza kuweka kwenye comment
@JuniorAtembo-wg5mz
@JuniorAtembo-wg5mz Жыл бұрын
@@rakimsspiritual napenda niulize kutaja haya majina yuzi rasi mini sari sasi mara tano ina bidi uyataje mda gani na unatkiwa uwe na nini na sehemu gani mimi natokea congo asante kwa mafunzo yako🙏
@josephndunguru6552
@josephndunguru6552 Жыл бұрын
Hongera san mkuu
@rakimsspiritual
@rakimsspiritual Жыл бұрын
Asante tupo pamoja.
@theobson5004
@theobson5004 5 ай бұрын
@@rakimsspiritualsamahani mkuu nikitaka kuwasiliana nawe personal nakupataje kaka
@DrakeThedon
@DrakeThedon 9 ай бұрын
Mimi bado sijaelewa
@FESTOCHAWALA
@FESTOCHAWALA 26 күн бұрын
Naomba naomba yako
@ElinaikeNyange
@ElinaikeNyange Жыл бұрын
Asante sana kwa darasa.naweza kuonana na Wewe?? Ninashida zaidi nahitaji tuzungumze
@rakimsspiritual
@rakimsspiritual Жыл бұрын
Karibu 0783930601
@Ahmad_XVII
@Ahmad_XVII 2 жыл бұрын
Useful Mantra, please i Would like to use some more Mantras, O spiritual guider
@rakimsspiritual
@rakimsspiritual 2 жыл бұрын
In shaa Allah I will teach more
@japhetochuro3871
@japhetochuro3871 2 жыл бұрын
na mim nahitaji nifanye je kuna njia zingine
@HildaGerald-xq4dc
@HildaGerald-xq4dc Жыл бұрын
Mm nataka utajir mkubuwa lakini izi njia zako zote azini taki
@ramadhanialhabiby6458
@ramadhanialhabiby6458 Жыл бұрын
😢
@dieumerciundimundi4383
@dieumerciundimundi4383 9 ай бұрын
Jambo kaka naitaji number yako ya what’s up na code number Asante taphazali nakusihi naitaji kujifunza mengine
@zachariamwiroli4960
@zachariamwiroli4960 11 ай бұрын
Tatzo una maneno mengi huendi kwenye point unaelezea sana vitu visivyousiana ukiwa unaelezea nenda kwenye point video znakua ndefu 🙏
@rakimsspiritual
@rakimsspiritual 11 ай бұрын
asante kwa kuendelea kuwa nasi
@jabirkassim6249
@jabirkassim6249 2 жыл бұрын
Kaka Ntajuaje kama ameshafika ? Ili kueleza shida yangu.?
@AmuzaMuemede
@AmuzaMuemede 9 ай бұрын
je ukiita yuzi lasi mnsalsasi nini kitakachotokea?
@shariphmahalim5045
@shariphmahalim5045 Жыл бұрын
Maharim mm nashida yakuzungumza nww nkuomb
@rakimsspiritual
@rakimsspiritual Жыл бұрын
0783930601
@user-xw3bb9rv6s
@user-xw3bb9rv6s 11 ай бұрын
Habar naweza pata namba yako
@user-kh8bb9qi4c
@user-kh8bb9qi4c 2 ай бұрын
Nambayako shehe
@rakimsspiritual
@rakimsspiritual 2 ай бұрын
0783930601
@mohamedjuma9115
@mohamedjuma9115 2 жыл бұрын
Asante hii ni zarura mungu atusamehe
@rakimsspiritual
@rakimsspiritual 2 жыл бұрын
In shaa Allah
@user-nt4ov4gl2o
@user-nt4ov4gl2o 8 ай бұрын
me naitaji kua najin je nifaenye yapi ili nimpate
@Ally-Tv2
@Ally-Tv2 6 ай бұрын
Nikisha fanya baada ya siku nagapi nitaona mafanikio
@rakimsspiritual
@rakimsspiritual 6 ай бұрын
Siku 3 hadi 7
@abbastshiband1687
@abbastshiband1687 2 жыл бұрын
Nataka number yako ya simu
@komboarts7110
@komboarts7110 7 ай бұрын
Sijaelewa kaka tunakupataje Ili nipate faida zaidi. Nitashukuru ukija inbox
@rakimsspiritual
@rakimsspiritual 7 ай бұрын
Endelea kutufuatilia kwa maarifa zaidi asante
@user-rv7ii5uc1d
@user-rv7ii5uc1d 5 ай бұрын
Hivi ni mara tano au mara saba maan kwenye video umeandika mar saba
@saadislam718
@saadislam718 2 ай бұрын
Wewe wacha kudanganya watu ndio nini sasa uzirasiminsalisasi yaani wataka tu video yako ipate like
@rakimsspiritual
@rakimsspiritual 2 ай бұрын
Halafu ikipata like ndio nini? Na mtu anaanza vipi ku like kitu cha uongo? Pole mdogo wangu unachotumia hakiendani na umri.
@KhamisOmar-s8b
@KhamisOmar-s8b 7 ай бұрын
Mwalim hii video mm sjaifaham vizur
@rakimsspiritual
@rakimsspiritual 7 ай бұрын
Angalia upya, utafahamu kama wengine walivyofahamu
@JonathanKebaso-yk8le
@JonathanKebaso-yk8le 8 ай бұрын
Sii hututafutie zire zakutoa kafara ya mbuzii au kondo juu hii uta ezafanya kesho upate ajali???????
@user-ho6py3fg5g
@user-ho6py3fg5g 4 ай бұрын
😅
@NtemiKumarija
@NtemiKumarija Жыл бұрын
Habari ndugu naomba kuuliza ukisema maneno hayo anakuja kiumbe au inakuaje
@rakimsspiritual
@rakimsspiritual Жыл бұрын
Fuatilia maelekezo vema
@ChimolasiniourMagawa
@ChimolasiniourMagawa 5 ай бұрын
Mwalimu naomba maelekezo yakina sijaelewa sawasawa
@AnnaKajumi-ks4qj
@AnnaKajumi-ks4qj Жыл бұрын
Kaka MBONA mm nimeita lakini hakijatolea kitu
@rakimsspiritual
@rakimsspiritual Жыл бұрын
Inategemea na shida uliyokuwa nayo na jinsi ulivyoita vile vile kwa kipindi cha ramadhan huwa si vema kufanya haya
@ramadhanhassan36
@ramadhanhassan36 Жыл бұрын
Naomba namba
@rakimsspiritual
@rakimsspiritual Жыл бұрын
0783930601
@Victor-g8k
@Victor-g8k Жыл бұрын
Okay mwalim Mimi nauliza ukisha muita atajuwaaja unacho taka
@rakimsspiritual
@rakimsspiritual Жыл бұрын
Unamwambia
@chachuomalisa590
@chachuomalisa590 3 ай бұрын
​@@rakimsspiritual mwalimu una weza nitajia hayo maneno kwa kuyandika sahamani lakin
@ishaqamohammed7922
@ishaqamohammed7922 2 жыл бұрын
Kaka kwaio ukiitaj Kufanya hivyo haiitaji kutumia udi wala ubani au Kufanya katika chumba kitupu haitaj hivyo vitu
@rakimsspiritual
@rakimsspiritual 2 жыл бұрын
Hapana hizo za chumba tupu ni masharti ya kuita jini
@ShafiiShabani-g8m
@ShafiiShabani-g8m Ай бұрын
Hakuna kifaa chochote?
@Tingi-j5v
@Tingi-j5v 2 ай бұрын
NATAMANI NIJUE HAYA
@neemaabdallah8285
@neemaabdallah8285 2 жыл бұрын
mwalimu habari tafadhar naomba mawasiliano yako
@rakimsspiritual
@rakimsspiritual 2 жыл бұрын
0783930601
@HamisiAmri-p4d
@HamisiAmri-p4d 7 ай бұрын
SoMo zuli ila maelezo mengingi mafunzo ayaishi auja tuekeza Sasa ujiansae vp kita tokea nn ufafanuzi aupo monyo ndio mengi punguza maneno mwalimu
@Victor-g8k
@Victor-g8k Жыл бұрын
Yes my teacher good evening I'm trying to call her but I'm don't see anything about that
@rakimsspiritual
@rakimsspiritual Жыл бұрын
Follow the instr... careful
@NasmaBakari-tt8ci
@NasmaBakari-tt8ci 5 ай бұрын
Naita namba au maelekezo nifanye
@dullahrashid5970
@dullahrashid5970 2 жыл бұрын
Je ukisema haya maneno na hakuna matokeo yeyote unafanyaje na ni mudagani inafaa kutamka haya manone
@rakimsspiritual
@rakimsspiritual 2 жыл бұрын
Unatumia muda ambapo yamekufika na huna jinsi kuna state ya mind unakuwa nayo ambayo hu trigger nguvu ya roho yako ku command a thing to happen.
@SaidaDiriwa
@SaidaDiriwa 7 ай бұрын
Hbr. Maneno yako, yanatia moyo, lakini hujibu comment za watu, wala hutoi namba yako ya cm. Kama unania kweli yakusaidia wengine jibu Basi mbona tunaishia kusikiliza maelezo tu, mb zenyewe ni, zakukopa kaka?
@rakimsspiritual
@rakimsspiritual 7 ай бұрын
Pole sana, yaelekea hujafuatilia ni comment zipi najibu. Asante kwa kushiriki nasi
@user-gs4zg1vv7v
@user-gs4zg1vv7v 6 ай бұрын
hiyo matra niitaje mda gani usik au mchana
@YusuphromanRoman
@YusuphromanRoman 2 ай бұрын
Yanisija elewa
@user-qs8ko6ml8n
@user-qs8ko6ml8n 6 ай бұрын
Naomba unitumie namba wanayo tumia free masoni
@rakimsspiritual
@rakimsspiritual 6 ай бұрын
Hapana sina, Asante kwa kuendelea kutufuatilia.
@ShijaBoniphase-sf7fi
@ShijaBoniphase-sf7fi 10 ай бұрын
Ivi shetani na mzimu ni ndugu
@fivechannel7607
@fivechannel7607 9 ай бұрын
Majirani
@mohammedowity4137
@mohammedowity4137 2 жыл бұрын
Ni lazima uchore circle am pentagram ama
@rakimsspiritual
@rakimsspiritual 2 жыл бұрын
Hakuna ulazima kwa maana hapa hauiti jini wala shetani.
@rashadally6871
@rashadally6871 6 ай бұрын
Vip kuhusu mazingira ya kumuitia yanatakiwa yawe vip na muda gani
@YassinPaul-io1xb
@YassinPaul-io1xb 3 ай бұрын
Nitumie namba yako
@user-gs4zg1vv7v
@user-gs4zg1vv7v 5 ай бұрын
nimefanya hii mantra sijaona kitu
@rakimsspiritual
@rakimsspiritual 5 ай бұрын
Unaweza kuongeza idadi ya 7,77,777 kutegemea na uzito wa ulichotafuta au kunuia
@user-pt7ww5rg8l
@user-pt7ww5rg8l 7 ай бұрын
kaka naomba namba zako nisaidie kufungua jicho la tatu
@rakimsspiritual
@rakimsspiritual 7 ай бұрын
Kuna group ya kulipia elfu 60k kwa mwezi kama unaweza
@lilianmagori4189
@lilianmagori4189 5 ай бұрын
Naomba number
@rakimsspiritual
@rakimsspiritual 4 ай бұрын
0783930601
@salumujuma0412
@salumujuma0412 Жыл бұрын
Sorry mwl kama ninadharura ya hela afu sina chanzo chochote cha hela nikifanya nitapata hela?
@rakimsspiritual
@rakimsspiritual Жыл бұрын
Ndio unaweza kupata
@user-gs4zg1vv7v
@user-gs4zg1vv7v 6 ай бұрын
nitaje mda gani usiku au mchana
@rakimsspiritual
@rakimsspiritual 6 ай бұрын
Wakati wowote
@BitangimanaJaenmarie
@BitangimanaJaenmarie 9 ай бұрын
Naomba namba yako mwalimu wang
@malongeaxiome4526
@malongeaxiome4526 Жыл бұрын
Naomba maelekezo sahihi ili nisipite njiya isiyo sahihi
@rakimsspiritual
@rakimsspiritual Жыл бұрын
Karibu
@benedictodaniel1842
@benedictodaniel1842 7 ай бұрын
Wewe nimwalim mzulisan ila maelezo unayatowa Sana ila point fuifafanui vizuli, kwaulefu Yani mwanzo unaongea sanaa ila pointi unaongea kidogo,
@rakimsspiritual
@rakimsspiritual 7 ай бұрын
Endelea kutufuatilia kwa maarifa zaidi asante
@user-mx8gb3xn9y
@user-mx8gb3xn9y Жыл бұрын
Maalimu mim naomba namba yako tuwasiliane nina mengi ya kuongea
@rakimsspiritual
@rakimsspiritual Жыл бұрын
0783930601
@shabzabdi4923
@shabzabdi4923 3 ай бұрын
Muda Gani mchana ama usiku ama ni wakati wowote
@dullahrashid5970
@dullahrashid5970 2 жыл бұрын
Na maandalizi gani yanatakiwa kabla ya kufanya au kutamka hivi
@rakimsspiritual
@rakimsspiritual 2 жыл бұрын
Uwe msafi usiwe na hisia za kucheka au kulia. Uwe katikati kihisia uwe huna chochote cha haramu umetoka kufanya muda huo.
@AnnaKajumi-ks4qj
@AnnaKajumi-ks4qj Жыл бұрын
Je kaka siku kama ya Leo naweza kumuita usiku
@lazarolazaro5497
@lazarolazaro5497 Жыл бұрын
Hii natakiwa nifanye mda gani usiku mchana au asubuhi?
@rakimsspiritual
@rakimsspiritual Жыл бұрын
Muda wowote wakati wpwote ukiwa umetulia.
@Abdulsaid-h7r
@Abdulsaid-h7r 18 күн бұрын
Kaka nipe namba yako ya watssap
@rakimsspiritual
@rakimsspiritual 17 күн бұрын
+255783930601
@AsumanMud-tu2yg
@AsumanMud-tu2yg Жыл бұрын
Emuniele weshe
@sabinarhainer6438
@sabinarhainer6438 2 жыл бұрын
Mbona sijakuelewa
@rakimsspiritual
@rakimsspiritual 2 жыл бұрын
Rejea tena kusikiliza
@HildaGerald-xq4dc
@HildaGerald-xq4dc Жыл бұрын
Mwalimu mm nmesha fanya sasa namaliza wiki nsku kazaa sasa amuna matokeo yoyote ata kuwita jina lautajiri nimesha yaita sana lakini amuna matokeo yoyote nanina sikiliza vizuri amuna ninapo kosea maali lakini amuna matokeo
@eliezergama7073
@eliezergama7073 Жыл бұрын
unaunganishaje unachotaka na hiyo mantra?
@rakimsspiritual
@rakimsspiritual Жыл бұрын
Inategemea
@williammbinda-9877
@williammbinda-9877 Жыл бұрын
Ndugu yangu uko wapi
@rakimsspiritual
@rakimsspiritual Жыл бұрын
Karibu
@JonathanKebaso-yk8le
@JonathanKebaso-yk8le 8 ай бұрын
Alafuuu aiombi kafala????
@kelvinally7384
@kelvinally7384 Жыл бұрын
Vitabu unvyo soma kuusu uchawi vinaoatikana wapi
@rakimsspiritual
@rakimsspiritual Жыл бұрын
Vya uchawi sifahamu najua vya maarifa.
@MahirOmar-jd5es
@MahirOmar-jd5es 7 ай бұрын
Nisaidiye namba yakoo
@rakimsspiritual
@rakimsspiritual 7 ай бұрын
Kwa shida gani mkuu.
@ramahamyt3604
@ramahamyt3604 2 жыл бұрын
Naomba namba ya wsapp
@rakimsspiritual
@rakimsspiritual 2 жыл бұрын
0783930601
@ramadhanihangolwa2500
@ramadhanihangolwa2500 3 жыл бұрын
Mwalimu,umesema useme Mara tano hayo maneno matano ila hujasema akija anataka nini !!!na pia vipi unamuona!?na ana Masharti yoyote ?na kama humuoni atakupa kwa njia IPI!
@rakimsspiritual
@rakimsspiritual 3 жыл бұрын
Hii ukifanya haina maagano yoyote rudia upya video utaelewa.
@malongeaxiome4526
@malongeaxiome4526 Жыл бұрын
Kaka Naitaji nambayako ya watshapp ili tuwasiliyane
@rakimsspiritual
@rakimsspiritual Жыл бұрын
0783930601
@ShijaBoniphase-sf7fi
@ShijaBoniphase-sf7fi 10 ай бұрын
Ivi shetani na mzimu ni ndugu?
@user-ho6py3fg5g
@user-ho6py3fg5g 4 ай бұрын
😅
@geoffreymwangi6627
@geoffreymwangi6627 2 жыл бұрын
Nataka kumuita Salsal.
@rakimsspiritual
@rakimsspiritual 2 жыл бұрын
Karibu mkuu
@PhilimoniBkangeze-hg2ln
@PhilimoniBkangeze-hg2ln Жыл бұрын
Natamani nipate namba yako unielekeze vizur
@rakimsspiritual
@rakimsspiritual Жыл бұрын
Unaweza kuulizia hapa kwa faida ya wengine pia.
@shabzabdi4923
@shabzabdi4923 3 ай бұрын
Na ni muda Gani mtu anataka kufanya na unamwitaje unafukiza
@mwajumaabdul1520
@mwajumaabdul1520 Жыл бұрын
kaka naomba namba
@rakimsspiritual
@rakimsspiritual Жыл бұрын
Bonyeza hapa www.youtube.com/@rakimsspiritual/about
@MetodMakungu
@MetodMakungu Жыл бұрын
Kaka nabaada yakutamka hayo manene atasubili aje ndouseme hitaji lako? au tasema tu hatakama haujamuna
@rakimsspiritual
@rakimsspiritual Жыл бұрын
Ukimaliza kutaja maneno unasema nia yako
@mangametwalbu7595
@mangametwalbu7595 2 жыл бұрын
Uko wapi, je namba za simu
@rakimsspiritual
@rakimsspiritual 2 жыл бұрын
Napatikana Tanzania
@markangel8331
@markangel8331 2 жыл бұрын
Nisaidie na namba yako ya WhatsApp
@elisamehemndeme4906
@elisamehemndeme4906 2 жыл бұрын
Kwann usimshirikishe mungu
@rakimsspiritual
@rakimsspiritual 2 жыл бұрын
Maana yangu usifanye kama ibada (usifanye kama vile hiyo kauli ndio Mungu wako) waislam tunaita shirki
@chachuomalisa590
@chachuomalisa590 3 ай бұрын
Hayo manen mwalim sija ya papa vizur
@MedenMuthama-yb9gf
@MedenMuthama-yb9gf Жыл бұрын
Mfano unataka mali je utasema majina Kisha useme utakacho ama utasema utakacho ndo uyataje hayo majina?
@rakimsspiritual
@rakimsspiritual Жыл бұрын
Unaanza nia kisha unatamka na kumalizia wingi wa kutaja unategemea na wiki wa hitaji...
@MedenMuthama-yb9gf
@MedenMuthama-yb9gf Жыл бұрын
@@rakimsspiritual qwa hivo inategemea wingi wa kutaja na wiki WA hitaji? ningependa kuelewa zaidi...
@asiakumpuni1512
@asiakumpuni1512 Жыл бұрын
@@MedenMuthama-yb9gf naona kamaanisha wingi wa uhitaji ila kachapia t
@stanslauskitale-xb1zp
@stanslauskitale-xb1zp Жыл бұрын
Mungu akubaliki kaka tunapata elimu endelea kutufunza pia naweza pata namba yako ya what's up
@rakimsspiritual
@rakimsspiritual Жыл бұрын
Asante sana, Karibu unaweza kuipata kupitia About ya channel hii karibu.
@user-yu8yi2vf5x
@user-yu8yi2vf5x 11 ай бұрын
​@@rakimsspiritualnaweza kupata namba yako yasimu
@FatmaFaki-rk8hd
@FatmaFaki-rk8hd Жыл бұрын
Muda gan ni sahh kufanya hii
@rakimsspiritual
@rakimsspiritual Жыл бұрын
Muda wowote
@chershabdallah1723
@chershabdallah1723 3 жыл бұрын
Sijakuelewa
@rakimsspiritual
@rakimsspiritual 3 жыл бұрын
Tizama tena,
@chershabdallah2388
@chershabdallah2388 2 жыл бұрын
@@rakimsspiritual sawa napia nawezaje kumuita jini
@Ally-Tv2
@Ally-Tv2 6 ай бұрын
Unaita mchana au usiku na maandalizi yanakuaje
@rakimsspiritual
@rakimsspiritual 6 ай бұрын
Muda wowote
@agnesmianzu6052
@agnesmianzu6052 2 жыл бұрын
Hakuna uvumba wakuvukiza
@rakimsspiritual
@rakimsspiritual 2 жыл бұрын
Hapana
@abrahmankhamis4705
@abrahmankhamis4705 Жыл бұрын
Mkuu ikiwa ucku panaulazma chumba kiwe giza au vp?????
@rakimsspiritual
@rakimsspiritual Жыл бұрын
Hakuna lazima kuwe na giza
@sophdenis3471
@sophdenis3471 Жыл бұрын
Yuzm salsas
@rakimsspiritual
@rakimsspiritual Жыл бұрын
"Yuzi rasi min sari sasi"
@adammgaya8102
@adammgaya8102 3 жыл бұрын
Mbna ukisema hamn matokeo yyt et kaka
@rakimsspiritual
@rakimsspiritual 3 жыл бұрын
Inategemea na unachotaka na idadi unayotaja
@adammgaya8102
@adammgaya8102 3 жыл бұрын
@@rakimsspiritual mi nimetj kama ulivy sema ila imegma
@mussamtupa
@mussamtupa 2 жыл бұрын
@@adammgaya8102 😂😂😂
@anwaritemalley9917
@anwaritemalley9917 Жыл бұрын
@@mussamtupa 😎😎
@anwaritemalley9917
@anwaritemalley9917 Жыл бұрын
@@mussamtupa 😎
@chrispomjinja9243
@chrispomjinja9243 Жыл бұрын
Kaka naitaji kujua naita mara ngapi??
@rakimsspiritual
@rakimsspiritual Жыл бұрын
Kama ni jambo la kawaida mara 7 kama ni kubwa 77 kama ni kubwa zaidi mara 777 kwa siku 7
@AdamOmar-ib9vw
@AdamOmar-ib9vw 5 ай бұрын
saasa maalim ukishatamka ayo maneno yakishatimia kutokana na uzito wa tatizo lako kama ulivoelezea kwenye comment mwisho wa ayo wa ayo maneno ukishamaliza tu unainuka na kufanya mambo mengine tu au unatakiwa kufanya kitu gani kutamka maneno gani kama kuhitimisha ulichoanzisha.?
@ramadhanihangolwa2500
@ramadhanihangolwa2500 3 жыл бұрын
Na kama humuoni kuna dalili yoyote ya kujua kwamba yupo?!au baada ya kutaja hayo maneno Mara tano basi unasema tu shida yako kwake?
@rakimsspiritual
@rakimsspiritual 3 жыл бұрын
Unataja mara 7 mkuu kisha unaweka nia yako!
@gundogan8364
@gundogan8364 Жыл бұрын
@@rakimsspiritual mbona aieleweki mara5 au mara7
@williammbinda-9877
@williammbinda-9877 Жыл бұрын
DR ukowapi tunapnda ushauri wako
@rakimsspiritual
@rakimsspiritual Жыл бұрын
Nipo karibu nakuskiliza
@julianapmassawe4027
@julianapmassawe4027 Жыл бұрын
Umapatikana mkoa upi
@user-ls9nx9gx2g
@user-ls9nx9gx2g Жыл бұрын
Number
@rakimsspiritual
@rakimsspiritual Жыл бұрын
kwenye video iliyopita nimekutumia
@mauaabuu2425
@mauaabuu2425 Жыл бұрын
Kaka nimeyatamka lakini sijaona mafanikioyoyote
@rakimsspiritual
@rakimsspiritual Жыл бұрын
Inategemea na urefu wa matamshi
@gundogan8364
@gundogan8364 Жыл бұрын
@@rakimsspiritual ki vipi??
Jinsi ya kuita Jini. | KUPATA UNACHOTAKA | NJIA YA BARHATIYAH 05...
11:53
GTA 5 vs GTA San Andreas Doctors🥼🚑
00:57
Xzit Thamer
Рет қаралды 28 МЛН
Mapenzi na Meditation pt2 @thexoshowtira .
11:25
Swahili Yoga
Рет қаралды 1,1 М.
JINSI ya KUFANYA MANIFESTATION na KUPATA UTAJIRI Duniani
26:49
NGUVU ZA UNIVERSE
Рет қаралды 38 М.
FAIDA ZA KUJIPENDA MWENYEWE KWANZA NA DEO SUKAMBI
32:39
Channel ten
Рет қаралды 12 М.
Jinsi ya kumfanya mtu akupende l Mapenzi ya ghafla
7:30
Rakims Spiritual
Рет қаралды 9 М.