Ndugu, Unatufunza mambo muhimu sana. Nakuombea uzidi kuendelea vivyo hivyo na mwenyezi Mungu azidi kukupa ujuzi zaidi maana unasaidia watu wengi sana kwa mafunzo yako mazuri. Mimi ni mkenya jina langu ni Dickson na tunaomba uweze kutengeza tutorial ambayo itatuonesha jinsi unaweza tengeza kama movie ile ya majini au kwa mfano picha ya mtu inaonekana alafu inapotea ghafla yaani kwa ule mfumo wa jini. Asante na ubarikiwe.
@soniimedia24404 жыл бұрын
Subscribe
@soniimedia24404 жыл бұрын
Good
@kimsan77664 жыл бұрын
Kwa uzuri kabisaaaa nakupa kaka
@soniimedia24404 жыл бұрын
Subscribe
@Melodylan54 жыл бұрын
Unajua sana kaka napend kuj kuw kam wew
@Richstartz4 жыл бұрын
Inawezekeana ni wewe tu kujifunza
@Melodylan54 жыл бұрын
@@Richstartz sawa nitakuwa nakutumia kaz zangu ili unisahihishe ninapokosea samahan lakn
@SGL_tz4 жыл бұрын
best best mentor naomba namba yako
@soniimedia24404 жыл бұрын
Subscribe
@SadickjuliusMkondya Жыл бұрын
❤ the beat
@jujomedia51414 жыл бұрын
Nice
@rgraphics47504 жыл бұрын
Mwalimuuuuu! Daah nilikuwa offline nakuja kuwa on mambo mwaah daah respect kwako
@chidagayaswaleh33883 жыл бұрын
Brother you are fine
@wizzeydecrazytone24664 жыл бұрын
kaz super sana
@gmwamba58554 жыл бұрын
Shukran kwa somo lako zuri..bro..
@allydady34094 жыл бұрын
Safi sana
@festomasine67413 жыл бұрын
Good
@wakongwechannel42564 жыл бұрын
Nice one bro.
@Richstartz4 жыл бұрын
Thanks 🔥
@edchrisbeatz89763 жыл бұрын
Asee nice one BT rich naweza kupata watsap number yako mzee
@tumainipaul11784 жыл бұрын
Iko poa sana mkuu.Naomba utufundishe namna ya kuweka reverb na delay kwenye cubase maana ni changamoto
@soniimedia24404 жыл бұрын
Subscribe
@habibumwiru77614 жыл бұрын
Duh its being a long time hujatokea kwa fl
@maarifadayle18974 жыл бұрын
fanya mpango tuimalizie haraka,manake mahis itakua ammazimg sana
@Richstartz4 жыл бұрын
Soon tu itamaliziwa
@kallembeats4 жыл бұрын
Natafuta reFx Nexus plugin,naomba usaidizi
@medrokivike41073 жыл бұрын
Brother tumemiss mafunzo ya fl
@shabilbosco81444 жыл бұрын
bro rich......
@gloirekanyama4 жыл бұрын
Nataka unifunze mix zako na master
@zuberimatipa44454 жыл бұрын
Ni plugins zip zinafaa kwa producer wa kibongo
@Richstartz4 жыл бұрын
NEXUS, KORG COLLECTION, ORCHIESTRAL, GUITAR
@anthonyjustin45267 ай бұрын
habari kaka ,naitwa Anthony samahani naomba namba ya sim
@Richstartz7 ай бұрын
0714250356
@youngsurebeatz30774 жыл бұрын
Sijaway kukupinga hata siku moja Boss
@beatsbywesternshaa10234 жыл бұрын
Mambo na fl mzuka saaana
@scariothagreat4 жыл бұрын
Tuwekee tutorial za mixing na mastering zaid bro
@soniimedia24404 жыл бұрын
Subscribe
@magicwings.film.4 жыл бұрын
Kama kuna ruhusiwa kuja kujifunza 0625546387 nianze kujifunza live
@PidfourYoungTz4 жыл бұрын
Upowapi mkuu?...
@Richstartz4 жыл бұрын
Tanzania - DSM
@obedibright45934 жыл бұрын
Tuoneshe jinsi yaku installer plogin mimi nime jaribu sana nime shindwa natumia MacBook pro
@jimsonkimti224 жыл бұрын
Bro. Napenda kujifunza hii kazi. Ofisi yako iko wapi nije kujifunza na pia nitalipa ada. +255764451388 please