Nimeonyesha Jinsi Icecream Za Kutumia Machine Zinavyotengenezwa Kwa Njia Rahisi Sana,Muhimu Ni Kuwa Na Machine Yakuweza Kugandishia Na Kuzifanya Ziwe Laini/Soft. Pia Zipo Njia Za Bila Kutumia Machine Ya Icecream.
Пікірлер: 1 300
@ommymbugi2493 жыл бұрын
Mungu akubariki dada nimekupenda bure,sio mchoyo wa mafuzo ubarikiwe
@nabodojoka46704 жыл бұрын
Waow nzur mashallah me naomba vipimo yaan vp kama nikitaka kutengeneza Lita 2 au 5
@thureyamajala78183 жыл бұрын
Hi shukran kwa mafunzo ya icecream ,ila nauliza hiyo machine ya icecream nitainunua wapi??
@queeneva37094 жыл бұрын
Nimeipenda hii ahsante sana kwa kushare nasi.
@ashaharounhalfan46364 жыл бұрын
Hakika tumejifunza vyema, asante kwa kutupa mwanga habibty
@laughingclub96604 жыл бұрын
Wow... I love this
@supamaridadi39004 жыл бұрын
Mashaallah ni nzuri sana na naipenda sana
@samiarai55304 жыл бұрын
Mashallah Mashallah TabarakAlkah Nice 👍👍😍😍
@reginamassawe67014 жыл бұрын
Hongera sana dada,,, Pia asanteee sana kutufundisha jaman asanteee sana
@ashakimario8257 Жыл бұрын
Nahitaji mashine hiyo ya icecream
@fatmarashim63534 жыл бұрын
Mashaallah asante dada mungu akubariki 😘🙏
@magnetvitamarwa1798 Жыл бұрын
Machine hiyo inapatikana wapi na ni sh ngapi na hicho kirainishi kinauzwa wapi nijibu tafadhali
@faizaomary20364 жыл бұрын
Asante kwa kutupa ujuzi mungu akubariki
@Teielex4 жыл бұрын
Aaaaah hiyo ice-cream yakaa vizuri🍦🍦😋😋😋😋
@firstname6004 жыл бұрын
M/mungu aibariki kazi ya mkono wako, Amiin, hivi ndivyo barka inavyotafutwa, MashaAllah, nimekupenda huna uchoyo wa kutoa ulicho jaaliwa.
@mziwandabakers82974 жыл бұрын
Amiin
@dashuusaalim19434 жыл бұрын
Mi namuombea kwa mungu atajirike kupitia kazz yke yaaan hana choyo hata kidogo uyu dada mungu akubaarik yaaa ukhtylkareeemah
@mziwandabakers82974 жыл бұрын
@@dashuusaalim1943 Hizi baraka ni nyingi jamani sina cha kuwalipa napata furaha mnooo🥰🥰🥰
@dashuusaalim19434 жыл бұрын
@@mziwandabakers8297 wallaahy nkiswal maghreeb nitakuombea dua jua co woote wanaoweza kufanya jambo ulilofny ww. Na inxhallaah mungu atakuvisha makoja elfu ya nnuur yaumulqiyaamah iyo ndo swadaqqa yko mummy so tuspokuombea dua tutakuwa ni watovu wa shukraan...
@mziwandabakers82974 жыл бұрын
@@dashuusaalim1943 Amiin Yaa Rabb, Allah akulipe mara dufu..tutaswali wote in Iman 🤲
@nasramohammed91144 жыл бұрын
Njia rahisi nimeipenda sana asante kwa funzo lako...swali nilazima uwe na machine ndo iwe Bora Ice cream
@mziwandabakers82974 жыл бұрын
Ndio machine ni muhimu ndo unakuwa 😋
@moonpatienceongara56074 жыл бұрын
Ahsante kwa kushare ujuzi, ubarikiwe
@aishajimia85583 жыл бұрын
Shukran kwa kutupatia ujuzi kwa njia ya kueleweka ubarikiwe
@saumukaisi70034 жыл бұрын
Asanteee Sana mamy❤️🙏
@TikTokbestvideos753 жыл бұрын
Naomba number zako za mawasiliano
@mamybotha17614 жыл бұрын
We dada wewe Mungu akubariki sana kwa kweli unatusaidia wanawake wengi
@mziwandabakers82974 жыл бұрын
🙏
@magdalenamzombe18004 жыл бұрын
Naomba no yako dada
@geofreyngaga53304 жыл бұрын
Very simple and clear. Love it!!!!!
@ShamSaidy-nm5qg Жыл бұрын
Ahsanteeee kipenz changu kwa elimu nimependa
@annaurio30834 жыл бұрын
Asante sana mamy nimefurahishwa sana na utendaji wako Mungu akubariki kwa kweli.nataka kuwa mwanfunzi wako nikupate je whatsap?
@monicaauno52924 жыл бұрын
So amazing l keep watching your videos over and over with the little kiswahili l know but your teachings are understandable God bless you. Is the milk powder the same as skimmed milk . Can l use milk
@lilianmghazo7151 Жыл бұрын
Can I use just fresh milk
@zumimalava73794 жыл бұрын
free business idea wow again wow thank you so much dear ubarikiwe sana
@mziwandabakers82974 жыл бұрын
🙏🙏
@eunicejune58493 жыл бұрын
Woow ni nzuri sana labda nikuulize kitu, hiyo mashini ya ice cream yauzwa pesa ngapi
@ikamalle4 жыл бұрын
Dada nibakishie, nakuja kuchukua.... 😋😋😋😋😋😋
@mziwandabakers82974 жыл бұрын
I miss you darling, kids wamekuwekea kuku
@abubakaryalmas76733 жыл бұрын
Dada naomba unisaidie namba zako au nitafute 0656996833
@yasintaamati87613 жыл бұрын
Ukisha weka kwenye mashine nilazima uitoe yote au ?
@pataqueen2793 жыл бұрын
@@abubakaryalmas7673 11t
@arafataliomar74323 жыл бұрын
Tamu kweli
@lucie254224 жыл бұрын
Here to watch
@lilianemmanuel38903 жыл бұрын
Ongera Sana dada naitaji kujua make naipenda hii biashara please contact yako mumii nikucheki mimi Lillian Niko bukoba
@amirimagongo4203 жыл бұрын
Tailoss ND nn
@kemalswaleh95274 жыл бұрын
Cecilia from kenya waoooh safi sana pia mimi nitajaribu kutengeneza
@khalfanomar76654 жыл бұрын
M/mungu akubarik wengine ni wahoo kufahamisha wenzio nawakionyesha hawaonyishi na kufahamisha vzr umeonyesha kwa ufasaha kz ni kwe2 cc kufanya kz Allah akulipe kwa elimu yk lioitoa Aaamiin
@fatmajumapili89184 жыл бұрын
May Allah reward you abundantly.
@mziwandabakers82974 жыл бұрын
Amiin Yaa Rabb
@ndereesther5401 Жыл бұрын
@@mziwandabakers8297 tylose ni sawa na cmc ama ni vitu mbili tofauti
@neemakaveva910 Жыл бұрын
Naipataje mashine hiyo plz
@neveragainneveragain18804 жыл бұрын
Hongera sana dadaaaaaaa💖💖
@mziwandabakers82974 жыл бұрын
🙏
@paskalinanangay51672 жыл бұрын
@@mziwandabakers8297 p
@rihannarihanna65894 жыл бұрын
Wow Wow asante sana my dear kwa hii video
@sarahwanjiru26394 жыл бұрын
kongole dada...kazi safi. Tafadhali naomba vipimo vya kutengenezea watu kama watano hivi....shukran
@mwamvitamfaume19342 жыл бұрын
kazi nzuri
@adenikedaniyan65414 жыл бұрын
Hi Ma'am, please did u usr GMS powder in this process of ice cream making. Trying to make it your way. Pls respond
@rukiaabdul10803 жыл бұрын
She used tylose powder
@adenikedaniyan65413 жыл бұрын
@@rukiaabdul1080 thank you.
@sophiamwakila33004 жыл бұрын
Wow. Hongera sana. Sijui hata nimeingiaje hapa? Yaani ni kitu ambacho napenda kukifanya siku nyingi lakini sikujua naanzia wapi. Nitakutafuta soon. God bless you
@mziwandabakers82974 жыл бұрын
Amiin
@kabambabigiraneza3724 жыл бұрын
Asante sana kwa elimu God bless u
@marthakasiki77944 жыл бұрын
Kama sina iyo machine nafanyaje?? Nisaidie kwa hili..
@marthakasiki77944 жыл бұрын
@@mziwandabakers8297 naweza kutengeneza bila iyo machine??nataka kujifunza ila sina machine iyo yakutolea ice cream.. nisaidie apa👏👏
@mziwandabakers82974 жыл бұрын
@@marthakasiki7794 hii mpaka machine
@joycembago59344 жыл бұрын
Mbali na kufundisha kutengeneza Ice cream hongera kwa usafi my dear nimependa
@abdullmalik78474 жыл бұрын
Shukran kwa darsa nzuri
@missijju12283 жыл бұрын
YUMMY 😋😋😋
@lkaboro78824 жыл бұрын
I love this
@silviasalvatory63744 жыл бұрын
Hiyo mashine Ni Bei gani
@aminamohamed23353 жыл бұрын
@@silviasalvatory6374 l L
@muniraramadhani90934 жыл бұрын
Asante nimejifunza kitu kizuri kwa biashara my
@athumanmlamba43727 ай бұрын
Mashaallah wow so good ❤
@theodorajoseph89254 жыл бұрын
Machine IPI ni nzuri na gharama yake ikoje
@mpembongalomba Жыл бұрын
Machine inauzwa wapi na bei gani
@kulthumsalim70704 жыл бұрын
Simple ma shaa Allah... Leo nipo kwa channel yako tu... Nimeona Leo jamani
@mziwandabakers82974 жыл бұрын
Ahsante karibu
@mariamelias83374 жыл бұрын
@@mziwandabakers8297 mashine inagharumu kias gani
@skaynaomary57084 жыл бұрын
Mumy mzm
@skaynaomary57084 жыл бұрын
Pls nitafute Whatsapp nakuomba nataka kujua Bei ya mashine habbty no yangu 0629266837
@noeladayos52702 жыл бұрын
Jaman mashine bei gani iyo
@jeftajacob9558 Жыл бұрын
Mungu akubariki sana dada, naomba kuuliza kama nahitaji mafunzo zaidi nitapata msaada.
Napenda sana mapishi yako nimeshajaribu mengi na matokeo napata mazuri sana asante .
@zawadimdoe Жыл бұрын
Mashine ni bei gani
@khadijashemkande62542 жыл бұрын
Asante dear 🙏🙏je kwa kuanzia kujifunza vipimo vya kujaribu ni vip
@abeldokia15904 жыл бұрын
Hiyo machine inauzwa sh ngp? Inaitwaje?
@yusufismail31164 жыл бұрын
Abel Dokia milioni mbili na nusu - hadi milioni tatu.
@lizjane68374 жыл бұрын
Hiyo ni bei ya Tanzania?
@wamboedna3 жыл бұрын
Yaitwaje in English
@mossyhamza77504 жыл бұрын
Maashaallah
@irenecareen66804 жыл бұрын
Hicho kilainishi kina patikana wapi
@sabraomary63514 жыл бұрын
Smahan naomb kuulz kwn n lazm skal kilo tano
@williamthomas90334 жыл бұрын
Naomba kuuliza hii mashine bei gan na ninaipataje?
@sinahilazahoro57754 жыл бұрын
Kama sina hiyo mashine nafanya je
@mayasaomar59254 жыл бұрын
Mbona mm nimefanya umekuja ngumu nimekosea wapi bimwalimu
@itaso-he5se8 ай бұрын
Mashallah mashallah mashallah maelezo mazuri na ya kueleweka
@mwanatz59802 жыл бұрын
Asante sana mungu akubariki amen 🙏.
@annetcatherine46714 жыл бұрын
Thanks dear for the lesson, how can I get the machine, and how much is it? Which part of Tanzania are you residing, put your contacts please. I would like to meet you face to face for serious business discussion.
@esthervenance41794 жыл бұрын
Once she replies to your sms please assist me with the number please
@mariamsalum39024 жыл бұрын
Me either
@Leahmjohn3 жыл бұрын
Unapatikana wap dada
@Leahmjohn3 жыл бұрын
Unapatikana wap dada
@emilenimpagaritse90624 жыл бұрын
Nice.!naomba namba ya WhatsApp kwa mawasiliano zaidi
@zainaburamadhani73504 жыл бұрын
Bei gn hiyo mashine
@amounanyale92204 жыл бұрын
Woow.. Asante kwa ujuzi
@marybeziam52634 жыл бұрын
Unaeza buy hand mixture kitchen house
@mariamhassan88492 жыл бұрын
Hongera Sana nikiitaji iyo mashine naipataje
@jojocherry53104 жыл бұрын
Kama sina hizo machine nafanyaje?
@mariammsiilwa50234 жыл бұрын
Naomb no yk pls Dada uwe mwalim Wang umenipa funzo LA biashara cnto lala njaa
@omanhaima65003 жыл бұрын
Thanks for the video for sure i wanted this
@mziwandabakers82973 жыл бұрын
You are welcome
@pelagiaweiss2206 Жыл бұрын
Safi sana dada.Naomba kuja kujifunza nitakulipa
@livingwithliz68274 жыл бұрын
Please where do I get this machine? Niko Nairobi
@mziwandabakers82973 жыл бұрын
Nairobi I don't have their connections but search Instagram hopely you will find them
@paulinadavid42794 жыл бұрын
Mashine Kama hyo inapatikana wap
@marialushinge96084 жыл бұрын
Kweli jmn alafu ina bei gni kama hela niweke kibubu
@maryammaram26124 жыл бұрын
@@marialushinge9608 😀😀😀🍦
@hubertgerishon24014 жыл бұрын
Unijulishe bei ya mashine kama unataka kutusaidia
@maryammaram26124 жыл бұрын
@@hubertgerishon2401 nipatie namba zako nikutext
@maryammaram26124 жыл бұрын
@@hubertgerishon2401kisha usiseme kama unataka kutusaidia.. Nashindwaje kwa mfano mambo madogo tu
@roselynchanika8189 Жыл бұрын
Very yummy Teach me in English Am watching from MALAWI 🇲🇼
@lozeawadh563 жыл бұрын
Nimependa sana mungu akubariki
@wahdaali16804 жыл бұрын
Hio mashine inauzwaje
@leechunmon72934 жыл бұрын
Inategemea ila ni mil 2.5 kuna na zaidi ya hap unaezabahatisha mil 2 ivo
@wahdaali16804 жыл бұрын
Sawa shukran
@ummuabu-bakar5657 Жыл бұрын
Shukran sana dada kwa kutufunza
@benadetamasanja27203 жыл бұрын
Nimependaaaaaaaaa,mashaalaaah🙏
@hanifabilali27454 жыл бұрын
Nimependa sana maashaallah ila naomba no yako kwa maelekezo zaidi
@aishaaasha16753 жыл бұрын
Asante kwa darasa nimeipenda
@doctoromary7800 Жыл бұрын
Masha Allah , nashukur sna dd angu
@judithtu84734 жыл бұрын
Mziwanda kazi yako ninzuri nimependa dear asante
@Oshanamiisicooks3 жыл бұрын
Wow,,,,,shukran habiiti
@mziwandabakers82973 жыл бұрын
🥰
@rosemarypeter92322 жыл бұрын
Ahsanteee my najifunza sana kupitia wewe
@mziwandabakers82972 жыл бұрын
🙏🙏
@nataliemilinga31994 жыл бұрын
Thanks Mungu akubariki je bila kuwa na hizo machine nafanye
@mziwandabakers82974 жыл бұрын
Machine muhimu hapo ndugu
@rehemachipwaza85094 жыл бұрын
Tamu sana hizo hongera kwa maujuz
@sabrasalum56224 жыл бұрын
Asante nimepend na nijifunza kitu
@sarahwilson5864 жыл бұрын
Kazi nzuri Dada.. Congrats
@mziwandabakers82974 жыл бұрын
My darling 🥰🥰
@AniresSamson-ch2gj9 ай бұрын
Hongera kwa ice cream ni nzuri sanaaaaa
@pulcheriamayombo5780Ай бұрын
Asante ma shine inauzwaje
@mariamuhussein86464 жыл бұрын
Hongera mwali wangu..keep it up
@mziwandabakers82974 жыл бұрын
Somo angu mie🥰🥰 Shukran kipenz
@mwanaishahussein26353 жыл бұрын
Shukran dadaangu,kiukweli nilidhani ni mambo magumu lkn👌👌👌🇰🇪
@mziwandabakers82973 жыл бұрын
👌👌👌👌
@rozemichael5129 Жыл бұрын
Asante kwa mafunzo mashine inapatikana wap
@rozemichael5129 Жыл бұрын
Nisaidie namba yako
@herieththomas840 Жыл бұрын
Manshaallah,mimi naomba kuuliza hiyo mashine inauzwa bei gani
@mamalatifa54104 жыл бұрын
Safi sana🥰
@fatimahhassan59043 жыл бұрын
Masha Allah ...ALLAH AZIDI KUKUHIFADHI UTUFUNZE ZAIDI UKHTHY WETU.....NAITAJI HUYO MACHINE DADA NAIPATA WAPI...KUULIZA C UJINGA
@mziwandabakers82973 жыл бұрын
Hakuna neno habbipty, Jazakal Allahu kheri mashine ni 2.5milioni
@fatimahhassan59043 жыл бұрын
Ok ni kama $ ngapi hbbty ...I'm from kenya
@fatmamohammed99335 ай бұрын
Mashallah 😊 love it❤❤🎉
@ahmedshahar7284 жыл бұрын
Congrats sister....kwa hakika unajitahidi
@mziwandabakers82974 жыл бұрын
Shukran sana 🙏
@raydomary26583 жыл бұрын
Na kama hauko na hiyo machine unaweza eka kwa fridge na ikaganda vizurii.. I like the recipe😋😋😍😍
@agathaswai11394 жыл бұрын
Uko vzr mdg wangu nakupenda sana
@mziwandabakers82974 жыл бұрын
Dada🥰🥰🥰 ahsante sana
@mohamedburhan22933 жыл бұрын
Napenda kusema ahsante sana. Naona kama nimefka sehem sahh
@mziwandabakers82973 жыл бұрын
Amiin karibu sana
@dorismakwayamoses2 жыл бұрын
Una sauti nzuri jamani... Halafu unaongea vizuri🥰🥰🥰
@mziwandabakers82972 жыл бұрын
😉❤
@theflamingt26414 жыл бұрын
Asante sana dada yangu
@angelraymond82 жыл бұрын
Hiyo mashine nimeipenda je naipataje,,,na ni bei gan
@estarkapinga61263 жыл бұрын
Naomba no zako Mpenz nataka nionane na wew
@nyamizimaganga-le4nr Жыл бұрын
Mwenyezi Mungu Akuzidishie insha allah🙏uwe tajiri sana!!una moyo mzuri ,ahsante🙏