Mashaa Allah yaan kuna Mama napendaga sana kumfatilia darsa Zake anaitwa Dr Haifa yunous wa Jannah instute bas na nikikusikilizaga wewe ni kama mnaendana ktk kufundisha mashaa Allah Allah akulipeni kheri pmj na familia zenu
@successpathnetwork Жыл бұрын
Maa sha Allah... shukrani sana. Ngoja nimcheki. Asante sana. Allahumma ameen kwa dua njema
@jumaaomar883023 күн бұрын
somo muhimu sana kuhusu mindset Allah akuzidishie katika elimu ulionayo uzidi kuwajulisha watu yalio mazuri
@LyimoWespeys5 ай бұрын
Habari kaka ezden hivi kwa mtaji wa laki moja na nusu ninaweza nikafanya biashara gani ambayo utanitia au kuboreshs maisha yangu asante
@AmosiPetro-j7g8 ай бұрын
Kaka tungu nianze kukusikiliza nimekuwa nikijifunza mengi na umekuwa msaada sana kwangu
@successpathnetwork8 ай бұрын
Karibu sana...Asante kwa mrejesho
@danchibomnyama5461 Жыл бұрын
Kaka angu Ezden mungu akubariki sana sana kaka angu umenifungua akili kiukweli hii point ya tatu imenitokea namshukuru mungu nlijifunza vitu vingi
@successpathnetwork Жыл бұрын
Nashukuru sana kaka kusikia ushuhuda. Stay blessed
@suleim505 Жыл бұрын
Asante sana mwalimu
@bizelovenge8870 Жыл бұрын
Barikiwa sana brother mungu akufanyie wepezi wa kila jambo
@successpathnetwork Жыл бұрын
Amiin amiin nashukuru sana kwa dua njema
@imanuelwiliamayo5852 Жыл бұрын
Nakupata vizur Sana ndugu tuko p1
@successpathnetwork Жыл бұрын
Pamoja sana Imma...
@BIGBon-d8e25 күн бұрын
Madini hayo mwenye akili ashike
@rachelbathromew6223 Жыл бұрын
Asante sana kaka masomo yako yamenifanya nipige hatua sana
@successpathnetwork Жыл бұрын
Nashukuru sana kwa mrejesho huu Rachel. I wish you all the best
@arafaselemani5033 Жыл бұрын
Umeongea vizuri sana kaka,kila kitu kinawezekana ukiamua.Wakati mwingine mambo hulazimishwa ili ufikie lengo.
@MahamoodMohamed4 ай бұрын
Thank you
@JoyceHaule-v7t11 ай бұрын
Sawa kabisa
@edwinkatunda6859 Жыл бұрын
Naitwa secilia asante nataka kuanza Tena maisha mungu akutangulie sana
@successpathnetwork Жыл бұрын
Karibu sana, kila kitu kinawezekana ukiweka imani na juhudi. Mungu akutangulie
@zainabuzainabu4160 Жыл бұрын
Shukrani brother Allah akuifadhi
@successpathnetwork Жыл бұрын
Amiin ukhty...
@shamsiamsaghati Жыл бұрын
Shukran brother Kuna baadhi ya Maisha tunapitia Huwa tunakata tamaa ila from now on nitaanza kubadilika napenda sana niwe najua vitu vingi ila sometimes najikuta nakata tamaa I don't know Why.
@edwardnyasi6136 Жыл бұрын
Pamoja sana kaka
@abdulazizshabani6760Ай бұрын
I see change in you fro who you were before!! I mean spiritual wise
@successpathnetworkАй бұрын
Thank you very much. A good change is always encouraged. Allah is the one guiding us, we just have to be ready for changes to happen
@abdulazizshabani6760Ай бұрын
@@successpathnetwork personally I started following you since you were Kiss FM by that time If I'm not mistaken you were with Sharbano Abuubakar then you went Times FM . Those were the days that music was in my blood but I do thank Allah I came to quit and forget everything about music, and honestly I'm surprised to see you also change!! Allah Kareem, keep up brother usisahau kusoma dini pia huo ndo ushauri wangu kwako.
@zulfaisike9677 Жыл бұрын
Uko vizur Kaka mashaallah
@successpathnetwork Жыл бұрын
Shukrani sana
@Happnessjaphet Жыл бұрын
Mungu akubaliki sana
@successpathnetwork Жыл бұрын
Ameen
@Ismail_abdoul Жыл бұрын
Nakubali sana
@successpathnetwork Жыл бұрын
Pamoja sana...
@stephanomyeule8366 Жыл бұрын
Kaka ❤ mungu akutunze na akusimamie
@successpathnetwork Жыл бұрын
Nashukuru sana Steph...
@SeifOmary-x1z9 ай бұрын
Kweli
@jacklineevarest5145 Жыл бұрын
Asante kaka
@successpathnetwork Жыл бұрын
Karibu sana... Jackline
@jacklineevarest5145 Жыл бұрын
@@successpathnetwork Nashukuru Sana
@alvinelia7517 Жыл бұрын
TUKO PAMOJA KAKA EACH ONE TEACH ONE 🤝
@mjemachannel75914 ай бұрын
AKILI INAYOKUSAIDI MUDA WOTE INATAKIWA KUWA HIVI: 1] Hakikisha unaamini Kuwa juhudi zako zozote zile zitazaa matunda kataa kushindwa. 2]Kuwa mwepesi kujifunza kitu kipya [jambo lolote likiwa gumu usikubali kushindwa huo ni ujuzi mpya 3] Siku zote hakikisha unachukulia kufeli kama sehemu ya kujifunza.
@successpathnetwork4 ай бұрын
Asante sana
@tatuhakizimana3900 Жыл бұрын
Bwana ezden unatumiya camera gani kwenye kushoot video zaako
@successpathnetwork Жыл бұрын
Hii nimetumia simu tu, mara chache natumia camera.