JINSI YAKUANDAA VIUNGO VYA MAPISHI JIKONI/HOW TO PREPARE SPICES AT HOME

  Рет қаралды 32,038

Mziwanda Bakers

Mziwanda Bakers

Күн бұрын

Пікірлер: 104
@juliethurio6840
@juliethurio6840 4 жыл бұрын
Yaani ki ukweli uko vizuri mpenzi. Siyo mchoyo wa maarifa Mziwanda. Mungu akubariki sana na azidi kukuinua
@mziwandabakers8297
@mziwandabakers8297 4 жыл бұрын
Amiin my dear
@emmilianamwaya5994
@emmilianamwaya5994 4 жыл бұрын
Kweli kabisa uyu dada co mchoyo,ntamtafuta nimuone live ntafurah sn
@teodosiakihwili5472
@teodosiakihwili5472 3 жыл бұрын
Mungu akuzidishie kwa upendowako
@devothabishagazi2390
@devothabishagazi2390 4 жыл бұрын
Ahsante,be blessed
@eldamasikamuhangi3344
@eldamasikamuhangi3344 4 жыл бұрын
Aksante sana kwa viungo sasa majina haya hatuya fahamu niko Congo DRC kwa hiyo majina ya viungo kwa kiswahili yenu haï eleweki
@aminamwashabwi6470
@aminamwashabwi6470 4 жыл бұрын
Mambo mazuri Sana Mashaallah...
@dhulfaabbasi1917
@dhulfaabbasi1917 4 жыл бұрын
Waoow Asante Sana Allah akuzdshie kheir nitafanya hvy inshaallah
@mziwandabakers8297
@mziwandabakers8297 4 жыл бұрын
Amiin 🥰
@mwanaidathuman2728
@mwanaidathuman2728 4 жыл бұрын
Yaan Mungu akubariki mno
@sitiochu9367
@sitiochu9367 4 жыл бұрын
Allah akuzidishie.
@ashuashu3843
@ashuashu3843 4 жыл бұрын
Nimeipenda sana sana mashine
@mziwandabakers8297
@mziwandabakers8297 4 жыл бұрын
0752413459 mpigie huyo dada
@batuliramadhani3676
@batuliramadhani3676 3 жыл бұрын
Mwnye hiz mashine yuko dar ama wap
@faustinakitaly7759
@faustinakitaly7759 3 жыл бұрын
mdogo wangu hongera sana nimependa sana maelezo yako pia na hiyo mashene aipungui bei
@mziwandabakers8297
@mziwandabakers8297 3 жыл бұрын
Shukran, mpigie huyo namba zake kwenye video atakusikiliza
@brayufulala5748
@brayufulala5748 4 жыл бұрын
Asante sana dada hayo makopo Bei gani nawapi tunapata
@hatungimanaabdou8197
@hatungimanaabdou8197 4 жыл бұрын
Asante sana watu wengi hahajuwi majina ya viungo uturetee viungo vingine Mimi napenda kazi ka upishi (kwetu ni Burundi)
@mziwandabakers8297
@mziwandabakers8297 4 жыл бұрын
Sawa nitaleta
@mziwandabakers8297
@mziwandabakers8297 4 жыл бұрын
Makopo kwenye maduka ya vyombo dear
@hurumadaniel6977
@hurumadaniel6977 4 жыл бұрын
Binafsi nafuatilia Sana mafunzo yako ya KZbin ubarikiwe sana sana unajua kufundisha umenitoa sehem moja kwenda nyingine, Love u and Miss u. Mungu azidi kukutumia sawasawa na mapenzi yake tuendelee kufaidi madarasa yako
@mziwandabakers8297
@mziwandabakers8297 4 жыл бұрын
@@hurumadaniel6977 wa Tntc??
@reycakesjikoni9085
@reycakesjikoni9085 4 жыл бұрын
Nje ya kuwa mjasiriamali nahisi wewe ni mwalimu , yaan Uko vizur kuelekezwa many hongera Sana.
@mziwandabakers8297
@mziwandabakers8297 4 жыл бұрын
🙏
@aishaabdallah4560
@aishaabdallah4560 4 жыл бұрын
MashaaAllah maandalizi mema na ramadhan kareem mpz
@mziwandabakers8297
@mziwandabakers8297 4 жыл бұрын
Amiin na kwako pia
@lizzydiy4590
@lizzydiy4590 3 жыл бұрын
@@mziwandabakers8297 Lengo la kuvikaanga ni lipi?
@MaiyahBeatus
@MaiyahBeatus 4 ай бұрын
Hoi mashine inaitwaje
@ashuashu3843
@ashuashu3843 4 жыл бұрын
Nimeipenda sana mashine pls naipataje?
@maryammaram2612
@maryammaram2612 4 жыл бұрын
Hapo kajiharufu kazurii ka kutamanisha zaman ukisikia kama hivyo jua ramadan imewadia.. shukran mziwanda
@mziwandabakers8297
@mziwandabakers8297 4 жыл бұрын
Naam imewadia dear
@smaldouc7865
@smaldouc7865 4 жыл бұрын
Asante sana dada Allah akubariki .contact za kwey utapata machine na jina la machine
@mziwandabakers8297
@mziwandabakers8297 4 жыл бұрын
Contact za machine nimeweka hapo mpigie
@hasinarashid2768
@hasinarashid2768 4 жыл бұрын
Asanteeeee
@najmanassor6377
@najmanassor6377 Жыл бұрын
Naomba contact ya muuza iyo machine...plz
@anansiauronu441
@anansiauronu441 4 жыл бұрын
Unafanya vizuri sana mumy. Tunashukuru. Ila no za simu kwa ajili ya huyo mwenye mashine sijaziona kwenye video
@mziwandabakers8297
@mziwandabakers8297 4 жыл бұрын
0752413459 mpigie huyo dada wa machine
@siriyangu4724
@siriyangu4724 4 жыл бұрын
Mashallah ni Ramadan Kareem kweli iyo mashine tutapataje
@mziwandabakers8297
@mziwandabakers8297 4 жыл бұрын
Namba zake nimeweka kwenye video dear unaeza mpigia
@amandajackson9283
@amandajackson9283 4 жыл бұрын
Mashine inauzwaje dear na vp kuhusu iliki unasaga na maganda yake?
@lufinamlelwa4066
@lufinamlelwa4066 4 жыл бұрын
Hii mashine shi Ngapi
@abdillahidrisa3930
@abdillahidrisa3930 2 жыл бұрын
Anapatikana wapi
@tariqkatunzi6970
@tariqkatunzi6970 4 жыл бұрын
Machine bei gani
@annengugi4258
@annengugi4258 4 жыл бұрын
No subtitles yet.
@geophreymwasakapiga1641
@geophreymwasakapiga1641 4 жыл бұрын
Nzuri inapatikana wapi na bei ganii?
@victoriamuli4835
@victoriamuli4835 4 жыл бұрын
Hii duka iko wapi Dada ninunue hii machine
@joliapantaleo349
@joliapantaleo349 Жыл бұрын
Nimeipenda hizo mashine zakusaga tunapata wapi wanakosaga kisha unalipa
@elizabethmanyara1951
@elizabethmanyara1951 4 жыл бұрын
Mama Kwa muda sasa umekuwa wa baraka sana. Mimi ni mfanyi biashara nataka kuanza biashara ya baking na leo nimeshangaa ndoto yangu ni ku pack viungo kwa biashara. Ningependa unielekezee. Mimi no mkenya.
@mziwandabakers8297
@mziwandabakers8297 4 жыл бұрын
Karibu dear, nini wahitaji msada??
@elizabethmanyara1951
@elizabethmanyara1951 4 жыл бұрын
Kwa wakati nahitaji ushauri jinsi naeza saga hizo spices na kuzichanganya kama vile pilau masala, chicken masala, beef masala, tea masala etc kisha nipack under a brand name niuze. I know your Zanzibar spices are best. Kindly advise on how about it.
@wemaramadhani8953
@wemaramadhani8953 4 жыл бұрын
Mm naitaji hiyo mashine mnapatukana wp jmn
@mziwandabakers8297
@mziwandabakers8297 4 жыл бұрын
@@wemaramadhani8953 namba za anaeuza zipo pale dear mpigie
@mziwandabakers8297
@mziwandabakers8297 4 жыл бұрын
@@elizabethmanyara1951 okay I will arrange that topic
@sidikazungu2374
@sidikazungu2374 4 жыл бұрын
Dada naomba recipe ya cupcakes za biashara
@mziwandabakers8297
@mziwandabakers8297 4 жыл бұрын
Andika cupcakes za biashara mziwanda_bakers utaziona
@elizabethsikawa8490
@elizabethsikawa8490 4 жыл бұрын
Ubarijiwe mamy napenda Sana kufatilia channel yako natamani sana kuwa mjuzi Kama wewe ili hatimaye nifungue nami bekary yangu
@mziwandabakers8297
@mziwandabakers8297 4 жыл бұрын
Amiin Mwenyezi Mungu Akusimamie utimize dear
@teodosiakihwili5472
@teodosiakihwili5472 3 жыл бұрын
Hayo marigafi dada yanapatikana wapi?
@mziwandabakers8297
@mziwandabakers8297 3 жыл бұрын
Soko la viungo vipo dear
@sophiaiddi4795
@sophiaiddi4795 4 жыл бұрын
Mashine zinapatikAna wapi
@anivaamon6790
@anivaamon6790 4 жыл бұрын
Dada unafundisha vinzuri sana ubarikiwe binafsi nimepika cake imetoka vinzuri sana
@mziwandabakers8297
@mziwandabakers8297 4 жыл бұрын
Shukran sana
@annacredakavusha1521
@annacredakavusha1521 3 жыл бұрын
Iyo blenda inapatikana wapi?
@mziwandabakers8297
@mziwandabakers8297 3 жыл бұрын
Namba zipo hapo kwenye video au piga namba ya ofisi 0768859358
@sophiaiddi4795
@sophiaiddi4795 4 жыл бұрын
Samahani bei. GAni hiyo machine.
@mziwandabakers8297
@mziwandabakers8297 4 жыл бұрын
Nimeweka namba za muuzaji na bei waweza mpigia
@colinehelmas1458
@colinehelmas1458 4 жыл бұрын
Hizo container hunazipatia wapi nna vihitaj
@mziwandabakers8297
@mziwandabakers8297 4 жыл бұрын
Hizo nimenunua mtumbani vyombo
@haikamgonja3871
@haikamgonja3871 4 жыл бұрын
Wow
@furahaminde673
@furahaminde673 2 жыл бұрын
Naomba number ya mtu anauza mashine ya kusaga viungo pls
@furahaminde673
@furahaminde673 2 жыл бұрын
Mziwanda baker naomba number yako pls
@victoriamuli4835
@victoriamuli4835 4 жыл бұрын
Hii machine yaitwa aje?
@mziwandabakers8297
@mziwandabakers8297 4 жыл бұрын
Namba iko kwenye video wapigie tu
@victoriamuli4835
@victoriamuli4835 4 жыл бұрын
@@mziwandabakers8297 OK thanks
@muhemezimshumbusi8838
@muhemezimshumbusi8838 4 жыл бұрын
Masha Allah
@codyjasper9691
@codyjasper9691 3 жыл бұрын
I realize I am kinda off topic but does anybody know of a good place to watch newly released tv shows online ?
@cassiuskashton1133
@cassiuskashton1133 3 жыл бұрын
@Cody Jasper flixportal :D
@codyjasper9691
@codyjasper9691 3 жыл бұрын
@Cassius Kashton thanks, I went there and it seems to work =) I appreciate it!
@cassiuskashton1133
@cassiuskashton1133 3 жыл бұрын
@Cody Jasper Glad I could help xD
@shanteesaid9831
@shanteesaid9831 4 жыл бұрын
Mashine bei gani
@naominjambi7929
@naominjambi7929 4 жыл бұрын
Dada ni pesa ngapi ya Kenya
@ashuashu3843
@ashuashu3843 4 жыл бұрын
Naomba no yako unisaidie nipate mashine kama hii lps mimi napenda sana kupika.
@esthermwaisumo2834
@esthermwaisumo2834 2 жыл бұрын
Naomba kujua uwiano wakutengeneza viungo cha chai kwa biashara
@gracecharles1244
@gracecharles1244 4 жыл бұрын
Dadadaaaaa
@gracecharles1244
@gracecharles1244 4 жыл бұрын
Asanteeeee sanaaa
@mziwandabakers8297
@mziwandabakers8297 4 жыл бұрын
Haya dear
@Iam_info
@Iam_info 3 жыл бұрын
mashine anauzaje
@mziwandabakers8297
@mziwandabakers8297 3 жыл бұрын
Ipo ya 400,000 na pia zipo ndogo za 280,000
@mwanaidishibe9275
@mwanaidishibe9275 4 жыл бұрын
Asante..hiyo machine yaitwaje niko Dubai nataka ikiwa naenda nyumbani ni nunue yangu
@sabrasaleh1823
@sabrasaleh1823 4 жыл бұрын
Mwanaidi Shibe 💰 Look what I found on Wish for a great price! www.wish.com/share/1060lixkyp
@colinehelmas1458
@colinehelmas1458 4 жыл бұрын
Machine ya kusagia INA bei gani
@mziwandabakers8297
@mziwandabakers8297 4 жыл бұрын
350,000
@hemedyjeiwhite8014
@hemedyjeiwhite8014 4 жыл бұрын
Yukosehemugani huyo anauza mashine naomba namba yake
@mziwandabakers8297
@mziwandabakers8297 4 жыл бұрын
0752413459
@ashuashu3843
@ashuashu3843 4 жыл бұрын
+968 92938896 HII NO YANGU NAOMBA MAWASILIANO PLS.
@lidyamkombozi
@lidyamkombozi Жыл бұрын
Sorry hiyo mashine inaitwaj
@dhulfaabbasi1917
@dhulfaabbasi1917 4 жыл бұрын
Waoow Asante Sana Allah akuzdshie kheir nitafanya hvy inshaallah
@eldamasikamuhangi3344
@eldamasikamuhangi3344 4 жыл бұрын
Aksante sana kwa viungo sasa majina haya hatuya fahamu niko Congo DRC kwa hiyo majina ya viungo kwa kiswahili yenu haï eleweki
@maryammaram2612
@maryammaram2612 4 жыл бұрын
Si kaweka na kwa english angalia kwenye discripition box
VIFAHAMU VIUNGO MBALIMBALI VYA CHAKULA/MAHANJUMATI
32:40
Mahanjumati Online
Рет қаралды 82 М.
coco在求救? #小丑 #天使 #shorts
00:29
好人小丑
Рет қаралды 101 МЛН
Lazy days…
00:24
Anwar Jibawi
Рет қаралды 9 МЛН
One day.. 🙌
00:33
Celine Dept
Рет қаралды 77 МЛН
Chain Game Strong ⛓️
00:21
Anwar Jibawi
Рет қаралды 35 МЛН
VIUNGO VYA KUPIKIA / MAPISHI
10:37
Ika Malle
Рет қаралды 83 М.
Traditional kimchi recipe (Tongbaechu-kimchi: 통배추김치)
16:30
Jinsi Ya Kutengeneza Fondant Rahisi Sana
7:27
Mziwanda Bakers
Рет қаралды 192 М.
How To Grow Sprouts at Home | 4 Super Healthy Sprouts
7:41
Splash of Goodness
Рет қаралды 1,6 МЛН
coco在求救? #小丑 #天使 #shorts
00:29
好人小丑
Рет қаралды 101 МЛН