Wewe Dada ni kiboko BWANA Akuongezee maarifa zaidi ! Amen.
@naidiidris6994 Жыл бұрын
Ubarikiwe dada, tena na tena. Nimejaribu leo hii na imetoka yummy yummy. 🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽
@theokay89012 жыл бұрын
Ubarikiwe dada hakuna mtu KZbin anafundisha hii
@christerkilamlilo70132 жыл бұрын
Asante kwa kushare ila naomba vipimo kama hutojali. Yaani nijue kilo ngapi vitunguu, hoho kiasi gani n.k
@gracehendrick54892 жыл бұрын
ukipata majibu ya vipimo nitag
@NjanoKijani11 ай бұрын
Nimeipenda iyo dada Asante sana ila nikiitaji Kama ivyo chupa 50 malipo yake yakoje na naipataje maana Nina mtoto mdogo sitaweza kusaga mwenyew
@subirachriss72172 жыл бұрын
Wow I can't wait to try this recipe..
@fabsauda58312 жыл бұрын
Nimejaribu jaman ni tamu sana asante dada dina
@Dina-py8js2 жыл бұрын
waaoh am glad kusikia hivyo darling
@Ratifa-b9d17 күн бұрын
Bila hyo vinega inakuwaj
@FatmaKenzo6 ай бұрын
Inakaa siku ngapi bila kuharibika??
@MwatimaSuleiman4 ай бұрын
Safi sana kumbe tunapunwa tujitahidini kina mama
@dominicakapwapwa8241 Жыл бұрын
Samahani kuna umhumu wa kuweka hayo matango ?
@eshaliwowa5458 Жыл бұрын
Safi dada shida nikipaki inakuwa na gesi baada siku 3 inalipuka nisaidie Kwa hilo
@nabihakassimally908918 күн бұрын
Inaripuka cuz inakua haiko preserved, jaribu usiweke maji kwa pilipili yko and saga na vinegar ikiwezekana na mafuta. Mafuta na vinegar yanaact kama preservatives na pilipili yko inaweza fika miezi 3 mpk miezi 6 bila ya kukaa kwenye fridge na isiharibike. Hope hii itakusaidia
@anethben77232 жыл бұрын
Hi I inakaa ck ngapi, mbna mi nliipika ivi ikakaa ck mbili ikaharibika?
@Dina-py8js2 жыл бұрын
preservative uwa una tumia hipi dear na unaweka katika uwiano gani?
@nabihakassimally908918 күн бұрын
Maji ulotia maybe hayakukauka ndo mna imeharibika or maybe hukutia vinegar
@nabihakassimally908918 күн бұрын
@@Dina-py8jsmafuta na vinegar na juice ya limao pia ni preservatives kipenzi
@sumaiyahmwinyiamani2862Ай бұрын
Dada tunaomba ujibu maswal anza nalakwangu ukitaka kuweka sodium unaweka wakati wakuchemsha au baada yakuchemsha
@nabihakassimally908918 күн бұрын
Sodium unaweka baada ya kuchemsha kipenzi ila pilipili ikiwa bdo iko na uvuguvugu ili iyayuke kwenye hyo pilipili. Hope this helps
@zuwenatalib18252 жыл бұрын
Inaweza kukaa sehem ya joto bila ya kufoka? , Kuna baadhi ya pilipili nyengine ukiweka kwenye chupa ikipata joto kidogo inafoka wakat wa kuifungua.
@Dina-py8js2 жыл бұрын
Okay mimi ninavyojua ukiweka vigenar ya kutosha haifoki dear
@zuwenatalib18252 жыл бұрын
@@Dina-py8js sawa Asante
@rosemarygeorgekikwala78362 жыл бұрын
Asnte
@yakubuhamisi58802 жыл бұрын
Kweli mie nauza pilipili ukiweka hiyo vineger bado inagesi nyingn tu sijui shida iko wapiii
@Dina-py8js2 жыл бұрын
@@yakubuhamisi5880 jaribu kutumia sodium benzoate kama peservative
@zanahbiaalmasi3586 Жыл бұрын
Nzuri,ila samahani naomba namba zako
@ShukraniEthan-us3sg Жыл бұрын
Asante Sana mamy
@veredianadaudmwassi52982 жыл бұрын
Kwann tunaweka matango?
@ashandege48412 жыл бұрын
kuna watu wana alergy ya kitunguu saum ni lazima kiwekwe?
@Dina-py8js2 жыл бұрын
Hapana sio lazima kuweka dear
@manasadunia34582 жыл бұрын
Thank you ❤❤
@vumiliaothman63082 жыл бұрын
Nzuri hongera
@Dina-py8js2 жыл бұрын
Asante dear
@salwasuleiman35252 жыл бұрын
Maa shaa Allah
@LevinaMlangira4 ай бұрын
Vitu vyote hivyo unaweka kiasi gani?
@chany99502 жыл бұрын
Barikiwa mama love you 🥰🥰🥰
@hellencharles38082 жыл бұрын
Inawezekana kusaga viungo vyote kabla hujaipika.?
@Dina-py8js2 жыл бұрын
Yes dear inawezeka na kabisa
@EK-kp2np2 жыл бұрын
Ukisaga kabla ya kupika hutapata harufu nzuri inayopatikana kama utakaanga vitunguu peke yake; mfano ukipika pilau, huwezi kuchanganya vitu vyote halafu ukachemsha, itatokea tofauti kama ukikaanga vitunguu halafu saumu halafu viungo Halafu mchele na nyama
@shamsamohammed9358 Жыл бұрын
Ubarikiwesana
@faizakhalfan1066 Жыл бұрын
Mashallah bei gani chupa
@shamsamohammed9358 Жыл бұрын
Tunaomba namba yako
@doricemakwinya54942 жыл бұрын
Ulvyosaga mbona imekuwa ya njano xan hapo kwny chup tofaut ilivyokuw kwny sufuria
@Dina-py8js2 жыл бұрын
Rangi ya carrot ndio imesababisha mamy
@fardoshnassor78475 ай бұрын
💖💖💖
@susankonditi16682 жыл бұрын
Hizo matangu ni cucumber?
@Dina-py8js2 жыл бұрын
Ndioo mamy ni cucumber
@ozykay43492 жыл бұрын
Are those cucumbers or coguettes?
@Zarleys2 жыл бұрын
Cucumbers
@ozykay43492 жыл бұрын
@@Zarleys Thank you
@robinermsigalla93412 жыл бұрын
Be blessed
@mwanaidikika34172 жыл бұрын
Jeee inakaa muda gani bila kuharibika
@Dina-py8js2 жыл бұрын
inaaka ata mwaka mzima
@EK-kp2np2 жыл бұрын
Sikufaham kama matango yanapikwa, nilidhani zile courgette au wengine wanaita Zucchini ( sifahamu jina la kiswahili) ambazo zinafanana na matango.
@Dina-py8js2 жыл бұрын
inategemeana na ladha unayoitaka darling unaweza ukaweka hata nanasi
@EK-kp2np2 жыл бұрын
Okay, asante kwa kutuelimisha, napenda sana kujifunza kupitiamtadao🙏🏻
@agripinaluoga59052 жыл бұрын
nzur
@faizakhalfan1066 Жыл бұрын
❤
@hypedafrica2 жыл бұрын
Nimeipenda hii💙
@gracehendrick54892 жыл бұрын
mumy naomba msaada wa vipimo nitengeneze na mm
@Dina-py8js2 жыл бұрын
nicheck kwa no hii 0769826193
@mwanatz59802 жыл бұрын
Asante
@rosemutinda30762 жыл бұрын
Matango kwa kingereza n nini?
@rehemajaphety59582 жыл бұрын
Cucumber
@lululinus5962 жыл бұрын
barikiwa momy
@Dina-py8js2 жыл бұрын
Thanks dear🙏
@lulufnns54682 жыл бұрын
Safi sana
@Dina-py8js2 жыл бұрын
Thanks dear
@anithammary61102 жыл бұрын
Inafaa bila kuweka kwenye fridge
@Dina-py8js2 жыл бұрын
Ndioo mamy vinegar inasaidia ikae muda mrefu inaweza kukaa hata mwaka mamy ukiweka vinegar ya kutosha
@shemsanassor632 Жыл бұрын
@@Dina-py8js hazifanyi gesi lile chupa ikafaya km inapasuka