Supu yng pendwa siyo mimaji umesahau kabinzari chembamba🎉❤
@HellenRaimondАй бұрын
Congratulations ❤❤❤
@mariamyoyote8172 Жыл бұрын
Weweweee hata Kama nyama imelala kwenye friza hakikisha umeitoa mapema imeyeyuka Kishan OSHA nyama moja baada ya nyingine eeeeee Yani unatoa Kisha waipika na dam, mibarafu duuuuu ,,,,, ni mtazamo wangu bibie wala usijali mpenzi❤❤❤
@israelkisaila8401 Жыл бұрын
Uenda kabla hajaiweka kwenye frizer aliishaisafisha vizuri
@ivankulola5847Ай бұрын
Damu inakaa kwenye mishipa ndani au nyama? ushauri jifunzi hilo kwanza
@evanjelcamelkizedeck1356Ай бұрын
Yess@@israelkisaila8401
@annalouis234411 ай бұрын
Mchemsho safi sana 😋
@felicianachuwa38484 ай бұрын
Nimependa sana
@elizabethmwambu57049 ай бұрын
Itakuwa tamu sana
@Judy-qh8bj Жыл бұрын
Safi sana...mapishi ni ubunifu ttz watu wanakariri
@vitusugulumu9079 Жыл бұрын
Wana wivu hawana lolote
@HawaSadock Жыл бұрын
Kabisaa
@NellySovanike7 ай бұрын
Iko good nimependa
@deejaykid25439 ай бұрын
Nice one 😊
@BidalaMwinyi-c3s9 ай бұрын
Nimeipenda xna
@kowthowayne3474 Жыл бұрын
Umepika vizuri sizani kama ni ukale kama kwenye comment watu wanavyosema ,,, that is creativeness big up watu wamekalili supu isiyo na hoho wala viungo lkn sasa hivi ni digital life ,,, big up u are creative
@jovanafidelis2802 Жыл бұрын
Kabisa ,wamekariri supu ,maji mengi kama kioo ujione humo
@fridachuwa8622 Жыл бұрын
Washamba kabisa ndugu, hebu waulize supu ya mboga mboga inawekwa nini na nini,
@fridachuwa8622 Жыл бұрын
Kwa kuwasaidia supu ya mboga mboga inawekwa ----------- Vitunguu saumu Vitunguu maji Tangawizi Karoti Hhoho Iliki Giligilani Na kingine unachopenda, kwa hiyo utasema sio supu? Watu waache kukariri wajifunze Kama hawwajui
@VictoriaMrisho Жыл бұрын
umenenaaa mwaaaa
@AshaOmary-cg8ds3 ай бұрын
Nimependa umepika vizuri
@IbrahimuEmmanuel-k2t8 ай бұрын
Mpishi umenona 😋
@SaraShady-d7s11 ай бұрын
Mmmmh hapana uo ni mchemsho Kwa mchemsho ni mzuri sna ila supu hapana
@OmaryOmary-rv6ob Жыл бұрын
Wawooo nimeipenda hy
@NK-DF-ST-10-3 Жыл бұрын
Your welcomeee
@MwajumaAbdallah-u2w11 ай бұрын
Nimeenda mpendwa asante kwamaelekezo
@WanyendaMbuli-mu3kt Жыл бұрын
I like it hongera dada
@FionaMaturanya Жыл бұрын
Nzuri kwa muonekano ila supu inatakiwa iwe simple and clear and not too much viungo inaonekama kama mchuzi wa nyama au mchemsho wa nyama lazima utofatishe mpenzi.
@janethsylvester17046 ай бұрын
Wew nae ushazoea michuzi hujui hiyo ndo supu nzito 😅🔥🔥🔥
@benjaminshayo325 ай бұрын
Hamna bhana.... Kama yeye anataka kulia chapati je...😂😂
@EpifaniaMasawe3 ай бұрын
@janethsylvester1704 😁😁😁mim na wekaga mpka njegere siku akili iki ruka naweka na bamia tatu, ngogwe mbili na maharage changa . Sasa sijui Mimi niwekwe wap 😂😂😂😂
@salomemwakapeje89963 ай бұрын
Hii itakua nzuri zaidi kuliko.@@EpifaniaMasawe
@Ndiminijnr2 ай бұрын
Unavyogongwa wewe na basha ako sio na yeye anagongwa hivyo kila mtu kivyake huna ulazima kuchangia
@MswakiMwakumbe-fs2md Жыл бұрын
Hongera
@janemwakasege6460 Жыл бұрын
Upo vizuri mpendwa
@sobbyesmail52787 ай бұрын
Ma shaa Allah ungerahisisha mwanzo usafi wa nyama na kukatwa ndio uhifadhi kwenye friza ukitaka kupika unabadika na kutia viungo inayayuka ikiwa kwenye moto..supu nzuri sana.
@HalimaAwasi-hk7uc5 ай бұрын
Iyo ni mboga ya kulia ugali kabisa kwenye supu imepitiliza😋
@elizabethchigua4675 Жыл бұрын
Upo vizuri
@kwizeraalphonse1024 Жыл бұрын
Wee we unapig supu ya vizuri sana
@JacklinePatrick-mo3dg11 ай бұрын
Dr Nyau nimekumic sana
@elmanichombe7198 Жыл бұрын
Safi nimeipenda hiyo supu
@NK-DF-ST-10-3 Жыл бұрын
Karibuu
@mariamsaidi6147 Жыл бұрын
Woooo nyam nyam
@HawaSaid-ru4zq7 ай бұрын
Mchuzi apo bado ubwabwa 😘
@JennevivaJenneviva11 ай бұрын
Hongera mamy wanawake wa leo jiko lao tiktok
@FekiHappy8 ай бұрын
Nimeielewa hii supu nzuri sanas
@KastuliJohn-p1p Жыл бұрын
Like my friend
@Gracenassary-zv4qc Жыл бұрын
Supu nzuri sana dada
@Farida-t5q4v3 ай бұрын
Jmn mbn iko vzr tu
@vincentmanyili12074 ай бұрын
Hila nimeupenda mchemsho wako
@sobbyesmail52787 ай бұрын
Hapo na chapati ua moto ndio mwenziye
@wivinasweetbert716621 күн бұрын
Tangawizi nyingi sna
@nimphermonicah4754 Жыл бұрын
Looks yummy loving it❤️❤️❤️👌
@prisicayamlinga88 Жыл бұрын
❤❤
@mohamedrajabu90557 ай бұрын
Masha allah
@joysdelicacies Жыл бұрын
Yakaa tamu sana... Will try it out
@salomekangalu4811 Жыл бұрын
Aisee nmeielewa
@marycosmas4043 Жыл бұрын
Wapishi wengine bhana mnatumalizie MB zetu tu! ndio nn sasa kututilia hoho na viungo ving kwenye supu 😍
@far-hatharoub5511 Жыл бұрын
Huo ni mchuzi sio supu 🤣🤣
@jean-daffairesmanirakiza4759 Жыл бұрын
Watajikuta wanatengeneza uchawi wakidhani ni chakula.
@emmanuelzani2889 Жыл бұрын
Aliyekuambia supu siyo viungo ni nani? Asante.
@marycosmas4043 Жыл бұрын
@@emmanuelzani2889 Mmm Emma : siyo kuweka viungo vyote hivyo, viungo vikizid Sana hiyo siyo supu ni mboga ya k-katia viungu 😍
@marycosmas4043 Жыл бұрын
@@jean-daffairesmanirakiza4759 😁😁😁😁 jamani 🤦
@REYABDALLAH-y3y Жыл бұрын
6:30 kweli uonimchemsho
@miriamnikolaus35 Жыл бұрын
Yummy Yummy ❤❤❤❤❤
@SimpoKyando11 ай бұрын
Supu zuri mnoo
@MariamIbrahim-e3x12 күн бұрын
Supu ni nzuri Kwa macho ila hiriki imenitoa nje.Naomba kujua inasaidia nn? Mama Ibu Namt.
@AMINAMOHAMED-de7gb11 ай бұрын
Naskia njaa tayari.
@MARYNAGUJustin8 ай бұрын
Mh kweli huu mchemsho !
@JumaShabani-yn1ef Жыл бұрын
Supu nzuri dada I like them
@zainabumartin9520 Жыл бұрын
Katia viazi vitunguu nyanya sasa supu gani yani mitandio inamambo kamahujui acha kutupia mitandioni
@winniewilson2855 Жыл бұрын
Ahsante sana mumy
@NuruSwaleh-m8jАй бұрын
Hizo vegetables zilizo zidi c lazima mtu azile kama hapendi....hizo pia zinaleta ladha kwa supu na kama zimechemkia vzuri ladha itakuwa ishaingia kwa supu so zitoe kama huezi kula na unywe supu😍🥰🥰🥰
@millyapopo4457 Жыл бұрын
Hongera kwa supu tamu dada
@janettuku7940 Жыл бұрын
Tamu sana
@bethngugi-z1f19 күн бұрын
Viungo ni vingi sana
@nyanzimajid7373 Жыл бұрын
Asanti sana kijana
@LizybKimario11 ай бұрын
Good
@Sarahkibona-y1r2 ай бұрын
Bado nyanyatu
@evelynmtenga4744 Жыл бұрын
Nimekuelewa
@cookingwithmimmo Жыл бұрын
Napenda sana mapishi
@ernestmshanabakari1352 Жыл бұрын
Nice nyau
@KelvinKarumna Жыл бұрын
Ongera Dada nimependa mapishi yako supu nzuri sana
@Gunnar12083 ай бұрын
Ni nzuri sana lakini naomba punguza tangawizi make utapika chai siku nyingine
@jacksonpetermnebwe844 Жыл бұрын
Dar hatari sana nimependa saaana mapishi hayo yummyum
@SalumSaida-g2s Жыл бұрын
Ongela Sana mamy kwa mapxhi
@NK-DF-ST-10-3 Жыл бұрын
thanksss love your welcome
@carolinemungure6066 Жыл бұрын
Ungeweka ndizi ufanye mchemsho au ungefanya kuwa trupper 😊😊
@DataScience-ryАй бұрын
Supu bila vitafunio, vitafunio Nyama.😮😮
@JoyceJoseph-i6c Жыл бұрын
Duh hy so supu jaman viungo vyote hvy au nimim sijui supu kuwa ni chumv tu
@YasiniMjengi-rg4pb Жыл бұрын
Ndomaana
@sarasaidi60782 жыл бұрын
Congratulations 🙏
@NK-DF-ST-10-3 Жыл бұрын
Thanksss
@anthonykipkemoi8253 Жыл бұрын
Supu tamuu sana dada
@edwardlucas168Ай бұрын
Mmmh cjui lkin hiyo sio supu tena kale na ugali au wali tu hapo
@benjaminshayo325 ай бұрын
Mama hongera kwa mafunzo, ila nunua mifuniko ya sufuria bhanaa😂, unapofundisha mapishi jitahidi kutumia vyombo vzr ili kuleta unadhifu na kuonyesha kuwa cio kwamba unajua kupika tu ila pia unalithamini jiko lako, chakula chako na uanamke wako pia..... Maana moja ya sifa ya mwanamke ni nyumba pamoja na kila kilichomo ndani ya nyumba yake.... Otherwise uko byee mama 😊
@rizikiibrahim7236 Жыл бұрын
Mbona tangawizi nyingi sana
@PriscaMahenge-s8o Жыл бұрын
Nicee
@esthermanka8806 Жыл бұрын
Uwo nimchemsho bwana wa nyama 😮
@zuheorsalim77597 ай бұрын
Sio vitunguu swahumu😅
@SaudaAdamu7 ай бұрын
Nice ila huo ni mchemsho sio supu
@joycembago59342 ай бұрын
Kwani ukiweka nyama kwenye friji uoshi?
@MwamvuaRamadhan-rg2id Жыл бұрын
Mapishi. Mazuri
@rahimaaaaa5682 Жыл бұрын
Wow❤❤❤❤❤
@NK-DF-ST-10-3 Жыл бұрын
❤️
@mikemaina1626 Жыл бұрын
Umetaja 'shombo' ningependa kujua shombo ni nini?..... Good cooking!
@NK-DF-ST-10-3 Жыл бұрын
Shombo ni harufi ya nyama mbichiii ko hutoweza isikia wakati wa kula
@mikemaina1626 Жыл бұрын
@@NK-DF-ST-10-3 asante nashukuru
@gishigrace9711 ай бұрын
Kiukwel hii supu mmmh mbona nzito vile
@StevenBhoke10 ай бұрын
Nakukumbusha ukiwa unapiga funga nywele na kitamba sawa mamii but umepika vzr cngltl