Asante. Ila nakuomba usiache ku subscrible ili nikitoa video zingine zipate kukufikia haraka uendelee kujifunza zaidi
@paulluchinda40662 жыл бұрын
Nielekeze na mmi
@Noorally242 жыл бұрын
@@maarifatechnique8644 naomba nielekeze samahani nawezaje kuziona data nizojaza kwenye Google account,nishasahau namba niloiweka kwenye google
@NiimatMdee6 ай бұрын
Nmejarb sana km ulivyoelekeza ila haijafunguk
@maarifatechnique86445 ай бұрын
Naomba tuwasiliane
@BashirShaban-cv9yz10 ай бұрын
🔥🔥
@kingagirltz6183 жыл бұрын
Me namba niliokua natumia siko nayo lkn namba ya sili naikumbuka lkn nilijalibu kuirudisha naletewa maandishi afu na voice zinaongea Kama marobot ko sielew hata
Nimejaribu mara nyingi bila mafanikia msaada pllzzz . . .
@maarifatechnique86445 ай бұрын
@@festusclavery6413 weka mawasiliano nikutafute
@KetyErasto7 ай бұрын
Me ikija kwenye checking info inaniletea use pin verify that it's you sasa nashindwa maana pin me nishasahau kabisa
@maarifatechnique86447 ай бұрын
Naomba ufafanuzi wa swari lako... Au acha mawasiliano ili nikutafute
@KetyErasto7 ай бұрын
@@maarifatechnique8644 yaan nikibonyeza add account naenda Google nikibonyeza Google inakuja checking info kabla haijafunguka inaniletea use pin yaan mpka niweke pin Kwanza
@PaulMadeka-ss9pl7 ай бұрын
Manake wakinitumia zile 6codi haziwezi kufika kulingana hii sehem mtandao hakuna kabisa plz help me
@maarifatechnique86447 ай бұрын
Jitahidi upate muda wa kuwa sehemu ya mjin ambapo mtandao unashika, ni kitendo cha dk chache tu mkuu
@PaulMadeka-ss9pl7 ай бұрын
Mimi nimesahau password halafu namba niliyo iweka kwenye acount ya mwanzo nipo sehemu ambapo hio laini mtandao haushiki kabisa nafanyaje mkuu
@waleleofficial34303 жыл бұрын
Mm nikibonyeza try another way hainletei option nyngne
@maarifatechnique86449 ай бұрын
Umejaribu nilivyokuelekeza?
@Sbhstories15 ай бұрын
Mimi na miaka 4 sasa toka ni hackiwe ila namba nilokuwa nimeitumia niyakitambo sana na hata nikijaribu kuiingia naona yule hacker kaweka account yake kama recover .. naitaka irudi inawezekana
@maryamkhoja8610Ай бұрын
Najaribu sana inakataa kufunguka naomba nisaidie pleas kaka
@maarifatechnique8644Ай бұрын
@@maryamkhoja8610 inakuambiaje?
@allysufi53803 жыл бұрын
Mambo
@maarifatechnique86443 жыл бұрын
Safi
@HassanKhamis-zy6fz8 ай бұрын
Habari kaka,mimi nimepoteza laini niliyofungulia email pamoja na namba ya siri sikumbuki,email naijua je,naweza kuirudisha account yangu?
@maarifatechnique86448 ай бұрын
Baada ya kupoteza laini uliyoifungulia hiyo email account, ulilinew? Au ndio umebadilisha lain nyingine?
@HassanKhamis-zy6fz8 ай бұрын
@@maarifatechnique8644 nilisajiri laini nyingine maana nilikuwa mbali na nchi yangu
@HassanKhamis-zy6fz8 ай бұрын
@@maarifatechnique8644 nilibadilisha nyingine
@BarikiziMwanshuli8 ай бұрын
Kwa mfano uliiacha aukurenew na auikumbukii Amna xehem ya kusearch ili uipatee
@HassanMajob6 ай бұрын
Mimi eimal yangu niliifuta hasaa yaani niliidelet , je kuna uwezekana wa kuuirejesha ?
@maarifatechnique86445 ай бұрын
Uwezekano upo
@bihoboy9872 жыл бұрын
Naomba no yako tafadhali
@maarifatechnique86449 ай бұрын
Naomba nishirikishe changamoto yako zaidi
@BarikiziMwanshuli8 ай бұрын
@@maarifatechnique8644msaada nilipoteza cm na lain xkuirudixha nambaa meisahau
@JacobKamili Жыл бұрын
Maliam simeo 0:41
@maarifatechnique8644 Жыл бұрын
Sijaelewa kitu
@leomakwembe93512 жыл бұрын
Oy
@maryamkhoja8610Ай бұрын
Mimi email naikumbuka nilingiza haitaki naitaji kupata email ya mwanzo ili nipate app zangu za zazamn pleas naomba nisaidie kaka unielekeze namna yakufanya
@maarifatechnique8644Ай бұрын
@@maryamkhoja8610 unaweza ukanitafuta ukanielekeza vizuri ili nijue nakusaidiaje?
@drivingmartinchalamanda223 Жыл бұрын
naomba nisaidie account tangy militumia password mamba y'a simulator name Jesus I'll line ameuziwa Myrna mwingine nifanyeje ili kupata kufungua account yangu
@maarifatechnique86449 ай бұрын
Habari, changamoto yako ilipata ufumbuzi?
@HassanMajob6 ай бұрын
@@maarifatechnique8644mimi account yangu niliidelet je ! Naweza kuirejesha maana niliifuta usajili wake hasaa
@RachelMachotta-cg2df6 ай бұрын
Nimesahau namba ya Siri na namba nilotumia kusajili email
@maarifatechnique86446 ай бұрын
Pole Naomba mawasiliano ili tuone tunafanyaje
@simbasportsclublizykings58492 жыл бұрын
Mi naambiwa number nimeitumia Sana kufungua account
@maarifatechnique86449 ай бұрын
Yeah huwa inakuaga hivyo
@mhubirimamiha90823 жыл бұрын
Mimi ya kwangu nimesahau kabisa kwahio naomba unisaidie kuirudisha nita kupa pesa.
@maarifatechnique86443 жыл бұрын
Pole kwa kuchelewa kukujibu. Naandaa video nitaipost siku si nyingi, Naomba kama huja subscrible ufanye hivyo ili nikiituma ikufikie kwa haraka
@kingjoh81603 жыл бұрын
Hi shida yangu namba nilizoweka zilipotea za cm kwahiyo verification code inakua inatumwa kule je kuna njia nyingine kuirudish account yangu?
@anithathadeo53162 жыл бұрын
M mwenyew shida ndo hyo hyo huyu jamaa nae hata hajibu
@maarifatechnique86449 ай бұрын
Habari ndugu yangu samahani, nilipotea kidogo. Nishirikishe changamoto yako, au ulishaitatua?
@@anithathadeo5316 mambo vip bro, pole. Naomba nipe namba yako nikucheki tuone jins ya kusaidians
@simulizinahistoria15263 жыл бұрын
Bro wanatak no nipiosajilia haraf nimesahau
@maarifatechnique86443 жыл бұрын
Samahani, sijaelewa swari lako vizuri
@robertpeter7532 жыл бұрын
Naweza kukupigia
@maarifatechnique86442 жыл бұрын
Haina shida
@kipedereva4983 жыл бұрын
Broh mm nimesahau account yangu yazamani inamiaka Saba nimewka nyimbo zangu znavew nyin nifanyej hli hirud
@maarifatechnique86443 жыл бұрын
Kama umesahau account inakua ni shida kidogo kuipata, labda neno la siri ndio rahisi lakin vumilia kidogo naandaa video ya kuipata account. maana nachoamini hakuna kinachoshindikana
@kipedereva4983 жыл бұрын
Sawa Mana niliweka nyimbo alafu zishaanza kuwekwa matAngazo ckumbuk account wala namba Ila video zpo apo youtube
@maarifatechnique86443 жыл бұрын
@@kipedereva498 inaitwaje hiyo channel?
@kipedereva4983 жыл бұрын
@@maarifatechnique8644 kipe dereva hukiandika utaona nyimbo apo