JINSI YA KUTUMIA MASHINE MPYA YA KUFULIA NGUO_2023_NEW_ (SMART WASHING_MACHINE) TOLEO JIPYA ..

  Рет қаралды 9,457

Odessa Electrical Technology

Odessa Electrical Technology

Күн бұрын

💡+++🔌+++💡
(SUBSCRIBE)
KARIBU SANA TUJI FUNZE UMEME KATIKA VIPINDI VYETU VINAVYO ENDELEA KUPITIA CHANNEL YENU PENDWA YA KZbin👉( ODESSA ELECTRICAL_INSTALLATION)+🔌+💡, PIA
KAMA WEWE NI MWANAFUNZI UNAE JIFUNZA UMEME AU UNA TAMANI KUFAMU UMEME KUPITIA VIPINDI HIVI VYA PRACTICAL NA THEORY VITA KUSAIDIA SANA KU UELEWA KWA HARAKA UMEME UKIWA NI MFATILIAJI NA MUUDHURIAJI MZURII KATIKA VIPINDI VINAVYO ENDELEA.
💡+++🔌++💡
1:UNAWEZA KUTUPATA WHATSAPP KWA NAMBA 👉0713973162 NIKUUNGE KATIKA GROUP LETU LA WHATSAPP KUCHANGIA MAMBO MBALI MBALI YANAYO HUSIANA NA ELIMU KUHUSU UMENE.
ODESSA ELECTRICAL INSTALLATION TOGETHER WE CAN 💡+++🔌+++💡💪.
👇.....on KZbin.....👇
/ @odessaelectricaltechn...

Пікірлер: 40
@TumainiKategere
@TumainiKategere 11 күн бұрын
Je ukifungua maji kwenye ya inlet kwenye bomba unakadiria tu unafunga bomba au had mashine imalize kufuwa ndo unafunga bomba lisiingize maji
@gracekaniki6954
@gracekaniki6954 Жыл бұрын
Nimependa sana
@Odessaelectricaltechnology
@Odessaelectricaltechnology 8 ай бұрын
Karibu
@user-ep7tb9cf7f
@user-ep7tb9cf7f Ай бұрын
Je pakubonyeza kutoa maji machafu n wapi
@user-yt2ug8ds7x
@user-yt2ug8ds7x Ай бұрын
Ya kwangu unatoa maji Kwa nje... Umeanza kufa au ni kawaida
@PriscahLucas-io3ld
@PriscahLucas-io3ld Жыл бұрын
Ni bei gani
@Odessaelectricaltechnology
@Odessaelectricaltechnology Жыл бұрын
Check 0787369807
@ashurachungu8171
@ashurachungu8171 4 ай бұрын
We nae muongo ngoja nikukosoe io mashine haikaushi ina option ya ku Spin yaan ina kamua haina option ya Dyer yaan kukausha..!! Uzuri battan za option zinaonyesha
@Odessaelectricaltechnology
@Odessaelectricaltechnology 4 ай бұрын
MAELEZO_YA_KUTUMIA_WASHING MACHINE_ DOLPHIN TOP LOAD 12KG, na KG-20 AUTOMATIC INA FUA NA KUKAUSHA. 👇ni Automatic na ni manual🔥👇 kzbin.info/www/bejne/pmqtfYmjf8yZoM0si=vWio-1F5-RT55dG4
@memorydaniely9247
@memorydaniely9247 22 күн бұрын
jaaaman ni xh ngp hyo
@Odessaelectricaltechnology
@Odessaelectricaltechnology 22 күн бұрын
Check WhatsApp 0787369807
@evansmtalo8924
@evansmtalo8924 Жыл бұрын
Kilo nane ni ndogo sana Kwa biashara kwani hakuna kuanzia kg 20 kuendelea?Kuna nguo zisizofuliwa na maji utatumiaje mashne hii?
@Odessaelectricaltechnology
@Odessaelectricaltechnology Жыл бұрын
Zipo
@charlesyohanaa
@charlesyohanaa Жыл бұрын
@@Odessaelectricaltechnology ndo shingapi
@happynessgodfrey5624
@happynessgodfrey5624 8 ай бұрын
Bei gan kg20
@Odessaelectricaltechnology
@Odessaelectricaltechnology 8 ай бұрын
0716355571
@abdulkibamba679
@abdulkibamba679 10 ай бұрын
Nakuja Whatsap now ninashida zaidi na hii elimu nina mashine ya kufua na kukausha ila bado sijaijua jinsi ya kutumia
@charlesyohanaa
@charlesyohanaa Жыл бұрын
Sasa maji unayatoaje na nanguo utajuaje kama imetakata coz kwahizi mashine za kawaida unaiangalia ngu na kama bado unailudia sasa hiyo utajuaje
@Odessaelectricaltechnology
@Odessaelectricaltechnology Жыл бұрын
Kufua kwake n automatic
@charlesyohanaa
@charlesyohanaa Жыл бұрын
@@Odessaelectricaltechnology mm nilikuwa naitaji ya kilo 15 au 20 zinauzwaje?
@charlesyohanaa
@charlesyohanaa 11 ай бұрын
Ya kilo kumi na tano au ishilini inauzwa Bei gani
@user-jc4xl2tj8c
@user-jc4xl2tj8c Жыл бұрын
How mach
@Odessaelectricaltechnology
@Odessaelectricaltechnology Жыл бұрын
Njoo inbox 0787369807
@gracerichard8145
@gracerichard8145 10 ай бұрын
Mi nahitaj elimu zaid nataka kufanya biashara
@Odessaelectricaltechnology
@Odessaelectricaltechnology 10 ай бұрын
Call 0787369807
@charlesyohanaa
@charlesyohanaa Жыл бұрын
Inafua duvet? Ya kilo ngapi
@Odessaelectricaltechnology
@Odessaelectricaltechnology 8 ай бұрын
Ndio
@jecintairungu3235
@jecintairungu3235 10 ай бұрын
Ni how much
@Odessaelectricaltechnology
@Odessaelectricaltechnology 10 ай бұрын
Call 0716355571
@emmanuelmtambachuo4427
@emmanuelmtambachuo4427 5 ай бұрын
Bei gani mashine hii?
@Odessaelectricaltechnology
@Odessaelectricaltechnology 5 ай бұрын
0787369807
@anastasiamainaministries2700
@anastasiamainaministries2700 Жыл бұрын
How many hours or minutes does one wash take..
@Odessaelectricaltechnology
@Odessaelectricaltechnology Жыл бұрын
it depends on the amount of clothes and the minutes you want to wash, like 15,30 minutes..
@tumainmasele2501
@tumainmasele2501 Жыл бұрын
Ina bei gn?
@Odessaelectricaltechnology
@Odessaelectricaltechnology Жыл бұрын
Call 0787369807
@jogoolajiji2499
@jogoolajiji2499 Жыл бұрын
Inauzwa shingapi
@Odessaelectricaltechnology
@Odessaelectricaltechnology Жыл бұрын
Inategemea wataka kampuni gani..?
@Odessaelectricaltechnology
@Odessaelectricaltechnology Жыл бұрын
Njoo inbox 0787369807
@neemamnubi2738
@neemamnubi2738 Жыл бұрын
Inafua viatu
@Odessaelectricaltechnology
@Odessaelectricaltechnology Жыл бұрын
Ya viatu ipo boss
JINSI YA KUTUMIA "MASHINE YA KUFULIA NGUO" KU CONTROL PROGRAM NA SIMU YAKO.
12:42
Odessa Electrical Technology
Рет қаралды 1,4 М.
Фейковый воришка 😂
00:51
КАРЕНА МАКАРЕНА
Рет қаралды 6 МЛН
POV: Your kids ask to play the claw machine
00:20
Hungry FAM
Рет қаралды 7 МЛН
Indesit Washing Machine - How to Use
4:53
DIY Pinto
Рет қаралды 209 М.
Hisense 12kg wash/dry review and demo🌸💡                      #hisense#washingmachine
8:13