JINSI YA KUTUMIA OVEN AINA ZOTE | How to use all different types of Electric/Gas Cookers.

  Рет қаралды 13,765

Cities & Flavors

Cities & Flavors

Күн бұрын

Jifunze kutumia Jiko yako mpya ulionunua au iliowekwa store aina mbalimbali. Pia utajifunza jinsi ya kutumia oven aina ya gas na umeme ili uweze kubake vizuri. Kwenye video hii tutakuonyesha jinsi ya kuwasha na kutumia majiko kutoka brand nyingi kama Hotpoint, Westpoint, MAK, Indesit, Ariston, General, Delta, Bruhm nk zinazopatikana hapa.
Hakikisha unaangalia video hii mpaka mwisho ili kufahamu jinsi ya kutumia jiko kupika, kuoka keki na kuchoma nyama kwenye oven ya gas na umeme.
Pia kama una "ushauri" au swali yoyote, andika kwenye comment ili wengine pia wafaidike! kama umefurahishwa na video hii, hakikisha una like, share na kusubscribe kwenye channel yetu.
Asanteni sana na karibuni wote.
Instagram Page link: / fundi_dsm
Facebook page link: / bombaywallla

Пікірлер: 57
@manukruger
@manukruger 8 ай бұрын
Nyie bhana mnatumalizia bando tu , nisaffff super kabisaaa jiko safiii lkn hamuelezi na kuonesha vizuri yanatumikaje kama unawasha plate ndogo au kubwa onesha tuliza cameraa na uneshe kusha na kuzima na oveni inatumikaje ..... Tafuteni Watu wawafanyie matangazo acheni ubahili 😂😂😂😂😂😂 super super kabisa
@fatumashehe361
@fatumashehe361 9 ай бұрын
Asante kaka kwa kuongeya kiswahili sasa naelewa ❤
@sitially2112
@sitially2112 2 ай бұрын
Habari kaka naomba kuuliza mimi nina oveni lita 48 ina majiko yajuu mawili nataka kujuwa unaseti motongaPi yapate moto niweze kupikiya ainaya ovenilangu ni yurope naomba msada wako
@kesiahluogachannel9699
@kesiahluogachannel9699 10 ай бұрын
Shida ni kwamba ki ukweli hamfundishi, kwasababu hamuonyeshi wapi mnagusa, ila tu moto inaonekana umewashwa. kwa mimi ambaye nia yangu ni kujifunza mmeniharibia tu mb zangu
@feymushi5161
@feymushi5161 Жыл бұрын
Nakupataje Sasa fundi
@cities-flavors
@cities-flavors Жыл бұрын
Kama na mwendokasi, Bombaywalla appliance repair and service, mtaa wa mwisho, Njoo kituo cha mwendo kasi ya kisutu, au soko la zamani la kisutu, usoni na ATM ya CRDB posta ya libya, zamani standi ya mabasi ya arusha yalipokuwepo, kuna choo cha kulipia, niko hapo nyuma, duka la njano utaliona..au google tu..simu 0684017700
@feymushi5161
@feymushi5161 Жыл бұрын
Namba zako boss
@cities-flavors
@cities-flavors Жыл бұрын
0684017700
@abeidhamad9495
@abeidhamad9495 4 ай бұрын
Naomba maelekezo ya jiko kampuny ya lunamas
@gracengole2773
@gracengole2773 Жыл бұрын
Mbona naona ninapotoa maelekezo, unamtaka kipengele kinachoitwa "timer" lakini kwenye jiko langu haipo. Ila ipo sehemu imeandikwa temperature. Lkn sio pa kuongeza km unavyofanya wewe fundi
@cities-flavors
@cities-flavors Жыл бұрын
Kwenye majiko mengine hakuna timer, kuna switch ya kuset moto (temprature) na kuchagua option ya oven, sio majiko yote yana timer boss
@neemasadiki9474
@neemasadiki9474 Жыл бұрын
Fundi wa Tz aminia sanaaa
@cities-flavors
@cities-flavors Жыл бұрын
Shukran sana boss 🙏
@kalamukalamu5370
@kalamukalamu5370 9 ай бұрын
Jinsi ya kutumia oven kwenye jiko aina ya homebase
@user-dn1in8mi6p
@user-dn1in8mi6p Жыл бұрын
Je una pikaje kwa wakati mmoja oven na fremu zote
@cities-flavors
@cities-flavors Жыл бұрын
Unawasha zote kama ilivo designiwa boss
@veronicaminde2679
@veronicaminde2679 Жыл бұрын
mm natumia jiko la boss lkn chini moto hamna n juu tu kwenye oven naomba mawasiliano yenu
@cities-flavors
@cities-flavors Жыл бұрын
0684-017-700, karibu sana boss
@babytumuvalence8939
@babytumuvalence8939 Жыл бұрын
Jiko langu kwenye oven inaonesha namba 1 mpaka 4! Sasa swali langu nawezaje kucontrol moto labda nimeelekezwa kwenye kupika natakiwa nitumie moto 180c lakini jiko langu halina hizo namba zaidi ya 1,2,3,4
@cities-flavors
@cities-flavors Жыл бұрын
Hio oven ni ya gas au umeme? Maana umeme lazima uwe na thermostat ambayo unaweza kuset moto kuanzia 0 mpaka 250
@babytumuvalence8939
@babytumuvalence8939 Жыл бұрын
@@cities-flavors gas
@cities-flavors
@cities-flavors Жыл бұрын
@@babytumuvalence8939 ndo maaana ina number hizo, jaribu kucheki manual yake ili uweze kupata uongozo sahihi maana hizo alama zinatofautiana
@salmanudah-ou5jr
@salmanudah-ou5jr Жыл бұрын
@@cities-flavorsmm Mnapatikana. Wp
@cities-flavors
@cities-flavors Жыл бұрын
@@salmanudah-ou5jr Kama na gari,uber,Bolt, bajaj, kirikuu au boda boda..Bombaywalla appliance repair na service, mtaa wa zaramo.. Mbele kwa ofisi za channel ten, pale round about ya dtv, kisutu, duka la njano, usoni na choo cha kulipia cha serikali..au google tu..simu 0684-017-700, karibu sana
@maryanmulki6595
@maryanmulki6595 Жыл бұрын
Ninaeza pika pamoja na kutumia oven plz reply
@cities-flavors
@cities-flavors Жыл бұрын
Yes boss unaweza kufanya hivo
@nasranduly8550
@nasranduly8550 Жыл бұрын
Naomba msaada mm jiko langu la umeme linajizima kabla ya kitu kuchemka shida nn
@cities-flavors
@cities-flavors Жыл бұрын
Thermostat yake itakuwa imeharibika boss wangu, 🙏
@nasranduly8550
@nasranduly8550 Жыл бұрын
@@cities-flavors kwahiyo nifanye ama gharama zake zipoje
@assleeali2302
@assleeali2302 9 ай бұрын
Boss naomba nitumie namba yako nahitaji jiko la umeme n gesi please
@HappinessTumsifu-cn5kx
@HappinessTumsifu-cn5kx Жыл бұрын
Unapo washa ovena moto wa juu na chini sio lazima hizi chuma za juu na chini kua nyekundu?
@cities-flavors
@cities-flavors Жыл бұрын
Itategemea na moto utakao set boss, ukiiwa mdogo haiwezi kuwa nyekundu ila kama inafika 180, lazima ziwe zinabadilika
@mathiaslimondo6747
@mathiaslimondo6747 Жыл бұрын
Nina jiko la boss ila nashindwa kulitumia
@KakoaJackson
@KakoaJackson Жыл бұрын
Hufai ata kuwa mwalimu
@cities-flavors
@cities-flavors Жыл бұрын
Sawa boss, nashukuru sana kwa mtazamo wako 🙂
@SarahHezron-oz3vl
@SarahHezron-oz3vl 10 ай бұрын
Bulb unawashia wapi
@jescagodwin2732
@jescagodwin2732 Жыл бұрын
Sasa mnatuonyesha flame badala ya wapi pakuwashia
@cities-flavors
@cities-flavors Жыл бұрын
Angalia vizuri video boss, tunaonyesha sehemu za kuwashia kwenye majiko aina mbalimbali
@sharifarashid7934
@sharifarashid7934 2 жыл бұрын
Unaweza kutumia gas na umeme kwa wakat mmoja? Na je oveni inayotumia umeme inawashwa na kibiriti au n automatic?
@cities-flavors
@cities-flavors 2 жыл бұрын
ndio boss, unaweza kutumia pamoja bila wasi wasi. Oven inayotumia umeme unawasha na umeme, zile knob za kuset ya timer, temprature an option ndo zinakusaidia kuwasha oven chini
@user-dn1in8mi6p
@user-dn1in8mi6p Жыл бұрын
Sh ngapi?
@neemajames5137
@neemajames5137 11 ай бұрын
A namba ya simu
@fragrancethomas6240
@fragrancethomas6240 Жыл бұрын
Msaada oven Lita 48 uerope naset vp moto maana juu keki inaiva chini inakuwa bado
@cities-flavors
@cities-flavors Жыл бұрын
Inaweza kuwa thermostat yake imeharibika boss na haipitishi moto chini
@fragrancethomas6240
@fragrancethomas6240 Жыл бұрын
Jko ni jipya
@cities-flavors
@cities-flavors Жыл бұрын
@@fragrancethomas6240 kama ina warranty warudishie dukani boss wangu wakusaidie kutatua changamoto, sisi tupo dsm simu 0684-017-700 kwa maelezo zaidi
@fragrancethomas6240
@fragrancethomas6240 Жыл бұрын
Shida niliagiza DSM na mm npo tabora
@ndillahellen
@ndillahellen Жыл бұрын
Jiko langu ni aina ya germania namba zimefutika nawezaje kuset moto
@cities-flavors
@cities-flavors Жыл бұрын
Hizo settings ni standard kwa majiko yote, angalia video hio vizuri au nicheki whatsapp 0684017700 nikutumie
@salomealfred302
@salomealfred302 9 ай бұрын
Sioni unapobonueza tuoneshe unapobonueza sasa
@sharifarashid7934
@sharifarashid7934 2 жыл бұрын
Nina jiko aina ya LA CASA juu plates znatumia gas chin oven n umeme ila Kila nikiwasha nashindwa
@cities-flavors
@cities-flavors 2 жыл бұрын
kama juu ni full gas (burner zote ni gas), oven itakuwa ya gas chini, unatumia kiberiti ya kawaida kuwasha oven yako
@sharifarashid7934
@sharifarashid7934 2 жыл бұрын
@@cities-flavors ila nikichomeka waya kwenye umeme inawaka taa kama hvo w unavyoelekeza na set timer nakuwasha kama n juu ila joto halipand
@Malaikakisseto
@Malaikakisseto Жыл бұрын
Nakupa vipi? Nahitaji kukuona jiko linaumwa
@cities-flavors
@cities-flavors Жыл бұрын
Kama na gari,uber,Bolt, bajaj, kirikuu au boda boda..Bombaywalla appliance repair na service, mtaa wa zaramo.. Mbele kwa ofisi za channel ten, pale round about ya dtv, kisutu, duka la njano, usoni na choo cha kulipia cha serikali..au google tu..simu 0684-017-700, karibu sana
@dianapowell9708
@dianapowell9708 2 жыл бұрын
Unauza haya majiko?
@cities-flavors
@cities-flavors 2 жыл бұрын
habari...hapana tunatengeneza tu...hatu uzi
Фейковый воришка 😂
00:51
КАРЕНА МАКАРЕНА
Рет қаралды 6 МЛН
Dad Makes Daughter Clean Up Spilled Chips #shorts
00:16
Fabiosa Stories
Рет қаралды 7 МЛН
How to use Electric Cooker/Oven Mika 3G+1E//Learn the basics
4:38
Wanjiru Ngigi (Poultry Farmer & Realtor)
Рет қаралды 31 М.
TOFAUTI YA GAS/OVEN PART 2 BY FUNDI DSM
4:48
Cities & Flavors
Рет қаралды 402
HOW TO OPERATE A GAS OVEN// BAKING USING A GAS OVEN
5:59
Miss Wiro
Рет қаралды 244 М.
CHAGUA KUTOKA VON MINI OVEN NO.2 Promotion
5:08
CS ONLINE TV
Рет қаралды 11 М.
How to use a gas oven// Beko gas//
7:57
Petite Mama
Рет қаралды 67 М.