Mm mara yakwanza nilikuwa naogopa sana lakin sahii siogopi Tena nashukuru MUNGU mungu amenipa nguvu hata yakuogea wanyama nimekuwa nikiona viumbe vya ajabu sana kama mapepo Majin mashetan wachawi watu wazamani walikufa kama Paul na peter kusema kweli nakushukuru sana MUNGU akuzidishie kuendelea kufundisha mambo ya kiroho
@rakimsspiritual Жыл бұрын
Asante amin. Atuzidishie sote kwa yale tuyayotamani kufikia.
@anointedwatchersministry9655 Жыл бұрын
Hongera sanaaa
@hawandosi2500 Жыл бұрын
Weee natamani mara ya kwanza ulihisi Nini?
@Iddytouchit Жыл бұрын
Paulo na Peter ni ndugu zako au
@selinjsf7237 Жыл бұрын
@@hawandosi2500 nilikuwa naogopa sana lakin sahii nimezowea
@JoseJosephat8 ай бұрын
Naomba niweze kufungua jichi LA tatu
@DianaErio-j6r Жыл бұрын
Ooh Asantee kumbee mimi huwa inatokea nikimkumbuka mtu haziishi dk huyo mtu atanipigia😊naweza nikawa nimekaa nawaza pesa sina bas unakuta hiyo siku napata,,nakumbuka nililala nikaota nimetokewa na rafikiangu wa utoton nilisoma nae,,asubuhi nilipoamka nikamuuliza mdogoangu akaniambia kafariki na alikufa akiwa amelewa na meno ya Miele yalitoka na ndivyo alitokea kwenye ndoto akiwa ana mapengo amelewa sa nikawa najiuliza inakuaje hivii,, Leo nimeelewa hapa Asante🙏
@rakimsspiritual Жыл бұрын
Asante tupo pamoja
@rabanifrance63798 ай бұрын
Minaitaji nijifunze kaka
@Emmanuel-f4r2 ай бұрын
kiukwel mwalim toka nimeangalia hii video nina cku 6 nafanya meditation asubui kabla ya kwenda kazn na ucku kabla ya kulala lakn katkat ya hzo cku ya cku ya 3 wakat nafanya nliisi kama mwili wangu upo tupu yan kama npo na kchwa t nlliingiwa na hofu kdg lakn bado naendelea ❤❤
@VitalisAnino7 ай бұрын
Naeza funguwa ajee jicho la tatu.....
@khamisimalaydzzo69312 ай бұрын
Mwenyenzi Mungu azidi kukupa uwezo uzidi kutunufaisha na masomo haya ya kiroho Amin isha'Allah
@SylvesterLuhamba-gi3bc9 ай бұрын
Nashukuru kwa elim hiyo nami nimeipenda uko wapi maana nataka kujifunza
@CHOICEAMANI31111 ай бұрын
Haya mambo yapo basi tu binadamu wanapenda kujifanya ni wakisasa ndy maana wanajikuta hata nguvu aliyo nayo haifanyi kazi kwa sababu kuna vitu anatakiwa kufanya na kuviacha na piah kuto kusikiliza nafsi zao 🙏🙏🙏Asante sana nimependa sana kwa sababu hii ndy kazi ambayo Mungu amekupa ubarikiwe sana aendelee kukujaza zaidi
@emmachiuskarumuna88496 ай бұрын
Asante sana, Yani kumbe Mungu ametuumba tuko full package, ndo maana Mungu anasema watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa, maarifa yenyewe ndo haya. Asante sana kaka.
@hadijagere2 ай бұрын
Ubarikiwe nimeweza aisee nimeogopa mnoo inatisha ila Alhamdulillah ujasiri ulikaja tu from nowhere daaah sikutatu leo ndio nime weza ntaendeleaa nione mengine ila broo nimejifeel kabisa nahofu yamungu ikanijia nililia sana nilihisi niko pekeangu halafu sifiki chini nipo hewani tumbo lilikuwa lina kata na mapigo yamoyo yanaendambio uogaukanijaaa aisee inatisha ndio mara yakwanza
@Pedeshee0123 сағат бұрын
Ungeenita na Mimi basi
@LeylaRasheedAhmed7 ай бұрын
Mimi niliota mwanaume mweupe Sana ananiambia nikae mkao huo nifanye meditation kila kitu kitakuwa Sawa nikafanya na kuanza kuona matukio ya miaka mingi Sana iliyopita
@ZiporaMsulicheАй бұрын
Yaan ni mimi saiv napitia hayo kwa kweli naogopa sanaa
@joeloileoile47863 ай бұрын
Nataka kuona jicho la tatu nitapata aje nitafanya aje ndio ingie iyanze kufanya kazi natamani sana inisaidie sana Me Rakims Spiritual nijue nayo Asante
@tahnsorg38559 ай бұрын
Asante sanaa Mungu akubarik. Mungu akuzidishie uweze kutufundisha na kututoa uwoga wa kuamini uasilia wetu kama binadamu kuweza kujua mengi zaidi
@rakimsspiritual9 ай бұрын
Asante kushukuru
@anithasimbeye325611 ай бұрын
Natamani sana nijue kufungua jicho latatu
@SylvesterLuhamba-gi3bc Жыл бұрын
Sama nimependa sana ulivyomwelewa kwa kiwango cha juu nitakupawa wapi ili nijifunze zaidi hata kama ni kwa kulipia niko tiyali
@aishabh79367 ай бұрын
What ever you are saying os all true may allah bless you thanks for sharing
@emmanuelmusa1061 Жыл бұрын
Duu aisee nimepitia comments za watu wote hii kitu ni nzur sana tena na huwez kua masikin ukijua kuitumia namimi nmeanza kukufatilia toka miaka mingi kule jamii folams ila wazo langu ili watu wasizulike huwez fungua dalasa tuje huko huko DSM na utaje na garama zake
@brownboe600 Жыл бұрын
ila kwel mm ndugu @rakims shughulikia hili
@DuoJoseph-rz6qxАй бұрын
Inafurahisha kweli Mwalimu
@felixkampamba9597Ай бұрын
Asantesana kwenye somolako
@DicksonBasogomba4 ай бұрын
NAMBA zako za sm zinapatikana vip mi nimechelewa kupata hiz video zako
@JeanPaulUdaga-sr6um2 ай бұрын
Aksante sana mwalimu kwa mafundisho, nataka ni funze metitetion
@RehemaGhamachana-oy1ez3 ай бұрын
Naamini....
@DuoJoseph-rz6qx3 ай бұрын
Asee Hakika nikuelewa pakubwa Mwalimu 🎉🎉🎉🎉🎉Hakika nimepata Majibu ya Maswali yangu ASANTE Mwenyezi Mungu kwakumleta Rakims Spirituality 👃👃👃
@abdulmajidmageja65623 ай бұрын
Mkuu hongera sana ww ni zaidi ya shekh au zaidi ya mwalimu nipo pemben yako mm ni mwanafunz wako leo siku ya3
@Oderabrenda5 ай бұрын
Kumbe tumekosa elimu.Asante sana kwa haya mafundisho
@vedastomwingira1867 ай бұрын
Uko sawa,
@rakimsspiritual6 ай бұрын
asante
@AlfredMboye7 ай бұрын
Nakusikiliza sn
@Nuraty-do4ts4 ай бұрын
Mm naona jicho la tatu hufunguka zaidi ukiwa karibu na swala au maombi...kuwa msafi kimwili
Kwakweli jicho la tatu linaitaji Utulivu lina Mambo mengi ...
@Sidemsuya7 ай бұрын
Ilimu hii ni nzur
@erickdaimon8636 Жыл бұрын
Asante Kwa kutupa elimu ya kufungu ufahamu wa ulimwengu wa pili na nguvu zk
@SafiaHaruna-js5zi8 ай бұрын
Daaaah asante sana braza
@rakimsspiritual8 ай бұрын
Pamoja
@JohnsonIsaya3 ай бұрын
Shukurani mwalim tu pamoja
@Mocho-q5vАй бұрын
Nakubali sana.
@rakimsspiritualАй бұрын
asante, tupo pamoja
@FidkimKim3 ай бұрын
Fidd Kim✌️👁️✌️✨ Jicho la 3 ❤️
@rakimsspiritual3 ай бұрын
Karibu
@KibangoKibango7 ай бұрын
Nimefurahi sana!!, naona kama jicho la tatu huwa linazihusu japo nilikuwa sijui
@rakimsspiritual7 ай бұрын
Karibu tena.
@janetogalo96817 ай бұрын
Ahsante kwa maelezo mazuri hayo mimi huona rangi kama purple, sky blue, yellow, green
@rakimsspiritual6 ай бұрын
Endelea na zoezi pia ongeza muda wa kufanya zoezi husika
@wycliffemusaum274024 күн бұрын
Haya mafunzo yana faida sana
@ZaidHamasiZaid11 ай бұрын
Nawezaje kujifunza jinsi ya kufungua jicho la tatu
@Agnes-wd6xgАй бұрын
Asante sana mwalimu
@rakimsspiritualАй бұрын
Tupo pamoja
@rabanifrance63798 ай бұрын
Unajifuza vipi
@soldierfamily-vg9ir7 ай бұрын
Samahani Naomba kujifunza....
@rakimsspiritual7 ай бұрын
Karibu
@nibiziasiya-gh3qd8 ай бұрын
Nakushkuru sana kaka ilo darasa nzuri sana , limenifanya nizidishe nguvu, nakuelewa mimi nina neema gani katika neema alizotupatia Allah, na kutumaini apo mbele panapokuja nitakuwa na nguvu ya ziada , natokewa na ndoto ,zenye nguvu na zakutisha , nakati ya ndoto zenye miujiza ya mwenye zimungu , alizo wapa mitume , wala ishara fulani kwenye mwili wangu na kile kitu nakiona , ao kukijuwa kabla kwenye ndonto, mimi mwenyewe nakuwa na elewa inasema nini , ao kama kitu kimefanyika mimi sikifaham kimetokea na nini nikilala usiku, mara inakuwa kabala ya lifajiri huwa nifika nikiona kwenye ndoto, nakufikw na elewa kumbe ikikuwa hivi, nakile kitu kama nikuepukana nacho nafika nakiacah , nakama nichakuweza kunfanya na kifanya , ili kutimiza ile ndoto, ikiwa nikitu kibaya ntahisi nakichukia tu ata ikiwa ni mwanaume amekuja anataka mapenzi na mimi akiwa sio mzuri kwangu itanijia ndoto inakuja inafanana kama mausiano fulani hivo nitakua naona moja kwa moja sio mtu sahh , ao naota kitu ambacho kiko kinafanyika kabisa , nikiamka na kiona , ishara ya ile ndoto kupitia mdudu ao binaadam, shukran sana mungu akuzidishie elim ya ziada , uzidi kutuzindua katika hayo.
@rakimsspiritual8 ай бұрын
Asante sana Endelea kutufuatilia kwa maarifa zaidi asante
@nibiziasiya-gh3qd8 ай бұрын
@@rakimsspiritual inshaallah
@Peterjofley-hq9yk Жыл бұрын
Kuna vigezo gan ktk kujifunza
@LeylaRasheedAhmed9 ай бұрын
Sasa sijui nimekosea wapi..Ila maono yapo Sana kwangu
@hafidhimuadham99765 ай бұрын
We jamaa mungu akubariki sana yani najiona kama umeniongezea uwezo nakarama alizonipa mungu unatisha sana asiekuelewa uyo bado hajafungua jicho la tatu asante sana by sharif muadham
@rakimsspiritual5 ай бұрын
Karibu, tupo pamoja ndugu asante kwa kuendelea kuwa nasi.
@IvenAgatha7 ай бұрын
Ahsant kwa kupata mambo mazuri
@MaalikiX2 Жыл бұрын
Shukrani
@LaurenceKivuyo-gh3zs7 ай бұрын
Daaah mimi hayo yashawai nitokea nyumbni mtu anaumwa ucku taarfa napata na mwambia chakufanya apone kwenye ndoto asubuhi naamka namwambia jana nmeota unaumwaa ananiambia ni kweli ila nmepona daaah mambo makubwaa sanaa aya
@rakimsspiritual7 ай бұрын
Hongera tufuatilie kwa kufunguka zaidi
@godlovematikuu6336Ай бұрын
Nilifanya siku moja nilijikuta nimekutana na mtu binti nikamuambia kwann unanisumbua nikashtuka na kuona kawaida tu nilitamani kuendelea kuongea nae
@FeydhullahTwalib3 ай бұрын
Upo sawa sana kaka nilifikia level kubwa sana ila nilijirudisha nyuma kwa ujinga wangu ila natamani nianze upya sasa naamini haitakuwa kazi
@wardagogodigo1111Ай бұрын
Duh kama mm yani nilifikia hatua ya mwanga mkali mweupe kwenye paji la uso maneno ya watu nikaacha.
@mariamuharubu6577 Жыл бұрын
Yani nimwjifunza mambo mengi mno asante Sana Kaka mungu akupe maisha marefu Yani Mimi naona live bila chenga
@rakimsspiritual Жыл бұрын
Amin, atujalie sote
@HassaniMohamedi-y8q Жыл бұрын
Kama ndounaaza kufunguajicholatatu atazionaizorangi🎉
@BenadethaAmri9 ай бұрын
Habari,naomba kuwasiliana na wewe Mahitaji kujifunza zaidi kutoka kwako.Pia nina matatizo mengi kwa ajili ya ushauri.
@makopamusic Жыл бұрын
mungu akuzidishie broo🙏🙏
@rakimsspiritual Жыл бұрын
Amin sote kwa ujumla
@nantaembanusurupia56748 ай бұрын
@@rakimsspiritualnapenda kuwasiliana nawe
@Sidemsuya7 ай бұрын
Uko vzr
@annamichael-v7l8 ай бұрын
Kwa kweli umenifungulia siri nilizokuwa sizijui, hili jicho la 3 ninalo kabisa ila sijui, nashukuru sasa inabidi niziamshe sasa na kuzifanyia kazi.asante sana kwa elimu
@antonychitara57072 ай бұрын
Naomba nmba yko ndgu
@MalihamSalum5 ай бұрын
Jamani mimi kabsa asnte sana kunifungua dalili zoote nnazo
@wilfredmochere91197 ай бұрын
Naamini sana
@hamzamwaniswela-nj8wx9 ай бұрын
Naomba nifundishe jinsi yakufungua
@JohnSwaga2 ай бұрын
Unaifungua kivipi jameni
@Emmanuel-f4r8 ай бұрын
kwakwel mungu anatupenda sana jaman❤❤❤
@hanamakamba37311 ай бұрын
mm nilifny hv nilikuwa naota ndoto balaa n ukifny hv mwili unakuwa mwepesi
@ZandaKingfujo-tx5gb2 ай бұрын
Je inaezekana kushindikana kwa kufunguka kwa jicho la 3
@youngtomuller-vh2pu4 ай бұрын
É verdade irmao você tá certo ❤❤❤
@Raxmond142 ай бұрын
Amen
@MkalaTsanje-pi7ps Жыл бұрын
Je si dhambi haya maneno bro
@rakimsspiritual Жыл бұрын
Si dhambi mkuu.
@AlfredMboye-ok1bm Жыл бұрын
Kaka vp naitaji kuamwanafunzi
@AziziMapunda-vt4nv2 ай бұрын
Nimekupata
@dingadinga66743 ай бұрын
Amina kubwa
@Flying438 ай бұрын
Nashukuru kuniboost kaka🙏
@rakimsspiritual8 ай бұрын
Tupo pamoja
@BenjaminchirimwamiNelson7 ай бұрын
Ni kweli
@MtulyaMussa7 ай бұрын
Saw
@isackwaite-uf1zy Жыл бұрын
MaashaAllah ❤obrigado irmão 🇲🇿🇲🇿
@rakimsspiritual Жыл бұрын
Your welome
@jamesmakim5701 Жыл бұрын
Nitumie namba niongee na wewe kwan Natakia kufungua Hilo jicho naitwa frola
@HarunaFundii-lw1zr2 ай бұрын
Nitaendelea kujifunza ili
@asomasom9666 Жыл бұрын
Fanya kazi yako achana na wakuda
@KhamisOmar-s8b9 ай бұрын
Saw na asant
@AzizaKichuri6 ай бұрын
Hee Naogopa haki nameingiiwa navwoga
@emmosilver6039 Жыл бұрын
Unachosema Niukweli,swala sisi kilichojificha kwetu ni kwamba watu hatujitambui.
@FarajiIddiHemedi7 ай бұрын
Ukwelii mtupu
@AlfredMboye7 ай бұрын
Kk wwnimwalimu bora
@rakimsspiritual6 ай бұрын
Asante
@Winfridankalupia-t8d7 ай бұрын
Shukrani sana
@rakimsspiritual6 ай бұрын
Asante kushukuru
@hora870710 ай бұрын
naweza kukupata vipi
@AbubaAbudo7 ай бұрын
Nitafunguwaje jicho la tatu
@rakimsspiritual6 ай бұрын
Endelea kutufuatilia hapa au unaweza kujiunga pia na group zetu za whatsapp
@ritasheriff78146 ай бұрын
Ukifungua jicho la tatu taa ya Mwenyenzi Mungu inapungua. Nimeishi na kufanya kazi na wengi walio fungua jicho lakini wanabaki kuabudu binadamu. Wanaomba binadamu na wanyama au miti. Kwanini usimuombe Mwenyenzi Mungu kwa Imani ili akutimizie mahitaji yako na kama kuna kitu atakuonyesha yeye mwenyewe katika ndoto. Na pia ni rahisi kuanza kushambuliwa na wachawi maana huna nguvu ya mwenyenzi Mungu. Kumbuka kufungua jicho la tatu ni kutaka kujua siri ya Mwenyenzi Mungu
@rakimsspiritual5 ай бұрын
Huo ni mtizamo wako asante na pia huna chochote unachojua kuhusu jicho la tatu zaidi ya dhana na fikra yako ambayo bado haijafunguka
@Pablolookman3 ай бұрын
Hayo mambo unawaingiza watu kwenye ushetani wasiojua hizo Siri
@piusitarimo9676 Жыл бұрын
Axant kiongozi kwa elimu ya kiroho🙏🙏🙏
@rakimsspiritual Жыл бұрын
Asante mkuu, tupo pamoja
@joeloileoile47863 ай бұрын
Mr Rakims naipenda mafunzo yko mazuri, naomba pia nizijue kila siku na rangi yake mfano rangi ya blue siku yake ni gani? asante
@MugishaJames-uf1kt7 ай бұрын
Mimi nimelota mamaangu akiniruhusu ku nunuwa mbuzi nyeusi, sasa nifanyeje?
@IdrissaBakar-w1u8 ай бұрын
Safi sana
@RamCharan-m9b Жыл бұрын
asante sana kaka
@rakimsspiritual Жыл бұрын
Karibu
@marthajeremiah Жыл бұрын
Nashukuru MUNGU sana kwaajili ya elimu hii,yaani kujua yajayo ilinifanya ndugu kuniogopa maana hata mtu yupo mbali muda na dkk anayofariki najua nikiwaambia wanasema kemea😂
@anointedwatchersministry9655 Жыл бұрын
Uliwezaje kwa mara ya kwanza?ulifanya kwa muda Gani jicho likafunguka??
@marthajeremiah Жыл бұрын
@@anointedwatchersministry9655 nimezaliwa hivyo Toka mdogo naona na kutambua mambo bila muelewa chanzo
@rakimsspiritual Жыл бұрын
Ni kawaida watu kukemea vitu wasivyovijua bila kupata maarifa navyo.
@rakimsspiritual Жыл бұрын
Fanya mazoezi mkuu. Hata akikujibu muda aliyetumia haitasababisha na wewe kufanikiwa muda kama yeye. rejea katika video yangu ya meditation nimezungumzia hili.
@anointedwatchersministry9655 Жыл бұрын
@@rakimsspiritual sawaa... Mimi nilianza meditation toka Tareh 12 MWEZI huu Jana ndio niliskiliza... Namna yakufungua jicho la 3 Nikaamka Asubh nikaota nimeatapia matapishi kama ya brown alfu Asubh nikawa sitaki kitu chochote nataka kuwa pekee yangu sitak kelele na Nimepata mfurugiko wa tumbo kabisa... Kichwa kizito sanaa... Ndio mana nimemuliza
@KiliyaniMahanganile-xv5mi10 ай бұрын
Asante namimi nitafungua
@aderiderkihupi7240 Жыл бұрын
Asante
@izamahmasaki47957 ай бұрын
Nahis dalili ila Bado natamani kusikiliza zaidi
@Dodfayed Жыл бұрын
😮 wow ameazzing hakik ndafany
@MayalaJames-vc3kg5 ай бұрын
kwa mungu hakuna kinacho shindikana
@EprasiaMartini7 ай бұрын
Nawzaje kuliamsha nilikuwa na nguvu kubwa nilivyokuwa mdogo yaan sijui nielezeeje Ila saivi sielewi chochote nafanyaje nirudi mwanzo