Nzur san nimeipenda ,nauliza hiyo yakusogotea ni uzi au nilasta dada
@gracelazaro2469 Жыл бұрын
Ni nywele hiyo hyo anayosuka sema kaifumua kidogo kusukia
@milkaphilipo39426 ай бұрын
Waooo hongela sanaa
@Sheila-rg2iy Жыл бұрын
Barikiwe sana
@JamilaFundi-j3p3 ай бұрын
amependeza sanaa
@Anithajonasi8 ай бұрын
Nimeipenda
@maggepalanjo5161 Жыл бұрын
Nimeipenda hiyo nzuri sana
@NeemaRashidi-co3ps9 ай бұрын
Samahn me natka kujua hyo nywele zpo kampun tofaut... Maan kunanyengnee minenee na nyinginee ni nyambambaje kampun tofautii
@AngelFtk8 ай бұрын
Wow. nimafunzo mazuri san
@GloryJingu Жыл бұрын
Kapendeza jmn❤
@MamuuKahungoАй бұрын
Vp dada et inapendeza sna ukisuka bunda ngapi ndoinapendeza zaidi?
@JamilaAbedy-b6k3 ай бұрын
Nalipia vip dada
@NaomyMusyawaКүн бұрын
Hiyo nywele unasokotea inatoka wapi?
@PendoErnest-rh2io7 ай бұрын
Bei ya bunda ni shingapi???
@florafloness9571 Жыл бұрын
Naomba kuuliza hivi zilizotumika unafanyaje Ili zirudi kuwa mpya kama mwanzo
@LydiahOgeto-e4c Жыл бұрын
Hapo kwa kwanza kusokota cjaelewa hope utatoa video ngine
@BarakaChaula Жыл бұрын
Asnte nimeelewa
@MwanahawaWaziri10 ай бұрын
Nyerere si itakuwa inaonekan au
@MaryamMutuyi11 ай бұрын
niyambie jinarama futa unapaka nwere?
@rehemayohanasamwelyrehemay5422 Жыл бұрын
Da farida hapo kwenye kuunganisha nywele na rasta nashindwa
@ScolasticaMsosa2 ай бұрын
Unaweza kusukia bunda 1?
@mumbinjeri35283 ай бұрын
Colour ngapi??
@Bandit_camps-42658 ай бұрын
Jelly gani hiyo unauotumia?
@NeemaIdani-qw2dz Жыл бұрын
Kwaiyo apo umetumia bunda ngap za izo fluffy king
@FridahKijumwa8 ай бұрын
Asante daaa ...❤
@NaumiEmmanuel10 ай бұрын
Jaman inapendeza
@LucyNganga-j2l2 ай бұрын
Hy i want to join online class
@GloryUronu-l7w Жыл бұрын
Namba ngapi hii
@cosmangonyani1371 Жыл бұрын
Asant nejifunza pia Maana mm nilikuwa natumia Uzi kusukia hiyo nywele nashukur kwa kuongea ujuzi dada
@nurucharles3482 Жыл бұрын
Kwanin Mara nyingi ukisuk unapaka jeli?
@AnithaKiitaАй бұрын
Naomba no
@UmutoniNadine-w5g11 ай бұрын
Nipe adresse ya salon
@NeemaMallya-bb1mq3 ай бұрын
Nitalipia wapi nisaidie natk kulipia
@evelinaKinyele8 ай бұрын
Mie sijaelewa chin jaman msaada dada
@christianmuinde3104 Жыл бұрын
Hio mafuta unapaka inakaa kama jelly inaitwa aje?????
@BabyNashon Жыл бұрын
Nywele unayotumia kusokotea ni nywele gani...kama ni flafy kinky unaichambuaje??
@AshuraHussein-sp8fhАй бұрын
Samahan da farida mnachelewa sanaa kujibu sms whasapp 😢😢 jaman mm nataka nilipie
@BernadetaLinus Жыл бұрын
Ni nzur ila bdo cjaelewa hpo chin anaazaje kuishikanisha n nywele dada
@Dianadodi-r6o Жыл бұрын
Hiyo nywele unaweza ukaikata?!
@SophiaMajura Жыл бұрын
Uko vizur san dada
@MaryJebet-zj9ui Жыл бұрын
N hyo unazungusha nyo n yny umekawa wapi
@GetruderVaronge Жыл бұрын
Dada mim natamn nijuw jeli unatumia inaitwaj
@phaniceAmbale-zj1mu Жыл бұрын
Nizuri sana sana
@LovelyRama-t9s8 ай бұрын
Me Niko Kenya nanitaka kujifunza kusuka how can you help me 😢
@GervasKayabu10 ай бұрын
Bunda ngapi hizo
@upendoMbwambo-qc9tw3 ай бұрын
Na vp kusukwa ni shingap?
@ZainabuSaid-ol5dh5 ай бұрын
Hostery unalipia Bei gan
@ELADIATANGILA Жыл бұрын
Asante tunakuelewa
@angelalucas6910 Жыл бұрын
Sh ngap kusuka
@faridaothman Жыл бұрын
Hii kusuka kila kitu ni 45,000t karb 0657292650
@Kidumaster Жыл бұрын
Wanaichambuaje
@GreyvanNyoni3 ай бұрын
Habar mi niko dodoma naitataji kujifuza on lain
@hamidamaulana2696 Жыл бұрын
Iyo nywele unayosokotea ni ya kawaida au
@mariajohn89654 ай бұрын
Shingapi
@mariajohn89654 ай бұрын
Shingp
@happynesscharles4286 Жыл бұрын
Cjaelewa dada hapo anavochukua nywele kunavoanzia kusokotwa chin
@faridaothman Жыл бұрын
Nitarudia dear
@brendawanjala1442 Жыл бұрын
Whhh kazi yako ni nzuri Sana imefanya nimefurahia usuzi Hadi nimejua kusuka
@GentrixMutsotso6 ай бұрын
Hata mi sielewi anatoa wapi
@PriscarDaniel-eq2jp8 ай бұрын
Mtoto wngu anamiaka 13 naweza mleta huko na mimi nipontunduma vipi inawezekana
@electakasiti7200 Жыл бұрын
Jinsi ya kusuka track and saw
@SalhaAbdallah-d2f Жыл бұрын
Mimi sijaelewa anavyoo sokota chinii
@eunitashiromoris7255 Жыл бұрын
Unahitowaje
@GetrudaMakule8 ай бұрын
Nataka kulipia nipe maelekezo
@LucyMasirori Жыл бұрын
Nataka kujifunza jinsi ya kuxhka
@Asmaldaud7 ай бұрын
bei gn
@pascallucas9724 Жыл бұрын
Kapendeza jamani
@DevothaMposola Жыл бұрын
Inauzwa shingapi
@KhadijHassan9 ай бұрын
Unaweza kusokotea na uzi
@AgnesAgu-cb9tt Жыл бұрын
Dada natumaje pesa niwe naangalia online
@ReginaDeleli Жыл бұрын
😢sory madam unawezakutumia Uzi
@NeemaDotto-ss3uc Жыл бұрын
Waooo
@IvonneGodfrey10 ай бұрын
Bunda ngapi?
@FriginiaShirima11 ай бұрын
Chini anaanza
@NeemaDotto-ss3uc Жыл бұрын
sasa Hizo Unazo sokotea Unazifumuaje
@faridaothman Жыл бұрын
Nitafundisha jinsi ya kufumua
@ShilaAwiti Жыл бұрын
Unacrochet ama??
@BernadetaLinus Жыл бұрын
Io gel inaitwaje dada
@NdelilioUrassa2 ай бұрын
Mimi ninaanza kusuka Nina nywele fupi sana je ninaweza kusuka long fluffy kinky
@PendoMalombo9 ай бұрын
Swali langu hyo nywele unaipaka nin kabla usonge
@ChausikuEzekielАй бұрын
Mpak jell
@Aveline-h3j4 ай бұрын
utatumia nywele gani kusokotea
@EnikahGeorge-fj6ow Жыл бұрын
Iyo nywele ndogo unayosokotea inajitegemea au unaichambua hapohapo
@froladickson5255 Жыл бұрын
Tatizo ambalo liko kwa farid japo si mara zote hua kuna wakati huelekezi vizuri kwa mfano kama hapo hata anapoanza huelekezi vizur haya kuna nyweny hiyo nyingne ya kusokotea huajasema imetoka wapi samahan lakn nakupnd sana
@faridaothman Жыл бұрын
Sikiliza maelekezo vizuri . Kama unahisi Nina tatizo nikublock tu au Vipi?
@froladickson5255 Жыл бұрын
Jamn kwani nimekosea kusema hivo niblock tu haina shida na nikuambie tu kubali kupongezwa na kukosolewa kunamwingin anakuangalia hata kama umekosea anakuacha hakwambii ukweli kwakua unakataa ukweli ni block 🚫 tu hainisumbui mie