Je nikihitaji kutumia disk tofauti na iliyopo kwenye computer yangu niganyaje??
@mohamedhafidh2553 ай бұрын
Sijalifahamu vizuri swali lako 🤔 Ila kama umemaanisha kuwa unahitaji kutumia disk ya nje ya kompyuta yako unaweza kufanya hivyo. Na unapochomeka tu hiyo Disk (External Drive) yako basi moja kwa moja itaonekana katika Disk Management na unaweza pia kuigawa partition hiyo disk kwa kufuata tulichojifunza katika video hii.
@moteyelectricalacademy37567 ай бұрын
Boss napata shida kupata Ms word naomba link
@mohamedhafidh2557 ай бұрын
Nicheki WhatsApp Boss 👉 +255 657 796 611
@PascalLuhanjo-oo4ct2 ай бұрын
Nimefefanya hivo lakin haijatoka uko kwenye Unallocated😢