IF YOU WISH TO WATCH THIS VIDEO IN ENGLISH KINDLY FOLLOW THIS LINK kzbin.info/www/bejne/hJfIpGCEf8Z_hbs
@suzanebeatus4825 жыл бұрын
Thanx hakika nimemis mapishi yako God Bless You!
@aminamusa97205 жыл бұрын
Aroma of Zanzibar shukrani my dear naomba upishi wa chapat laini
@aromaofzanzibar5 жыл бұрын
@@aminamusa9720 kuna recipe mbili za chapati hapa kwenye channel yangu 1 ya kawaida, na nyengine ya nazi
@neveragainneveragain18804 жыл бұрын
Asante sana wewe unafa kabisaaaa💖 Ebuniambie hio Ndimu mutu anaeza tumia njia gani?
@rayancash3383 жыл бұрын
you prolly dont give a damn but does someone know of a way to log back into an Instagram account?? I somehow lost the login password. I love any help you can offer me.
@salimnassor6874 жыл бұрын
MaashaAllah, ahsante kwa mafunzo yako unayotoa, na mm nitajaribu Sasa kutengeneza achari ya ndimu.
@ Rukia's Kitchen you are also an excellent cook. I am your follower. God bless you for making me a great cook. Much love from America 🇺🇸.
@RukiaLaltia5 жыл бұрын
Amore Mimik thank you so much I’m happy to hear that ❤️❤️🙏🏻
@maryamibrahim82165 жыл бұрын
Rukia's Kitchen same here dada
@aromaofzanzibar5 жыл бұрын
Thanks darling, an glad to be back Alhamdulilah. Thank you for the love ❤❤
@nassirmohamed84925 жыл бұрын
Insha Allah
@NimoAbdulkadir4 жыл бұрын
Aroma of Zanzibar u are the best I love you
@aromaofzanzibar4 жыл бұрын
Aww thank you for the love 😘😘
@sitihassan94395 жыл бұрын
MashaAllah mummy kwa ufundi huo nimejifunza MashaAllah
@aromaofzanzibar5 жыл бұрын
Ahmadulilah
@asyajumajuma84465 жыл бұрын
MashaaAllah ukhty .Allah abariki mikono yako kwa kutufundisha mapishi mbali mbali .Allah akulipe ujira mwema amiin
@aromaofzanzibar5 жыл бұрын
Amin ya Rabb, shukran
@mohamedhadidja73955 жыл бұрын
Asante sana aroma zanzibar, tumefurahi kwa kukuona tena
@aromaofzanzibar5 жыл бұрын
Nashkuru
@suhaylasaidy75934 жыл бұрын
Thanx didi kwa mapishi yko nitajaribu na mmi shukran💕💞
@diascookout82705 жыл бұрын
Wow Aroma U are Always the Beeeest. Napenda saana Vile unafundisha Recipe Yako Una Naelewa Vizuri Ma"Sha"ALLAH ALLAH Akuzidishie. Unapotea Saana.
@aromaofzanzibar5 жыл бұрын
Ahsante, nilikua nimeshughulika lakini nimesharudi sasa
@shufaaabdul4985 жыл бұрын
Mashaallah allah akufanyie wepes azidi kukupa moyo wa kutuelimisha na sisi tuweze kujua
@aromaofzanzibar5 жыл бұрын
Shukran, amin
@hamoudmkhamis87264 жыл бұрын
Mama.Achari ya ndimu ilikuwa nzuri sana na inatesti visuri. Outstanding. Nilifanza kama ingredients yako na ilikuwa tamu sana. Thank you. The Aroma of Zanzibar. God bless you.
@aromaofzanzibar4 жыл бұрын
Hongera kwa jitihada zako pia. Ahsante nashkuru
@ShunasKitchen5 жыл бұрын
MashaAllah, achari nzuri sana bosslady asante
@aromaofzanzibar5 жыл бұрын
Thanks boss lady
@hafsahcletty59685 жыл бұрын
Shukran Aunt. Naomba Upike Ubuyu
@aromaofzanzibar5 жыл бұрын
Sina ubuyu huku mpaka niagize kutoka Africa
@husnahamisi66375 жыл бұрын
Mashallah mashallah..mie nakupendaga tu aisee na mapishi yako we missed u welcome back looking forward kupata new recipes from u
@aromaofzanzibar5 жыл бұрын
Thank you so much for the love ❤❤❤ am glad to be back
@FatmaTillarАй бұрын
Mashaa Allah vp kuhusu mbegu hua unayoa au hivyo hivyo
@aromaofzanzibarАй бұрын
Sijatoa mbegu kama nilivyo onyesha hapo
@alikhamis40555 жыл бұрын
Mashallah nawaona rukaiya na shuna's❤❤❤
@aromaofzanzibar5 жыл бұрын
Nisharudi sasa Alhamdulilah
@alikhamis40555 жыл бұрын
OK mom tuko pamoja
@neemoskitchen38535 жыл бұрын
Welcome back mami nimekumiss kweli. Looking forward to more wonderful recipes.
@aromaofzanzibar5 жыл бұрын
Thank you for the love , sm glad to be back
@mwanaishambili2415 жыл бұрын
Mashaallah karibu bi aroma
@aromaofzanzibar5 жыл бұрын
Ahsante sana
@arumbanyasamba63125 жыл бұрын
mouth watering!eeh lazima nijaribu
@aishahussen76985 жыл бұрын
MashaAllah shukran
@hemsaid56013 жыл бұрын
Always love your recipe dada. From kenya Allah ibarik
@mrt7shirksa1965 жыл бұрын
Shukran mngu akujazi kila lakheri
@fatihiasalim87534 жыл бұрын
Mashallah Mashallah u are the best hbbty,thanks a lot n we missed u a lot
Love u soooo much da faa kwa vitu vzr vzr day to day 💞 Bt naomba pishi la triangle plsssss
@aromaofzanzibar5 жыл бұрын
Inshallah nitajitahidi
@rihlatsuleiman86835 жыл бұрын
@@aromaofzanzibar ok In Shaa Allah
@hazelbrown47125 жыл бұрын
MashaAllah looks yummyy😋😋 mate yanitoka nilikua Shabiki wa Achari ya Ndimu ila nowadays nikila tu Ndimu mimi Mshipa ndio huoooooo😭😭 Ulcers nazooo dah🤦♀️🤦♀️🤦♀️
@fatmashariff14515 жыл бұрын
Shukran jazaka llah kheyr
@aromaofzanzibar5 жыл бұрын
Pole sana
@latifaally43325 жыл бұрын
Assallam aleikum tunashukur sana kwa kutufundisha mapishi yako mashallah ila naomba utuelekeze mapishi ya jicho la ngamia plz🙏
@aromaofzanzibar5 жыл бұрын
Inshallah nikipata fursa
@shamimsajadifazal50974 жыл бұрын
nice 😋😋
@khadijanjama90165 жыл бұрын
Maa shaa allah
@rahmaiya18095 жыл бұрын
Welcome back dada we had missed your recipes
@aromaofzanzibar5 жыл бұрын
Glad to be back, thanks for the love
@alzun38103 жыл бұрын
Asalam aleikum warahmatullah wabarakatuhu waeza chemsha pia ama huwezi
@aromaofzanzibar3 жыл бұрын
Aleikum musalaam sijawahi kuchemsha
@liliannjoki27325 жыл бұрын
I was wondering ulienda wapi? anyway thank you so much n welcome back
@aromaofzanzibar5 жыл бұрын
Nipo Oman
@gulyh_5 жыл бұрын
Asante kwa recipe naomba kuuliza ka unaishi pahali pa baridi unafanyaje?
@aromaofzanzibar5 жыл бұрын
Jua nimuhimu, mie nilishindwa kufanya Marekani mara jua mara mvua ilifanya mold
@gulyh_5 жыл бұрын
JazakaAllah ntaila tu nikirudi East Africa😣
@sarahabeid24324 жыл бұрын
shukran, lkn je naweza kutumia siki badala ya maji ya ndimu?
@aromaofzanzibar4 жыл бұрын
Ladha itakua tofauti
@safianassir38435 жыл бұрын
Tulikumiss karibu tena😍
@MahaLakshmi-ii4or2 жыл бұрын
Thanku dadima which language is this.
@aromaofzanzibar2 жыл бұрын
You are welcome, this is Kiswahili but you can find the English version on this link kzbin.info/www/bejne/hJfIpGCEf8Z_hbs
@ummafye29365 жыл бұрын
Tabaraka Allah
@boranshimirimana42884 жыл бұрын
Asalam aleykum ManshaAllah Sasa nahizo ndim zinaliwa?
@aromaofzanzibar4 жыл бұрын
Aleikum Musalaam, ndio ndimu zinaliwa
@shemsamohamedmohemedshemsa69415 жыл бұрын
Mashaallah mashaallah 👌😘🌹
@ukhtysakinaa76645 жыл бұрын
Masha Allah shukran dear ila tumekumiss sana Yani nameza mate hapa nlipo
@aromaofzanzibar5 жыл бұрын
Alhamdulilah nimesharudi sasa
@ukhtysakinaa76645 жыл бұрын
@@aromaofzanzibar karibu dear utupe vitu
@patriciakidaha82965 жыл бұрын
Samahani dada, kama nimekosa ndimu ya njano naweza kutumia ndimu ya green?
@aromaofzanzibar5 жыл бұрын
Ndimu ya green sio nzuri kwa achari kama hii
@patriciakidaha82965 жыл бұрын
Asante dada
@husnednour23493 жыл бұрын
So delicious
@rizikimbwana4820 Жыл бұрын
Waweza kutengeza na ndimu mbichi
@aromaofzanzibar Жыл бұрын
sidhani maisha yote achari hii ni nidu manjano ,jaribu uone vipi itakua
@husnaswai9892 жыл бұрын
Ni lazma maji ya ndim au hata yalimao yanafaa na vimbegu vyatolewa mamy?
@aromaofzanzibar2 жыл бұрын
Sijawahi kurumia maji ya limao sioni ubaya. Sijatoa mbegu
@ruthjmkombozi59905 жыл бұрын
Jamn nili miss videos zako za mapishi nimefurahi kujifunza achari ya ndimu
@aromaofzanzibar5 жыл бұрын
Ahsante, nashkuru
@djamalinumber17635 жыл бұрын
Maashaallah 🙌🙏
@mohamedhadidja73955 жыл бұрын
Sikuzote huwa tuna agiza lakini kwasasa tuta jaribu inshalha