Рет қаралды 8,198
Kwaya ya Mtakatifu Yohane Paulo wa II (Mbeya)-JMC- Maisha yetu ya utume yanaimarishwa na maisha halisi ya Somo wetu mwombezi wetu Mt Wa Karne yetu Yohane Paulo II (Papa).
Tunamshukuru mama Kanisa kwa kutupatia Mtakatifu huyu kuwa somo wetu mwombezi. Nasi tukiwa tunasherehekea siku hii kwa heshima ya somo wetu tunasema Milele Milele tutamsifu Bwana
Karibu tuimbe pamoja katika roho na kweli
#NjoonitumwimbieBwana
#NiguseBwana
#Aleluyamsifuni
#JMC