Vizuri! gharama zake zikoje? Kuhamisha pesa kutoka MPESA Kwenda VISA Card makato yake yakoje?
@TeddyTz. Жыл бұрын
Je , iyo visa card ya m.pesa inaweza ingia pesa kiasi gani? Na unapo weka pesa je inawezekana kuitoa kwenye card na kuirudisha kwenye account ya m.pesa .