Umeelekeza vizuri jinsi ya kupiga 🎹 🎹 kwa mkono wa kulia 🖐 Kasoro iliyopo ni kwamba hujaelekeza namna ya kupiga hizo Dolemifasolatido kwa mkino wa kushoto 🖐
@teknohamaleo11 ай бұрын
Shukrani kwa maoni mkuu
@sakitech019 ай бұрын
habar nimependa unavyofunisha upigaji wa kinanda naomba namba tuwasiliane
@teknohamaleo9 ай бұрын
0769672995
@NeemaZakaria-c3i4 ай бұрын
Natamani unifundishe ila nipo moshi
@teknohamaleo4 ай бұрын
0717310447 nitext
@truthlightmedia10 ай бұрын
Mara nyingi watu wakishaelewa wanashindwa wanasahau yale mambo madogo madogo ambayo ni magumu kwa wanaoanza ila naona wewe unafundisha kwa namna ambayo hata sisi tunaoanza tunaweza kukuelewa. Barikiwa