YARAB MWENYEZI MUNGU akuzidishie wingi wa maisha shehe wetu nauzidi kutufundisha mengi ili tutoke katika matatizo ya kiafya nasi tupate raha ya afya zetu inshallah
@fatumakambi9603 ай бұрын
MWENYEZI Mungu utujalié mema utuondolee na shari za ulimwengu huu utulinde na athabu dunia hii na utuepushe na adabu ya kaburini na utulinde na kesho inshallah
@user-hv7hx7un2b2 ай бұрын
Niseme Allah ankibar Allah anawaja wema
@saeeed25992 ай бұрын
Ukifanya dua na mimi niombee inshallah
@echikyabu61543 ай бұрын
MUNGU akupe umli mrefu tupate kupataa vitu vizur kutoka kwako shehe wangu❤
@user-vl4md8rj6i3 ай бұрын
Mashaallah mashaallah mashaallah mola akuhifathy na akube maisha marefu
@saeedsaeed73813 ай бұрын
🙏🙏🙏
@xhilingiibra35713 ай бұрын
Mashaallah
@softymoha54843 ай бұрын
pastor huyo anaitwa ezekiel
@adijaada3 ай бұрын
Shukrun
@narutonaruto43033 ай бұрын
jamn hiy story tumalizie ya mwanamke
@ejikecharles71423 ай бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@fatmaalzidy11703 ай бұрын
Asalama Aleyekumu sasa hiyo story ya mwanamke imekwisha vipi?