Amen namuomba mungu akupe kibali cha kuja katavi mpanda hata wiki mbili
@Kipeke6886 жыл бұрын
Mungu azidi kukutumia zaida Baba yetu!! Akufunulie mafundisho mengi zaid
@theresiastive32814 жыл бұрын
AMEN
@silvestarmbano20536 жыл бұрын
Nakupenda sana na Mimi siku moja mungu atazidi kujifunua kwangu niwe kama wewe
@eddapaul81478 жыл бұрын
Huduma ya baba yetu Prophet Frank Julius Kilawah ni ya kipekee kabisa!!na Mungu anayemtumikia ni Kweli na hapindi katika kutenda jambo liwe la ugonjwa,kazi,biashara au chochote ukitakacho,lazima ajibu sawa sawa na haja yako!! Ee Mungu, Mungu wa baba yetu Prophet Frank Kilawah zidi kumuinua Baba yetu azidi kutenda miujiza ya levo ya juu zaidi na asisikilize maneno ya watu azidi kusonga mbele akijua Mungu wake upo nae!! ameeeen
@sweetmeet47836 жыл бұрын
Edda Paul usiseme MUNGU wa babaako Frank unajua anamuabudu MUNGU yupi sema MUNGU wa mbinguni anaeishi msipende kuabudu vitu usivyojua mtu anaabudu nn ndicho Babaangu wakiroho anazungumza kila siku mkiri MUNGU wa mbinguni usikiri Mungu wa mtumishi flan mafundisho yasitushinikize kuabudu Mungu wa flan
@amakamraqterry59202 жыл бұрын
Amen
@prophetmlokozi4633Ай бұрын
Ameeeni
@missiontv21748 жыл бұрын
nimebarikiwa sana na kongamano la Songea. mungu azid kukufunulia mengi zaid
@rhinaregina58068 жыл бұрын
nikweli Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu Amen!!
@joshuakahindi87238 жыл бұрын
amen barikiwa sana kwa kutoa neno la mwenyezi mungu🙏
@rhodajolam91088 жыл бұрын
ubarikiwe sana kwa ishara na miujiza uitendayo kwa jina la Yesu.
@EstherSospeter-x2v Жыл бұрын
Ameen
@datsanmechant8638 жыл бұрын
Ameeeeeeeeen.. thanks man of GOD for this blessings teachings.
@fadhrimtweve2 жыл бұрын
Yani toka nakua naijua dunia wewe ndiye mtumishi niliye kuamin mana tokauje morogoro nimebadilika kwakila kitu kwenye maisha yang nakushukuru sana baba
@simonelias82687 жыл бұрын
Thank you for your lesson
@samuelsrumitosayanetvbukob21909 жыл бұрын
Am blessed with you my dad as I always receive a dad ship grace from you my lovely father.
@hechihechie55587 жыл бұрын
Umesema kuna sehemu nyingine. Mungu hawezi kutetea,nasema sii kweli.Mungu hashindwi na chochote na hana mipaka.haijallshi Yohana au nabii gani au malaika awezaye kumlimiti Mungu.Mungu na roho mt ni kitu kimoja.lugha ya biblia isikupotoshe.
@salomejohn1634 жыл бұрын
Huduma zote zinamhitaji Roho Mtakatifu wachungaji,mitume,wainjilist,walimu, wote wanamtegemea Roho Mtakatifu
@ednada90338 жыл бұрын
Niombee mtumishi wa mungu niolewe na mm pia
@angelusilljujalijuja98525 жыл бұрын
Nipigie edina
@jasintajovini70924 жыл бұрын
Thx for your word,but I do like to talk with you.
@agapeministries6169 жыл бұрын
God bless you for this teaching. Once a person understands this secret the sky is the limit. Still learning I thank God for His anointed servants like you who help us to understand the mysteries of God.
@purityjohn59067 жыл бұрын
Agape Ministries mhhh
@veterinarytips80598 жыл бұрын
Aminanimébarikiwa sana mtumishi kwa ujumbe ulotoa
@lukacherlesduma91017 жыл бұрын
amee
@rhinaregina58068 жыл бұрын
Amen thank God!
@oliversangu63667 жыл бұрын
ubarikiwe sana kw kz ya mungu
@kesykesy36105 жыл бұрын
Nimebarikiwa sana na somo LA partner nimelisikiliza Leo nimejifunza mengi umenijenga baba barikiwa sana
@saidamhegele5917 жыл бұрын
Asante prophet wangu
@janembalinga70743 жыл бұрын
Pastro mungu akubariki nakumbuka 2014 mkesha wa mwakampya uliomba mm nilikuwa nasikiliza radio siku hiyo usiku ukaombea wanao hitaji kazi nakumbuka sana hiyo siku baada ya maombi niliona kabisa nimepata kazi haikupita miezi mitatu ni kapata kazi Mungu akubariki san
@prophetmlokozi4633Ай бұрын
Kwa sasa iko wapi
@prophetmlokozi4633Ай бұрын
🎉
@mankacharlse89618 жыл бұрын
baba yangu propht farnk julius kilawa natamn uniseemee una biii wanguu
@benjaminnnko53987 жыл бұрын
Very powerful
@esnatjoely18477 жыл бұрын
nampenda mungu wako nakupenda sana prophet Frank julias naomba uniombee kwa mapenzi yako yote ili niondokewe na majaribu pia nimpate mume mzuri esnath Joel msg'ong'o
@brother_leonardmangulizi14336 жыл бұрын
Kweli Mungu sio mchezo
@princessjaneth24197 жыл бұрын
ubarikiwe m2mishi
@salminkwikwega17316 жыл бұрын
princess janeth
@CelinaMalekula11 ай бұрын
Niombee nipate pesa
@danieljoshua72476 жыл бұрын
ASANTE KWA MAFUNDISHO HAYA NI AMINA KABISA
@dismasdochengula29288 жыл бұрын
naomba uniombee NABII ili nipone HV
@catherinegitari79487 жыл бұрын
dismas do chengula inawezekana Kwa mungu May God give you peace