Dahh Asante sana kwa kweli. Mana nilikuwa napata tabu kweli Kuna vitu vyangu nataka nivitie kwenye laptop nashindwa mana simu yangu niki connect na USB haisomi chochote.
@mohamedhafidh2554 ай бұрын
Ahsante na karibu sana. Natumai njia hii itaweza kuwa msaada kwako.
@BakarMohamed-w8gАй бұрын
PC yangu haikubali cjui nifanye nini,inajiandika the folder you entered does not appear to be valid.please choose another
@mohamedhafidh255Ай бұрын
Jaribu kuwa makini wakati unapo unganisha fuata hatua kwa hatua. Au jaribu njia nyegine ambazo nimefahamisha hapa katika channel yangu.
@BakarMohamed-w8gАй бұрын
Nimefata mara mpka5 kwa usahihi haikubali@@mohamedhafidh255
@Abla_habiba024 ай бұрын
Lakini nikibonyeza start inanambia wifi not connected na nimewasha data. Nini tatizo?
@mohamedhafidh2554 ай бұрын
Sawa washa hotspot katika simu yako kisha kwenye computer yako fungua wifi na uunganishe hiyo wifi inayosoma ya simu yako na baada ya hapo rudi katika app na click 👉 start . Na utaendelea na hatua zinazofata katika hii video. 🗣Kumbuka Haikuhitaji uwe na bando hapana unaweza kuunganisha bila ya kuwa na internet ama kuwasha data bali ni hotspot tu. Ahsante!
@BakarMohamed-w8gАй бұрын
Mimi sijaelewa na imekuja kama ya huyu aliekuambia hivi@@mohamedhafidh255
@BakarMohamed-w8gАй бұрын
Tayar nimeelewa
@KasimuHasani8 ай бұрын
Jazaakal LLAHU khayra, Mwalimu nataka kujua namna ya kuhamisha namba za simu kutoka account ya Google kwemda kwemye Computer au kutoka kwemye complete kwenda kwemye Google account.
@mohamedhafidh2558 ай бұрын
Sawa nitaandaa video kadhaa juu ya hilo, Usiwe mbali na KZbin Channel yangu. Ahsante!
@KasimuHasani8 ай бұрын
@@mohamedhafidh255 Sawa Teacher tupo pamoja
@KasimuHasani8 ай бұрын
Mwenyezi Mungu akufanyie wepesi
@baracksg9578 ай бұрын
Somo zuri ila na maswali kaka. Vip kwa watumiaji wa iPhone inawezekana pia? na ukifungua na ukataka kuingia lazima ufate izo hatua za kuingiza code, password na kuendelea?
@mohamedhafidh2558 ай бұрын
@@baracksg957 Inawezekana ndio ila application inayotumika kwa Iphone ni tofauti kidogo kuweza kushare files. Usiwe mbali na KZbin Channel yangu nitakuja kufahamisha katika simu za iphone.