Jinsi ya kutengeneza manda za kufungia spring rolls - Easy homemade spring rolls pastry/sheets

  Рет қаралды 56,854

Shuna's Kitchen

Shuna's Kitchen

Күн бұрын

Пікірлер: 42
@talibashkalihasham5987
@talibashkalihasham5987 7 ай бұрын
Safi saana ume elekeza vizuri saana asante.
@umishalo3320
@umishalo3320 4 жыл бұрын
Maa shaa Allah ..naomba vipimo va unaga na namna ya kukanda kwa hii video haijaonyesha
@suleimanhamed5880
@suleimanhamed5880 6 жыл бұрын
Shukran kwa mapishi zaid mashallha mungu akuzidishiye n.a. akupenguvu n.a. afya uzidikutufundisha mapishi zaid
@idaaman7489
@idaaman7489 3 жыл бұрын
nimewah kumuona bibi yangu marehemu akifanya caki za sambusa ivi ,masha allah
@raysalalmandhary1713
@raysalalmandhary1713 6 жыл бұрын
MashaAllah. Shukran habibty , Allah akufanyie wepesi kwa kila lililojema katika maisha yako.
@ShunasKitchen
@ShunasKitchen 6 жыл бұрын
Ameen yarab kwa sote, asante habibty
@salmahassan6809
@salmahassan6809 6 жыл бұрын
amazing mashaa allah!
@faizasaid8262
@faizasaid8262 6 жыл бұрын
Mashallah
@munirauweso2428
@munirauweso2428 5 жыл бұрын
Woow! Amaizing
@rahmaa.naim.9391
@rahmaa.naim.9391 6 жыл бұрын
Woooow maashaAllah
@mishimohamedndeguwa6665
@mishimohamedndeguwa6665 Жыл бұрын
Mashaalla shukurani mpendwa bt kama mimi nataka kufanya mamma ya kuroll nimefahamu bt na taka ya kuku sw je viungo navhanganya vipi hiyo ndio nataka kufahamu na mimi please nimependa shukurani jazaq llahu kheri
@a.856
@a.856 6 жыл бұрын
Jazakallah khayran sis
@faridasaid8724
@faridasaid8724 6 жыл бұрын
asante Dada nimejifunza mapishi kupitia kwako,endelea kutupa vitu,
@ShunasKitchen
@ShunasKitchen 6 жыл бұрын
😊😊😊❤
@fatmaalhamadani9197
@fatmaalhamadani9197 6 жыл бұрын
Mashalla so yummy
@zumratkajonje6365
@zumratkajonje6365 6 жыл бұрын
waooo
@wardawarda7207
@wardawarda7207 6 жыл бұрын
Mashaallah kwa hiyo lzm niwe na unga wa mchele wa kusukumia au....
@ShunasKitchen
@ShunasKitchen 6 жыл бұрын
Ndio dear kuzifanya ziwe more crunchy
@wardawarda7207
@wardawarda7207 6 жыл бұрын
Shuna's Kitchen ooh asante
@ashunmohd9182
@ashunmohd9182 6 жыл бұрын
Shuna's Masha Allah napenda jins unavyofanya manda zako
@aminajuma2778
@aminajuma2778 6 жыл бұрын
shukran hbbty
@mwanaharusisalim9019
@mwanaharusisalim9019 6 жыл бұрын
mashaallah
@reshashabbir3730
@reshashabbir3730 6 жыл бұрын
MashaAllah habibty... Shukran for all your efforts sweetheart... 😘
@ShunasKitchen
@ShunasKitchen 6 жыл бұрын
❤❤❤
@nasriyamohamed1432
@nasriyamohamed1432 4 жыл бұрын
Je waweza kutumia ung wa ngano unaposukumia badala ya mchele
@zalkhaley9452
@zalkhaley9452 6 жыл бұрын
Shukran
@mariamlekeylekei2348
@mariamlekeylekei2348 5 жыл бұрын
Na huku njombe kuupata n ngumuu sanaa
@sophiawilliam4946
@sophiawilliam4946 6 жыл бұрын
❤❤❤
@suleimanhamed5880
@suleimanhamed5880 6 жыл бұрын
Please naomba mapishi ya sambusa za vijiteb
@mariamlekeylekei2348
@mariamlekeylekei2348 5 жыл бұрын
Jamani shuna's wengine hatuna unga wa mchelee jamnii
@ShunasKitchen
@ShunasKitchen 5 жыл бұрын
Unaweza kutengeneza mwenyewe nyumbani, video hii hapa kzbin.info/www/bejne/hZm6k2aNgbCte6M
@khalefhamad7243
@khalefhamad7243 2 жыл бұрын
Samahani kikombe kimoja cha unga ni sawa na gram ngapi?
@jayzeem14
@jayzeem14 4 жыл бұрын
Jinsi ya kutengeneza kau kau zinazotiwa kwenye mix?
@harerimananajati4589
@harerimananajati4589 4 жыл бұрын
Mbona nimejaribu ila haziwi crush nimekoseya wapi dear?
@thureyaabubakar294
@thureyaabubakar294 6 жыл бұрын
Kama hauna unga wa mchele waeza tumia unga wa ngano
@ShunasKitchen
@ShunasKitchen 6 жыл бұрын
Unga wa mchele unafanya ziwe more crunchy na zinataste nzuri zaidi. ..sijawah kufanyia Unga wa ngano ila unaweza kujaribu
@thureyaabubakar294
@thureyaabubakar294 6 жыл бұрын
Shukran
@thaniamohd2974
@thaniamohd2974 5 жыл бұрын
Kama huna unga wa mchele unaweza tumia sembe mimi nishajaribu
@wahidawakeshowakesho
@wahidawakeshowakesho Жыл бұрын
​@@thaniamohd2974 ukitumia sembe inatoka vizuri na crunchy
@husnanyau5164
@husnanyau5164 4 жыл бұрын
mashallah
@diyaosman8992
@diyaosman8992 6 жыл бұрын
Shukran
@marthanyokabingugi830
@marthanyokabingugi830 4 жыл бұрын
Shukran
Jinsi Ya Kupika Chapati Laini Sana
10:24
Farhat Yummy
Рет қаралды 426 М.
Beat Ronaldo, Win $1,000,000
22:45
MrBeast
Рет қаралды 143 МЛН
Players push long pins through a cardboard box attempting to pop the balloon!
00:31
Turn Off the Vacum And Sit Back and Laugh 🤣
00:34
SKITSFUL
Рет қаралды 11 МЛН
Easiest SAMOSA & Springroll Wraps at home/ Step by step /2 Ways
6:12
Tspices Kitchen
Рет қаралды 950 М.