Nimefanya imekuwa ajabest Allah tis'lamik idhak shukran sana habibty
@ShunasKitchen4 жыл бұрын
mashaAllah shukran sana habibty nimefurahi umeipenda 😘💓
@aromaofzanzibar4 жыл бұрын
Shukran, ntampa Adilah afanye midnight snack
@ShunasKitchen4 жыл бұрын
afwan dear, yes kwa watoto ni nzuri pia kufanya wenyewe
@khadijamashaallahnzrmbassa96414 жыл бұрын
Nakupenda Sana da shuna umenitoa uwoga wa kupika keki nakupenda bure🥰🥰🥰
@jamilasalim36704 жыл бұрын
Masha Allah shukraaan hun nlikua nataman cake but uviv kufany cake kubwa najua itabak ila kwa hapa umeniweza allah akuzidishie ❤️😍
@akhamis98614 жыл бұрын
MashaALLAH. Naomba tufundishe jinsi ya kupika uji wa kunde dear teacher please
@nassorhamad85564 жыл бұрын
Mashallah mamy nzuri sana
@hafswaahmed54624 жыл бұрын
Mashallah tamu sanaaa napenda sana chocolate desserts
@fatmasaleh27074 жыл бұрын
Mashallah ntajaribu sasa hivi
@ashuraomary66164 жыл бұрын
Shukraaaaaaan shunaaaa
@damariszuckschwert94894 жыл бұрын
Waah something very new...Thanks.
@SuhayfasFood4 жыл бұрын
shukran habbty..maashaaAllah very easy wallah
@ShunasKitchen4 жыл бұрын
Afwan love 😘😘😘❤
@nanacyalfred63524 жыл бұрын
Easy recipe, Thanks love
@FatmaMohamed-yv2vl4 жыл бұрын
Mambo hayooo😍😍😍😍
@jasminepunjabi49894 жыл бұрын
Asamte sana nita jaribu
@noliinaladyboss5644 жыл бұрын
waaw nice sis💖💖🙏🙏👏👏👏👏
@nasimsalim78384 жыл бұрын
Asante sana
@asmaal-hussaini84544 жыл бұрын
Salam, what a lovely recipe i would like to ask you is it possible to make it in the electric oven and at what temperature. Thanks ❤
@bintkismayokitchen344 жыл бұрын
Masha allah so amazing 💕💕💕
@chellalifestyle42514 жыл бұрын
Chocolate cake neat and perfect
@zassyhushy46404 жыл бұрын
Mashaallah
@aljahadhmiy61414 жыл бұрын
mashaallah 😘😘
@noliinaladyboss5644 жыл бұрын
masha allah
@sophiaabeid24714 жыл бұрын
Hi shuna, nimeona uliweka kikombe alafu pembeni kuna ramekin. Can we also use a ramekin to bake the cake?
@insiyaashfaqshakir55804 жыл бұрын
Hello.. lovely recipe.. want to try this.. Can I put chopped chocolate in the batter before microwaving?
@ShunasKitchen4 жыл бұрын
yes you can, thanks for watching :)
@faridahjumanne77734 жыл бұрын
MashaAllah hii hata nikiwa kazin nafanya 🤣🤣🤣🤣Madam pale hamu cake inaponishika👌👌👌
@ShunasKitchen4 жыл бұрын
kaabisa hamu ya cake inakatika kwa dakika 1 tu 👌
@ashamidello82984 жыл бұрын
😋😋😘
@latriciah01augustino674 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥
@badrunisamursal33164 жыл бұрын
Km sina microwave nafanyaje
@fatyfaty42594 жыл бұрын
Shuna I love u😘
@ShunasKitchen4 жыл бұрын
Thank you so much dear for the love 😘😘😘❤❤❤
@levinawalegwa84424 жыл бұрын
Hi, mbona hapa sikuona ukitia mayai?
@hamidagulam35584 жыл бұрын
A.a,mapishi yako mazuri nimejaribu baadhi,na hii cake nataka kujaribu sina microwave naeza kufanya kwa oven au njia gani nyengine?
@kassimhajji37864 жыл бұрын
Kwa gesi au mkaa naweza kufanya
@julianasabrere61984 жыл бұрын
Wow! Inaonekana tamu sana, huo urojo unaomwaga juu ni chocolate ya chupa au umetengenezaje?
@ShunasKitchen4 жыл бұрын
ni chocolate chips nimeziyayusha zenyewe
@julianasabrere61984 жыл бұрын
@@ShunasKitchen Nikiwa na chocolate syrup naweza kutumia?
@hajikisesa38734 жыл бұрын
Je km sina microwave naweza choma kw oven
@shimahussein69074 жыл бұрын
A Aleikum naeza fanya kwa oven aunty
@ShunasKitchen4 жыл бұрын
waalaykum Salam dear, ndio unaweza
@khadijahelmaawiy62384 жыл бұрын
Je unaeza kusteam badala ya microwave?
@ShunasKitchen4 жыл бұрын
sijawah kusteam, ila unaweza kujaribu. Please nijulishe itakavyokua, shukran sana kwa kuangalia
@zuhrahamid35864 жыл бұрын
Kwenye microwave unaweka moto wa aina gan medium, low au high
@jacklineswai76604 жыл бұрын
kwa oven haiwezekan
@cocom.m77764 жыл бұрын
Sorry nilikua nauliza inakua microwave yoyote au special microwave?
@ShunasKitchen4 жыл бұрын
microwave yoyote tu inafaa
@yussraabdallah43917 ай бұрын
Habbty kwenye oven inachukuwa dakika ngapi kuchoma
@bintsalimalbimany53404 жыл бұрын
Huyu ni Shunu's kitchen ka hujasubscrib pls subscrib na uguse kengele itakayokuja mbele ya neno subscrib ilia akituwekea tu yale mamb mazur kama haya uwe wa wanz kuyapata Sote tunamjua huyu Dad ahunus teeena mamb yake bambam😍😍😍luv u habibty wa mimi 😘
@ShunasKitchen4 жыл бұрын
Shukran dear for the love 😘😘❤❤
@bintsalimalbimany53404 жыл бұрын
@@ShunasKitchen Afwan habibty😙😙😙
@hanifasaleh22464 жыл бұрын
Aslm alkm hbbty eti unaclass unasomesha pia ktk whatsap?? Unayo group la whatsapp
@nasrahabdulatiffattass23104 жыл бұрын
Assalam aleykum Habibty, haitiwi sukari?
@ShunasKitchen4 жыл бұрын
waalaykum Salam dear, unaweka sukari
@neylacamp31754 жыл бұрын
Mashallah Allah baric kazi ya mikono yako.namba ya wasap naomba dada
@ShunasKitchen4 жыл бұрын
shukran dear ameen ameen
@ShunasKitchen4 жыл бұрын
kindly check details zangu zote kwenye ukurasa wangu wa Instagram @Jifunze_mapishi
@amnenassor58024 жыл бұрын
Nakwambia hakuna siku niliyofurahi kama leo nimepika imetoka ajaab