Aroma of Zanzibar Shukran ant Bismillakh mashallakh Allah atuwekee amiin nimependa sn lkn swali langu km siwezi kugrill naweka kukaanga 2
@aromaofzanzibar7 жыл бұрын
Unaweza kutumia frying pan la kukaangia lakini usitie mafuta kwani kuku ana mafuta tayari
@zussicutie5 жыл бұрын
Ma'Shaa'Allah shukraan sana kwa u juzi mzuri w a upishi Mola akubariki zaidi ameen In'Shaa'Allah 🙏❤👌
@jalilahalkindy57025 жыл бұрын
Really love u in my heart aroma of zanzibar for nice and sweet cookin may Allah Allah give you good health and long life
@tumaomar89997 жыл бұрын
Masha Allah Shukran Sister kwa mapishi mazuri
@amadirazak7 жыл бұрын
Ma shaa Allah May Allah SWT bless the work of your hands Ameen
@aromaofzanzibar7 жыл бұрын
Shukran, Amin
@mariamnshimirimana4226 жыл бұрын
Nakupenda sana kwa mapishi yako
@mohabatkhanmalak53147 жыл бұрын
So, so good and easy as a lunch or even dinner. We will try this soon during the upcoming holidays. Reminds me of the Gulf. Thank you.
@aromaofzanzibar7 жыл бұрын
Inshallah, do get back and let us know how it turns out for you
@aimanali86127 жыл бұрын
shukran my mungu akusimamie ktk kazi zako
@zainabzanzibar15187 жыл бұрын
Shukrani hatuna cha kukulipa dada yetu ila tunakuombea duwa ALLAH akupe afya ili uendelee kutupa mafunzo haya akulipe kheriy fii duniya wal Akhera kiukweli ndoa zetu za imarika kupitia ujuzi wako unaotupatia
@aromaofzanzibar7 жыл бұрын
Shukran, Amin kwetu sote
@MariamsLifestyle7 жыл бұрын
Looks so yummy, nitajaribu hii Nina vitu vyote vinavyoitajika
@bintsalimalbimany93737 жыл бұрын
Aroman zanzibar Allah akueke inshallah na sah na afia yarab uzid kutuelimish
@aromaofzanzibar7 жыл бұрын
Shukran, wewe huko Omani ni kununua tu sie huku hakuna ndio laziima tupike wenyewe
@neemamtangi3682 жыл бұрын
Nakuombea wishi miaka mingi mwenyezi mungu akupe afya njema na hitaji la moyo wako
Hii ni recipe nzuri sana dada yangu . Inanipeleka kabisa DAR ES SALAAM KWAKWELI.
@leilamohammedbinzimeh89857 жыл бұрын
Mashallah shukran sana
@diyaosman89927 жыл бұрын
Shukran habbtyالله حليك افيه إن شاء الله
@mariamnshimirimana4226 жыл бұрын
Ninapenda sana kazi.ya kupika
@fahas67797 жыл бұрын
Shukran sana. Mashaa Allah
@ashasefu80013 жыл бұрын
Wow ilove this video
@aromaofzanzibar3 жыл бұрын
I'm glad you like it
@suleshmussa13497 жыл бұрын
nice habibty.... God bless you
@bintsalimalbimany93737 жыл бұрын
Mashallah habibty Jazakallahukher
@careendeborah8747 жыл бұрын
nice
@zakiasalim9117 жыл бұрын
Mashaallah.
@lizb20126 жыл бұрын
Asante dada, you are the best!💞
@aromaofzanzibar6 жыл бұрын
Thank you for your support
@wacmber21317 жыл бұрын
Jazakka llahu kheir habibty
@zeitunswaleh54704 жыл бұрын
Masha Allah
@abudebinabri12877 жыл бұрын
shukra mungu akuhifadhi
@aromaofzanzibar7 жыл бұрын
Inshallah, Amin kwetu sote
@nihadahmed48127 жыл бұрын
ماشاألله تسلم
@yusufbakari16297 жыл бұрын
shukran
@nabilasalim86617 жыл бұрын
Mashallah
@رميساءناصر7 жыл бұрын
shukran sana habibty kwa recipe ya hii plzz naomba upishi wa matobosho manake kila nikifanya hawawi mazuri plzzz
@aromaofzanzibar7 жыл бұрын
Inshallah nikipata fursa
@رميساءناصر7 жыл бұрын
shukran sana Allah akuhifadhi
@Dr.SheilaRamadhani7 жыл бұрын
Love you habbty unatusaidia
@aromaofzanzibar7 жыл бұрын
Thank you for your support
@arngemer6 жыл бұрын
Wow, they look better than Abu Omar shawarma.
@mariama14907 жыл бұрын
Shukran dear
@chefjj12696 жыл бұрын
Habibty,nakupongeza sana,napenda sana mapishi yako na maelekezo mazuri mno,ninajifunza vingi kupitia channel yako...wabillah tawfiq
@aromaofzanzibar6 жыл бұрын
Shukran
@ahmedyoung73007 жыл бұрын
Maa shaa Allah
@aishachibeby10026 жыл бұрын
MashaAllah God bless you dear
@shakhaalwardi67076 жыл бұрын
Salamu alaykum
@mariamnshimirimana4226 жыл бұрын
Asalamwalaykum warahmatulah wabarakatu
@azizakassim35304 жыл бұрын
Jamani nisaidieni... Giligilani ni nini???
@aromaofzanzibar4 жыл бұрын
Kormiri, dhania
@manusimba41975 жыл бұрын
Natamani kuonja
@asyaebrahim43907 жыл бұрын
kweli tena matobosha mm pia nilikuwa nataka kuomba mapishi yke ume tangulia
@shiijam67716 жыл бұрын
😋😋😋😋.. Unaweza ukafunga tuu ivyo ivyo bila na karatasi?
@aromaofzanzibar6 жыл бұрын
Shiij m yes dear karatasi sio lazima
@shiijam67716 жыл бұрын
Aroma of Zanzibar thank youu... Nimejaribu kupika chapati za kusukuma kwa njia uliopost hapa, zimetoka amazinggg😍😍😍
@mariamnshimirimana4226 жыл бұрын
Unielekeze kama dada yangu
@ashminaabdullah56266 жыл бұрын
Alwys love u my
@mohammedbusaidi85056 жыл бұрын
Thx
@biimukassim58956 жыл бұрын
Naomba upishi wa mkate wa shaorma
@aromaofzanzibar6 жыл бұрын
Mkate wa shawarma nimeweka video pamoja na hii bonyeza hapa kzbin.info/www/bejne/hWbOqKmAhrCYjZY
@lailamohamed22027 жыл бұрын
Dada je akihitaji kujakusomea ni shilingi ngap
@aromaofzanzibar7 жыл бұрын
Mie nasomesha hapa tu ni bure, sipo Tanzania
@rosempululu85514 жыл бұрын
Nimejaribu leo shawarma tumeifurahia sana ni tamu mno
@nassrasalum25816 жыл бұрын
Sis link ya sosi yq tahini?
@aromaofzanzibar6 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/aGHWXmdoetOkpJY
@mohamedamin-bq4wk7 жыл бұрын
thank u ila nina suali naeza kutengeneza thom sauce kidogo kama ya siku moja
@aromaofzanzibar7 жыл бұрын
Unaweza kutengenea kiasi utakacho penda lakini kidogo kama hivyo kama una mini food processor kwa kiasi 5 au 6 hivi na mafuta na ndimu ni kiatu ukisie as you go along
@mohamedamin-bq4wk7 жыл бұрын
blender ni sawa?
@aromaofzanzibar7 жыл бұрын
Inategemea if your blender can do that job. Tatizo la blender kwangu mie ni kwamba haisagi vitu vikavu kwa hivyo inabidi utie maji ya ndimu na mafuta kwa haraka haraka na kwa sosi hii ni tabu inataka kuenda kidogo kidogo. Nafkiri magic bullet inaweza kufaa kama unayo
@mohamedamin-bq4wk7 жыл бұрын
do u have recipe ya sumac i also saw it kwa tandoori recipe yako masha ALLAH it makes the onions nd peppers look nice
@aromaofzanzibar7 жыл бұрын
mohamed amin No dear sumac is just one ingredient you can get it from the Arab grocery . it's very nice with a tangy taste something like dried lemon sort of.
@yusufbakari16297 жыл бұрын
maziwa ya mtindi ni maziwa gani
@aromaofzanzibar7 жыл бұрын
Yusuf Bakari Yogurt, maziwa lala
@mohmedalabre81047 жыл бұрын
Asnte kwa mapshi nilifanya sosi ya kitunguu somi mzuri ila watoto walileta pozi ila kwa ssi watu wazma tulipnda hadi haiadimiki
@aromaofzanzibar7 жыл бұрын
Shukran, watoto mpka uchanganye na kitu labda kama mayonise, mie wangu wanaipenda sana labla kwa vile wamezoea tangu wadogo. Haiadimiki kwangu
@mohmedalabre81047 жыл бұрын
Aroma of Zanzibar kwapiza wanapenda mashallh asnte nilijiarbu kuweka hata mmi nilikula siku hio maana mmi sio mpnzi kive ila siku hio nilijitahid asnte
@aromaofzanzibar7 жыл бұрын
Alhamdulilah!
@kh4l1dwewe656 жыл бұрын
Could you please tell the ingredients and recipes in English subtitles. Because I don't under stand your languAge
@aromaofzanzibar6 жыл бұрын
Here's the link to the English version kzbin.info/www/bejne/amWndJSEj7Gajas
@aishaomari18816 жыл бұрын
Hapo dada ungetia na chips kidogo na cheese ingenoga
@aromaofzanzibar6 жыл бұрын
Chips na cheese tena hiyo ni kienyeji sana
@aishaomari18816 жыл бұрын
@@aromaofzanzibar sawa dada mm nipo London napata posho nyingi kwa ajiliyako
@mahirmbarouk9776 жыл бұрын
Mummy huo mkate ni wakawaida tu kama unavyokanda chapati au ni vp
@aromaofzanzibar6 жыл бұрын
Link ya mkate wa pita bread niweka kzbin.info/www/bejne/hWbOqKmAhrCYjZY
@sitihassan94395 жыл бұрын
Manda zake unatengeneza kawaida tu
@aromaofzanzibar5 жыл бұрын
Nimeweka link ya video ya mkate hapo chini ya tarehe pamoja na link ya Sosi pia
@shamsawatuta69046 жыл бұрын
recipe ya chapati ya shawarmaa.
@aromaofzanzibar6 жыл бұрын
Angalia hapo chini niweka link zote zinazohitajika kwa shawarma
@neemamtangi3682 жыл бұрын
Yaan dd nipende kutoa shukurani zangu kwako maan nimejitinza Mambo mengi kupitia mapishi yako yaan kitu nikiangizowatu na madm kama sielewi nikingia kwenye KZbin yako basi napika kama alivyo niangizia
@aromaofzanzibar2 жыл бұрын
Hongera, na shukran sana
@shuwehaomar66587 жыл бұрын
ndugu yangu tuletee ftari ya mhogo tujilambe hahahah
@aromaofzanzibar7 жыл бұрын
Inshallah nitajitahid
@lulumohd43057 жыл бұрын
Salaam alekum vipi kuna vitabu vya mapishi ya vyakula vikavu kwa kiswahili?
@aromaofzanzibar7 жыл бұрын
Lulu mie sina vitabu na siishi Tanzania itabidi uulize huko dear
@mariamnshimirimana4226 жыл бұрын
Mimi ni mariam kutoka burundi naomba kujuwana na wewe
@hurumasalyanda60326 жыл бұрын
Mariam Nshimirimana nc
@queenmariana58877 жыл бұрын
Kwan uliishi warabuni ww😂😂😂😂
@aromaofzanzibar7 жыл бұрын
Nimeishi arabuni miaka 20 kabla sijahamia marekani
@kiokofrancis99626 жыл бұрын
Bas Shawwarma zako tamu kama wabahrien wanavyopika mashallah
@mariamnshimirimana4226 жыл бұрын
Naomba kujuiunga na wewe
@aromaofzanzibar6 жыл бұрын
Wewe nifuate hapa youtube tu ndio nafundisha mapishi yote dear sina group
@mamyssmoe67067 жыл бұрын
Aroma of zanzibar tangu niwe mwanafunz wako nina uhakika na ninachokifanya jikoni mpaka raha alkhamdulilakh maana mengi nimejifunza habibty
@aromaofzanzibar7 жыл бұрын
Shukran habibty , hongera kwa jitihada zako alhamdulilah
@mamyssmoe67067 жыл бұрын
Aroma of Zanzibar alkhamdulilakh Shukran weye kipenz💋💋❤
@rahmasaleh62106 жыл бұрын
pls tuleteee na mapishi ya burger
@aromaofzanzibar6 жыл бұрын
Inshallah
@fahadsanad41634 жыл бұрын
Nakuambia uarabuni atukuli kwa nyumba hotelini kununua shawarma
@mariamnshimirimana4226 жыл бұрын
Namimi ni mpishi ndio nina anza
@nsiandekweka83737 жыл бұрын
This isn’t shawarma . Shawarma is a Lebanese street food but this wasn’t even close to it , your chicken was cooked in very high heat ,hiyo pan yako you can tell ilikuwa on very high heat
@aromaofzanzibar7 жыл бұрын
Nsiande Kweka Point noted dear unfortunately I do not own a rotisserie to create the authentic style of chicken. Najua kama ni Lebanese food I lived in UAE for 20 yrs and ate shawarma almost every other day. The point of starting on high heat was to create some kind of smoky flavor and I continued with low heat to retain the juices. Thank you for watching.