No video

Jiwe la wahehe lisemalo (Vlog 4)

  Рет қаралды 102,491

Masoud Snamo

Masoud Snamo

6 жыл бұрын

Jiwe lisemalo ni moja kati ya hifadhi za kitalii mkoani Iringa ambapo jiwe hili lilitumika na maaskari wa kihehe enzi za Mkwawa kwa matambiko na mizimu pia lilitumika na Chifu mkwawa kwa kuwafatilia madui zake wajerumani.
kwa vlog zaidi na mambo ya picha ni FOLLOW katka mitandao ya kijamii
ISTAGRAM: / masoudsnamo
FACEBOOK: / masoud.aman.75

Пікірлер: 60
@idrisamngagi284
@idrisamngagi284 4 жыл бұрын
,gangilonga maana yake ni jiwe lililo ongea, lilitumika na chief kwa ajili ya matambiko na si hivyo usemavyo. wilo lesi maana yake ni ona mbali na huko ndiko walipo pelekwa wanajeshi kupiga rada. Likes 10 ntakupeana the hiden true of mkwawa and gangilonga within
@nevaryluhwago7670
@nevaryluhwago7670 4 жыл бұрын
Aise mmenikumbusha mbali sanaa
@faizadulla8663
@faizadulla8663 5 жыл бұрын
Mfyuu nyinyi sasa mbo a hatukulisikia hilo jiwe likisema... Acheni ushamba wa kutafuta viewers
@twahilisalumweka2weke197
@twahilisalumweka2weke197 3 жыл бұрын
Safi
@adrianomsungu7649
@adrianomsungu7649 5 жыл бұрын
Da pako vizuri sana
@enockcharles6835
@enockcharles6835 5 жыл бұрын
We boya kabisa, umekazana tu Iringa ileeee, kila wakati Iringa ileeee. Ulienda kutuinyesha Iringa au Jiwe, we mwenyewe ndo unaongea sana badala ya jiwe
@madomadolove7643
@madomadolove7643 5 жыл бұрын
😂😂😂
@kadogoomushadi5409
@kadogoomushadi5409 5 жыл бұрын
Hongereni sana wakaka hi yo nikumbukumbu nzurisana
@mercydaison5083
@mercydaison5083 5 жыл бұрын
Amazing!!! Nami nataka kufika aisee , nipeleke basi
@afsaporini2064
@afsaporini2064 5 жыл бұрын
Kila mara Uringa ileeeeee!! ungemwacha mtoa historia aongee tujifunze
@nuratkalinga581
@nuratkalinga581 5 жыл бұрын
Ungetuuliza tuliozaliwa huko kihereheretu! Hujui hata historia ya mkoa nyoko lidako
@hollymore4904
@hollymore4904 6 жыл бұрын
Kaz nzur snamo
@zuwenaabdulfumba8856
@zuwenaabdulfumba8856 5 жыл бұрын
Sii kosa lako kujselfu labda cm ya kuazima rudi shule my hata jiwe lenyewe halijaongea Iringa ilee
@chiefmahucha6847
@chiefmahucha6847 5 жыл бұрын
Duhh.... We jamaa Nouma, laiti waandaaji was Documentary mbalimbali wangekuwa wanafanya kam wewe.... Basi tena.. Tusingekuwa na uelewa kihivyooo... Yaan bado mtu anasimulia historia ya Jiwe, " we unakatiza na kuanza kusjiaelfii... Kwelliiii...!!!??? Alafu unajiadai umetuhabarisha kakak....!!!!!!!!!!!¡!!!!!!?
@saydbarakismailiya1515
@saydbarakismailiya1515 5 жыл бұрын
Iko mbaliiiii iringa ileeeeee
@ruthjmkombozi5990
@ruthjmkombozi5990 5 жыл бұрын
njoo mwanza yapo mengi kama haya sema hayaongei
@msafiriasilia4333
@msafiriasilia4333 6 жыл бұрын
Safi sana hii nzuriiii
@mamaeliamanyerere7955
@mamaeliamanyerere7955 5 жыл бұрын
Goody
@mamaeliamanyerere7955
@mamaeliamanyerere7955 5 жыл бұрын
Safi sana nimeipenda istolia hii goody
@stevenmagangamawe6215
@stevenmagangamawe6215 5 жыл бұрын
Very nice
@muksinismail4282
@muksinismail4282 5 жыл бұрын
Kaz kujiselfie kuliko kuonesha tukio
@anoelinamwilili2094
@anoelinamwilili2094 3 жыл бұрын
Oyaaa acha uboya mbona unatuonesha sura yako
@farajaluhimbo1105
@farajaluhimbo1105 5 жыл бұрын
iringa yetuuu
@awomediaoscar9638
@awomediaoscar9638 5 жыл бұрын
nice bro keep it up
@stevenmagangamawe6215
@stevenmagangamawe6215 5 жыл бұрын
Goood xana
@jactanelisha5984
@jactanelisha5984 5 жыл бұрын
Gud
@aishabuwa2697
@aishabuwa2697 4 жыл бұрын
Mshenzii na iringaa yako
@suleymanmlenda7820
@suleymanmlenda7820 5 жыл бұрын
kazi nzuri lakin kijana imetumia muda mwingi kujiselfie kuliko kuonyesha tukio.
@zakiamseka9267
@zakiamseka9267 5 жыл бұрын
wachawi tena ndio mnatumalizia mb zetu kwa kueleza uchawi khaaa ama kweli wahuni sio watu wazuri
@saidasaady975
@saidasaady975 5 жыл бұрын
Kuwa makini na kilichokupeleka jiwe linaongea au wewe unaongea mbona husomeki au we mwenyewe uliadisiwa ukaamua kujionyesha kuwa umefika eneo la tukio afu usijue unachokifanya kalale mjinga wew
@pricethom9941
@pricethom9941 5 жыл бұрын
aisee ungekuwa karibu ninge kupiga vubao haupo serious natukio acha ufala
@lilianluhasi311
@lilianluhasi311 5 жыл бұрын
Inapendeza
@simisausojamhehe6108
@simisausojamhehe6108 4 жыл бұрын
Haha duuu
@benyelly8015
@benyelly8015 5 жыл бұрын
Iringa ileee mpaka unaboa
@katengololosteven8196
@katengololosteven8196 5 жыл бұрын
Ayo machata tulipiga wazawa na xio unavyotudanganya wewe!!!!
@bellenicerwiza7645
@bellenicerwiza7645 5 жыл бұрын
pumbavu sana
@zephaniahkinuno7473
@zephaniahkinuno7473 5 жыл бұрын
Kazi nzuri bt nakushauri,mtumie cameraman awe anakurekodi pindi unapopresent story yako,picha zinakosa utulivu kwa kuwa unalazimika kufanya mambo yote mwenyewe,bt all in all story iko vizuri chapa kazi usiangushwe na kauli za wanafiki.
@cynlym1847
@cynlym1847 5 жыл бұрын
Mmmh kazi ipo sasa maneno yote ya nn? Ulishindwa kuanza kurekodi baada ya kufka hapo kwny jiwe? Utanilipa mb zangu
@mussamremi6691
@mussamremi6691 5 жыл бұрын
kichaa ww
@nassoromnyali
@nassoromnyali 5 жыл бұрын
Elfmoja miatisa themanini na ngapiiiii!? Iringa ileeeeeee... 😏😩 Hupigwi nao lakini?
@lilianluhasi311
@lilianluhasi311 5 жыл бұрын
Ndiyo maana wanasema Edeni ya pili
@deograsiasmsolwa4766
@deograsiasmsolwa4766 5 жыл бұрын
Nyie acheni ktudanganyaa hapo ndio chimbo la kjfich tukitolosha halijawah kuongea
@stellaheliezer6279
@stellaheliezer6279 5 жыл бұрын
Mbn halaijaongea manz3eee mbn unatuletea uwaaki huoni uwakiii man oiii
@tysonkikoti7681
@tysonkikoti7681 5 жыл бұрын
umezingua kichizi mwanangu,sa jiwe linaongea au wewe ndio unaongea???
@kiwanimedia2075
@kiwanimedia2075 5 жыл бұрын
😂😂😂
@emaema6198
@emaema6198 5 жыл бұрын
mkn xana
@khatwabimpinga6408
@khatwabimpinga6408 5 жыл бұрын
Endeleeni kutuhabarisha maeneo ambayo watanzania wengi hatuyajui
@bestinamseti3078
@bestinamseti3078 6 жыл бұрын
mbona mnahema sana nyieeee
@funnyacademy1
@funnyacademy1 6 жыл бұрын
Bestina Mseti Upepo mkali huku
@rahelimchani999
@rahelimchani999 6 жыл бұрын
Gudy
@zablonboazrutaramla151
@zablonboazrutaramla151 5 жыл бұрын
Hongera kwa kutariiiiiii wakubwa
@simonkabue2082
@simonkabue2082 5 жыл бұрын
Mimi Niko Kenya nangonja njiwe lionge hamuna kitu nasikia tu iringa iringa ama wewe ni mutu wanjombe mbangii nyingi.
@laymapeace4538
@laymapeace4538 5 жыл бұрын
sasa huko kusafili na miguu ndo mle m.b zetu au nyoko nyie
@kenfrancis4827
@kenfrancis4827 5 жыл бұрын
Hahaha
@amineislam8303
@amineislam8303 5 жыл бұрын
Ist true ama ni uwongo sikujui hk
@anifazalafi3159
@anifazalafi3159 5 жыл бұрын
mbona arijaongea
@petermangama330
@petermangama330 5 жыл бұрын
Anifa Zalafi Lilikuwa linaongea Zamani
@fredkeneth9898
@fredkeneth9898 5 жыл бұрын
Iringa ileeee! Mpakamuda umeixha kipajihuna
Fahamu utamaduni na mila za wahehe
47:01
ITV Tanzania
Рет қаралды 35 М.
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
00:40
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 37 МЛН
Afghanistan 4k, Kabul city Walk 2024
12:41
HakimTravel
Рет қаралды 6 М.
The Johnson's Story
9:52
Life Assembly Church
Рет қаралды 507
Harvesting Fresh Eggplant! Preparing and Storing Pickle for Winter!
29:28
Cooking In The Wild
Рет қаралды 160 М.
Hili ndo Tatizo la Vinyozi wa kike
4:49
Masoud Snamo
Рет қаралды 98
Naples in Italy Looks Good on Instagram - But How Is It Really?
7:22
Travelling in China, China Walking Tour, West Lake, Hangzhou
15:13
Baghdad, Jameela Bridge, Bike Ride |  Iraq 2024
9:46
Arab Diaries
Рет қаралды 225
How to Spend 3 Days in CHICAGO | Travel Itinerary
22:23
Exotic Vacation
Рет қаралды 142
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
00:40
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 37 МЛН