Рет қаралды 2,093
VISIBLE ARCHITECT
Jifunze jinsi ya kuitengeneza veranda katika nyumba kwene archicad pamoja na kuweka staircase za aina mbali mbali katika sehemu tofauti pia jinsi ya kuweka wall na column zenye muonekano mzuri kwene veranda yako