Рет қаралды 178
Jifunze kiingereza na Teacher Othman
katika somo la leo tutajifunza jinsi ya kutumia neno "BE SUPPOSED TO" katika wakati uliopita pia tutaangalia jinsi ya kuuliza maswali na majibu yake.#englishgrammertips #learnenglish #jifunzekiingereza