Aise Mungu akubariki tuma na safari ya wana wa israel
@togetherchristiansmedia34374 жыл бұрын
Mungu akubariki katika jina la Yesu Kristo.
@rabinzsinoya14342 жыл бұрын
Asante kwa mafundisho yako
@isayamp4 жыл бұрын
Asante sana kwa somo hili nzuri. Linanifunza. Mubarikiwe
@nyawiranyaga9614 Жыл бұрын
Shukran🔥🔥
@deboraadam63795 жыл бұрын
nzuri sana aisee barikiwa
@eliarichard92184 жыл бұрын
Barikiwa.
@joycekato67844 жыл бұрын
Hii video imegusa sana moyo wangu, nimejitafakari kwa Upya, Mungu nijaze zaid Nguvu za Roho Mtakatifu.... Be blessed mtoa post.
@dennismwangi43464 жыл бұрын
Ubarikiwe ndugu
@anysaanysaa38245 жыл бұрын
Asante sanaa ubarikiwe
@desderiafrancis14044 жыл бұрын
Asanteeee sanaa my God bless you 😍😍😍
@zuhuradanny63074 жыл бұрын
Barikiwa sana
@michaellashayo9186 жыл бұрын
Hakika Ukristo bila ROHO mtakatifu. . !! ni anguko...!! utafuata upepo , hatimaye unajazwa na mapepo
@fadhilimwalongo31854 жыл бұрын
Naamini kuwa ukristo no ROHO mtakatifu tu
@evangelistkanani50954 жыл бұрын
Kuabudu jumapili ni dhambi?
@godfreysylvester48624 жыл бұрын
Soma kutoka 20:8
@Mpakauseme4 жыл бұрын
Mungu ababudiwa siku zote wakati wote Mungu si mbaguzi katika wale wamwombaye katika kweli Mungu atazami ukuu wako kanisa lako wapi hutokapo uwendapo bali yeye utazama imani yako
@ngwanafabian96683 жыл бұрын
Imetupasa kumwabudu Mungu siku zote. Kwa hiyo wanaomwabudu Mungu siku moja tu sijui kama wanajitambua. Kuhusu kukusanyika jmosi na jpili hakuna tatizo. Japo wasabato hujinasibu na jmosi yao Yesu aliwajibu wayahudi alipomponya mtu siku ya sabato 'baba yangu anatenda kazi hata sasa' ukimpata Yesu umempata Bwana wa sabato
@priscillamhuza95983 жыл бұрын
Wagalatia 4:9 “Lakini sasa mkiisha kumjua Mungu..kwanini kurejea tena mafundisho ya kwanza yaliyo manyonge, yenye upungufu ambayo mnataka kuyatumikia tena? Mnashika siku, na miezi na nyakati na miaka”. Warumi 14:4 “Mtu mmoja afanya tofauti kati ya siku na siku, mwingine aona zote kuwa sawasawa. Kila mtu na athibitike katika akili zake mwenyewe” Unayeabudu jumamosi usimhukumu anayeabudu jumapili. Mwabudu Mungu siku zote katika roho na kweli, hakuna siku isiyofaa kumwabudu Mungu. Wakolosai 2:16 “Basi mtu asiwahukumu ninyi katika vyakula au vinywaji, au kwa sababu ya sikukuu au mwandamo wa mwezi, au sabato” Hupati dhambi kwasababu umeabudu jumapili badala ya jumamosi, hizo ni sheria za kimwili, Mungu anawatafuta wamwabuduo katika roho na kweli (Yohana 4:23-24). Abudu hata siku zote bora uabudu katika roho na kweli. Wagalatia 3:23 inasema kabla ya kuja ile imani tulikuwa chini ya sheria, Lakini iwapo imani imekuja hatupo tena chini ya sheria, Ukiongozwa na sheria utaanguka tu maana mwili huishinda sheria bali ukiwa ndani ya Yesu kristo utayaweza yote, Yeye ndiye Bwana wa sabato.
@abdulbikwaya23624 жыл бұрын
Nitakupataje mtumishi mawasiliano yangu haya 0765604328