Karibu ujifunze kwa vitendo ndani ya mda mfupi uweze kukuza ujuzi wako na uweze kuongeza ufanisi katika kazi zako. wasiliana nasi :0719569760 au fika ofsini kwetu tupo kimara, kigamboni na mbagala-Dar es salaam.
Пікірлер: 11
@Jeannette-nv6vqКүн бұрын
Una banana nyele mini au
@anithamallya11042 жыл бұрын
Mpo vizuri
@rehematesha97992 жыл бұрын
Asant sana kwa mafunzo
@ireneatieno44332 жыл бұрын
Mafunzo yako Iko Sasa tena rahisi mtu kuelewa ingawa Mimi huchukua nywele Kwa wingi Nini huchangia
@AnjerikaTeobad6 ай бұрын
naomba unielekeze namna ya kisukia Uzi njia tatu ya nywele za mkono zikiwa bado fupi
@ainesstushabe62752 жыл бұрын
Mnapatikana wapi
@mamdogotraining68732 жыл бұрын
Tunapatikana kimara mwisho karibu na kituo cha mwendo kasi