*Kama umependa hii recipe basi like video na share. Asante!*
@m.mmarckus62983 жыл бұрын
Nzuri sana,napenda kuzipika lkn mara nyingi zinanishinda
@hytharmahmed65889 күн бұрын
Maa Shaa Allah, Nakupenda sana, unaelekeza vizuri mno na huna makelele mengi..Allah akuhifadh In Shaa Allah
@Mapishirahisi8 күн бұрын
Ameen. Thank you so much 💖💖
@tinahphinias61123 жыл бұрын
Kama jina lako lilivyo mapirishi rahisi nikiangaliaga recipe zako nafanikiwa sana Mungu akupe maisha marefu ili tuendelee kupata ujuzi kutoka kwako
@Mapishirahisi3 жыл бұрын
Ameen asante sana dear💖
@lovenessmasai22043 жыл бұрын
Woooow unajuaga kunifirahisha Napenda sana mafunzo yako Mungu akupe maisha mareefu dear
@Mapishirahisi3 жыл бұрын
Ameen asante💖
@mishram22933 жыл бұрын
Mashallh habibty nimependa nitajarib inshallah
@Mapishirahisi3 жыл бұрын
In sha Allah waiting for your feedback 😊
@amrahschannel55993 жыл бұрын
mashaAllah
@hadijaissa7402 жыл бұрын
Mashallah unatufunza❤️💋🥰
@mwanakhamissuleiman47463 жыл бұрын
Nzur San hongera
@shaheenshiraz29053 жыл бұрын
MashAllah yummy 👌
@dinahathman4312 Жыл бұрын
Hizi manda swezi tengeneza mwenyew
@rehemamathias94993 жыл бұрын
Mashallah its delicious habbty
@mumblessed0013 жыл бұрын
Asante Dadaa napenda mapishi yako utaratibu usafi number moja nitajaribu it's look yammy 🤩🤩
@Mapishirahisi3 жыл бұрын
Thank you❤
@zaharaiabbas238 Жыл бұрын
Assalamu alaikum sis please tufundishe jinsi ya kupika mutabaq
@afnaana55403 жыл бұрын
Shukran I'm trying it today for my iftar 😊
@Mapishirahisi3 жыл бұрын
Hope they turned out well
@sheikhasalama293 жыл бұрын
@mapishi rahisi thanks for the recipe..please show us how to make fatayer
@Mapishirahisi3 жыл бұрын
In sha Allah I will😊❤❤
@fatminaly80863 жыл бұрын
MashaAllah nice napenda hyo pan yako umenunua wapi
@mhazajuma8177 Жыл бұрын
si nikajalibu duh zimependwa sana maana zimekolea sana
@OmanOman-hr6cb3 жыл бұрын
Jana nimefanya aisee zimetoka ngumu yaani hazikatiki kirahisi
@aminatundondege93843 жыл бұрын
Yummy!
@nimsmsa66353 жыл бұрын
A.a shukran sana dear nimependa mix hii ya spring rolls. Nataka kuuliza huwezi kutia ndimu? Hapo kwenye video naona umesema 3 weeks zinakaa kwenye freezer but mimi huweka zangu for few months it's ok. Allah akubarik Amiin
@sabaharomar46903 жыл бұрын
Thank u
@farida.salehhaji15173 жыл бұрын
Masha'Allah looks tasty. 😘Please Manda za patikana wapi?
@nimsmsa66353 жыл бұрын
Amesema supermarket because amemjibu mtu hapo kwenye comment
@Mapishirahisi3 жыл бұрын
Nimenunua supermarket. Kama uko kenya you can get from chandarana, carrefour. I think naivas pia iko
@farida.salehhaji15173 жыл бұрын
Shukran habibty. Allahubarik!!
@lizjane68373 жыл бұрын
Thank you...have to try this is very crunchy n tasty.
@Mapishirahisi3 жыл бұрын
❤
@sheikhasalama293 жыл бұрын
where did you get the bags for storing
@zalfasaid71863 жыл бұрын
My dear hii manda ya tayari napata wapi cz sijui kutengeza pls tell me and jina yake inatwaje
@barkesalim43343 жыл бұрын
Kijiko chako kizuri.umenunua wapi
@sheikhasalama293 жыл бұрын
@mapishi rahisi where did you buy the sheets for spring rolls
@Mapishirahisi3 жыл бұрын
Ninenunua supermarket. Kama uko kenya you can get from chandarana, carrefour. I think naivas pia iko
@zuwenasultan8377 Жыл бұрын
Unachukua wanafunz
@marshakimani30643 жыл бұрын
Where can one get the spring roll sheets?
@Mapishirahisi3 жыл бұрын
From supermarket
@fatmabashamakh5543 жыл бұрын
Which supermarket
@Mapishirahisi3 жыл бұрын
Nimenunua supermarket. Kama uko kenya you can get from chandarana, carrefour. I think naivas pia iko
@OmanOman-hr6cb3 жыл бұрын
Sijaona mahali umeweka kitunguu saum na tangawizi zilizosagwa pamoja
@Mapishirahisi3 жыл бұрын
Niliweks baada ya kuweka kitungu maji but sikurecord kwa bahati mbaya
@shufaaali99123 жыл бұрын
Hizi manda zauzwa wapi
@hopealoyce36783 жыл бұрын
Kwa indian shops and tescos
@Mapishirahisi3 жыл бұрын
Ninenunua supermarket. Kama uko kenya you can get from chandarana, carrefour. I think naivas pia iko