Songs by Joel Lwaga Covered by Sonia Studio Bantu Music Watch my other song • UMEENDA/RAIL ON (PAPA ...
Пікірлер: 599
@saidamsangi57164 жыл бұрын
Jmn naombeni like tatu tu Sonia piga kelele
@saulshitera75874 жыл бұрын
she gat it saida anaweza
@saidamsangi57164 жыл бұрын
@@saulshitera7587 kbsa brother
@hoboobo52184 жыл бұрын
Aya tumekupa na comment😂
@danielnathaniel56344 жыл бұрын
😘😘😘
@saidamsangi57164 жыл бұрын
@@hoboobo5218 asante sana
@marycianajulius88313 жыл бұрын
Jamani naombeni like za huyu mtoto Sonia huu ni moto wa kuotea mbali🔥🔥🔥
@heriethkusigwa84693 жыл бұрын
Nimekuogopa yaan ni 🔥🔥🔥🔥
@aishadjumaphones88774 жыл бұрын
Wimbo muzur pia nikushauli kitu usipime kubadili langiyako Baki kama.maman yako❤😘👌
@KingRaiz4 жыл бұрын
Nimempenda huyu mwanadada na kazi anazofanya. Niambieni jinsi navoweza kumfikia tupige collabo
@cecyliakibago43504 жыл бұрын
Mtoto kanisisimua kweli Mungu akuongoze kipenzi maana unàsauti imetuliaaaa
@levinashirima5364 жыл бұрын
Amezing voice ❤️❤️❤️❤️ aniekubalia na mimi eka like hapa
@bethaelnsumyirambobpraise77944 жыл бұрын
Ameniahidi Baraka, moja ya nyimbo zenye mguso Joel lwagwa, new bland song bonyeza link hapo chini pia usiache Ku subscribe kzbin.info/www/bejne/qYCyd6ecadqEhZo
@liliankarata67494 жыл бұрын
Love you mwaaaaaaaa
@beatymkandoo25174 жыл бұрын
@@bethaelnsumyirambobpraise7794 in nj. BB oooo Ann
@ayshakhamiss83104 жыл бұрын
Nice
@safindume20894 жыл бұрын
Nipo
@nulkhafahud3 жыл бұрын
Mama monalisa umejizaa tena hongera sonia make mama proud baby keep on
@WitnessMshana-yp8nl Жыл бұрын
Wawooh so amazing dada Sonia mtegemee Mungu ndy Kila kitu
@omanbarka1588 Жыл бұрын
Hongera Sana mwanangu Sonia mungu akulinde na sauti yako nzuri kaza buti mwanangu utatoka hapo ulipo
@risingsunhotel26294 жыл бұрын
Ubalikiwe Sonia umeimba vizuri sana
@mfalmesimba11543 жыл бұрын
Hongera Sana tunakutambua na tunakusapoti kwa chochote much love
@hadassahmakuna79543 жыл бұрын
Unaweza Sana kipaji hicho kiiwekeze Sana Kwa Mungu utazidi kung'ara Sana
@reenesa3 жыл бұрын
Girl you GOOD!!!! God bless you. You voice is so calming .
@stevemzeiya21784 жыл бұрын
Mwingeni mapesa hapa uanajuaga vyenye nakukubali mpaka cha kukubalia kinaisha vitairi..... 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@sophjaphet11934 жыл бұрын
Nakupenda Sana my best 😘😍
@anethslayo44963 жыл бұрын
Mimi ni wajuu tuuuu tena juu Sana hongera mno mwanangu❤️
@monicamichael26514 жыл бұрын
Waoooo mmm niwajuuu juuuuuusanaa
@nolimittvonline68223 жыл бұрын
Wakati wengine tuna lidhi uchawi kwa Bibi zetu wengine mnalidhi akili nyingi na vipaji ongera Sanaa Sonia mungu akutunze bint mrembo
@nolimittvonline68223 жыл бұрын
Mona amejizaa apa nipacha wake kwishaaa habari family hii imebarikiwa sanaaaa
@chitec43944 жыл бұрын
Sonia mwanangu unanibariki Mama yako
@claremuyuka93933 жыл бұрын
Beautiful voice, almost like Brandy's
@joycenaftali9174 жыл бұрын
Sonia kaza mwendo kweli mama yako asikufundishe kuimba tu akusimamie hata kiroho zaidi mdogo wangu mungu akulinde Sana,unjuuwa kuiba sana
@catherinejohn42514 жыл бұрын
Sanaaaa
@baimarrajahbuayan62373 жыл бұрын
Wow. Wow wow bint Mashallah Mbele songa
@jukaelyelisha63112 жыл бұрын
Sonia upo na sauty amaizing sana
@khadijayahya10103 жыл бұрын
Kanaakili sana jamn achana na Paula anajiwahsha kuwa msimbe
@johnfurahini82794 жыл бұрын
Duh!!kwa kifupi kabisa nachukua nafasi hii na dakika yangu hii moja wakati huo itifaki inezngatiwa kukuambia kuwa UNAJUAAAAAAAAAAA ...KEEP ON DOING IT GAL
@witnessrobart11583 жыл бұрын
✅✅✅✅✅
@mwanjiamsangi55473 жыл бұрын
Nakupenda sana baby......Mungu amekubariki saaaana ....akili, kipaji, voice, heshima, Mungu akuongoze uzidi kusonga mbele.
@selemankupaza59994 жыл бұрын
Nakuona kwa jicho la mbali sana.unajuwa sanaaaa.
@mariej69622 жыл бұрын
Huyu mtoto aimbe tu she is so talented.
@rahmaomary17603 жыл бұрын
Onger my uko gud unawez mbak unawez tenaa
@paulinasamwel39753 жыл бұрын
Nakupenda my dear 💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖
@magdalenanathaniel42984 жыл бұрын
Black is beuty Congratulations Sonia
@doriskapala15123 жыл бұрын
Nakupenda bule unajua Sana Sonia🙏🙏
@maithamlinah56374 жыл бұрын
Unaimba vzr baby love mwaya mungu atakusaidia ufke pale unapotka
@scolakisanga91713 жыл бұрын
Nice toto struggle gal penda wew soniaaaaa💕💕💞💞
@judithmwalukoba7083 жыл бұрын
Waoh ndo mfano wa familia zakuigwa
@adventjared754 жыл бұрын
Anajuaaa piga kilele kwa Sonia akeeeeee
@franckjohnson53413 жыл бұрын
Nakubali sana Boss wangu Sonia
@irenemaganga30044 жыл бұрын
Mungu akubariki... Joel's songs zinatuvusha kny mapito mbalimbali aisee.
@ester83274 жыл бұрын
Uko vzr sonia keep on
@janethmajuto40163 жыл бұрын
Mungu a kutie nguvu sonia wangu
@abuubakarally53032 жыл бұрын
Nakubali sana Kaz yak love you
@raypaul32052 жыл бұрын
Una sauti nzuri and unajua kuimba but hauja-relax yaan huna hisia za uimbaji ,,,,,love uimbaji ni hisia ongeza hcho nmefatilia nyimbo zako nyingi unakosa hisia
@afraalex23664 жыл бұрын
Umenifanya nijiskie Raha ,nakupendaaa
@ameniameni6173 жыл бұрын
Sauti nzuri Ila kope ndizo azipendezi
@chops63entertainment4 жыл бұрын
Nice song I like it Never mind Never give up
@marymasanyiwa57384 жыл бұрын
Unajua bhana🥰🥰
@harrietsutta25684 жыл бұрын
There is something in your voice so unique you need to discover it and fly high... All the best
@roseeugen87284 жыл бұрын
Wow adi raha yaan nimependa.....
@masudisenzia29913 жыл бұрын
Safi sana. Utafika mbali sana
@fidesbenard28364 жыл бұрын
Unafanya vizuri mtoto uko vizuri
@jaclecia32794 жыл бұрын
go girl go sonia wakati wako upo muimbie bwana mungu wetu
@stellamwakatulile32023 жыл бұрын
Hongera mwanangu 🙏🙏🙏
@kelvinlwiva53804 жыл бұрын
MBONA UNACHANGANYA MUNGU NA VINYAGO? Nakusalimu katika jina la Yesu Kristo! Leo nimekuja kwako na ujumbe maalumu wewe ambaye Mungu amekuheshimu na kukupa sehemu katika ufalme wake mkubwa utumike. Mungu amekuwa akikutumia kwasababu ndiye aliyekuita,lakini wewe umetumia nafasi hiyo vibaya, UNACHANGANYA! Lakini Mungu wetu ni wahuruma,amenituma nikukumbushe kuwa sivyo alivyokuagiza ufanye! Leo wengine wameona jina la Yesu halitoshi,wanajifanya kuliongezea visaidizi! Wengine wametumia nguvu za giza kwenye utumishi wa Mungu aliyehai,wengine wameenda kwa makuhani wa giza ili wapate nguvu ya kukubalika mbele ya waumini makanisani,ninakuonya acha na ukatubu umrudie Mungu! kwani Mungu hayupo hapo uko wewe na shetani, siku hizi unajichafua huko na uchafu wa kila aina na unakuja kutuhudumia kanisani,unasababisha ibada kuwa ngumu, unafanya ibada kama kwa maonesho,ushindwe kwa jina la Yesu! Mungu hapendi na anasema utaubeba uovu wako,hebu msikie! Ezekiel 44:8-12 Wala hamkuvilinda vitu vyangu vitakatifu bali mmejiwekea walinzi wa kawaida zangu, katika patakatifu pangu. Bwana MUNGU asema hivi; Hapana mgeni, ambaye moyo wake haukutahiriwa, wala mwili wake haukutahiriwa, atakayeingia patakatifu pangu, miongoni mwa wageni walio kati ya wana wa Israeli. Lakini Walawi waliofarakana nami, hapo Waisraeli walipopotea, waliopotea na kuvifuata vinyago vyao, watachukua uovu wao wenyewe. Hata hivyo watakuwa wahudumu katika patakatifu pangu, wakiwa wasimamizi wa malango ya nyumba, wakihudumu humo nyumbani; watawachinjia watu sadaka za kuteketezwa na dhabihu, nao watasimama mbele yao ili kuwahudumia. Kwa sababu waliwahudumia mbele ya vinyago vyao, wakawa kwazo la uovu kwa nyumba ya Israeli; basi nimeuinua mkono wangu juu yao, asema Bwana MUNGU, nao watachukua uovu wao". Kama umeamua kumtumikia Mungu tumika sawasawa na maagizo ya Mungu,ndipo utakapopata kibali mbele zake, kama ni vigumu kuishi kwenye kanuni za Mungu ni bora uache,maana unalitukana jina la BWANA! wewe ndiye unayewafungia watu wasimjue Mungu! ~~~~~~~~~~~~~~~ Wako katika ufalme wa Mungu, mwalimumuinjilisti Kelvin Nathaniel Lwiva...0756292211.
@suzanemwangingo69324 жыл бұрын
Mungu zidi kumpa nguvu
@letisiamakonda38733 жыл бұрын
Watu wanajua kufanana aisee
@ghhhhy18123 жыл бұрын
From 🇧🇮 Saudia mimi ni wajutu😘
@geofreybarama40004 жыл бұрын
Upo vizuri bby inshallah mwenyezi mungu akupe wepesi
@Elizabeth-mw4mo4 жыл бұрын
Hongera sonia ,nakutakia kila la kheri katika safari yako ya muziki beautiful voice.
@judikey3 жыл бұрын
Jamani naomben like at Mimi pia mbona mnaniruka
@sharifamirambo59214 жыл бұрын
Unaweza mama upo juu juuu juuuuuuu zaid
@neemaally75253 жыл бұрын
Hongera sana mwanangu
@edvenearpaschal39234 жыл бұрын
Vizuri Sana kwa kumuimbia mungu usijekubadilika mtoto mzuri
@suzanemwangingo69324 жыл бұрын
Mungu msimamie mwanetu
@mwalimukisuwah90594 жыл бұрын
Ongerah saana antii yangu,kazi nzuri.
@dayanamichael27014 жыл бұрын
Muimbie mungu sonia utafika mbali
@alistidiawilliam53954 жыл бұрын
Huyu kasema anajiona juu na kweli yuko juu asiyetaka akalale.mungu atakuinua zaidi
@jamilaswaleh57264 жыл бұрын
Dah Mungu azidi kukutumia Dada unacho kipaji sanaaaaaa tena kizuri
@agnessherman68644 жыл бұрын
Kumuimbia Mungu ni kusali mala mbili hongera mama upo smart kwa yote
@TheEventsPro4 жыл бұрын
Waaaoooh Sonia hapo hapo usitoke imba Gospel tu
@janemisso97224 жыл бұрын
Mungu akubariki saana binti yangu nakuombea saana ukue ktk kumtukuza huyu Mungu atakupa kusogea zaidi mbele ya mataifa .
@delightmutafurwa86914 жыл бұрын
Sonia love keep it up utaweza tu😙
@ahuriladaniel98493 жыл бұрын
U have a strong voice jesus🔥🔥🔥🔥🔥
@jeanmwanga5743 жыл бұрын
Noma dada samiye
@zakiamsaraka9824 жыл бұрын
Haka katoto kanafanana sana na Mama ake jomoni
@mbokachawe96574 жыл бұрын
Hii ni sauti yangu kabisaaaa....😍😍😍😍😍😍
@rehemabonza45294 жыл бұрын
Watoto wa waaanii wananafas kubwa jaman da lazima utoboe Sonia kweli hutabak kama ulivyo
@jasmine.mayala75974 жыл бұрын
Penda sana toto usikubal kupoteza kipaj chako mamy
@valeriachipeta7744 жыл бұрын
Ur mom is very proud of u. Keep it up girl
@chichijuma14664 жыл бұрын
Haka kabinti kana sauti nzuri jmn afu anaweza kwakwer
@annagracejoachim2544 жыл бұрын
Ee mwenyezi Mungu tuliza moyo wangu unanibariki sana mwanangu kwa nyimbo zako nawe zidi kubarikiwa
@eddyjuniortz22344 жыл бұрын
Mungu akubariki Sana ,,mfanye YESU awe BWANA NA MWOKOZI Wa maisha yako yote
@agnesjohnson23934 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭😭😔🙌🏾🙌🏾🙌🏾 Amen baby girl keep it up mama❣️🥰
@sophiajohn25794 жыл бұрын
safi safi safiiiiiii mpk nimesisimka
@alicenice17114 жыл бұрын
Soso mwanetu unazidi kutuburudisha
@yunusrnb52274 жыл бұрын
Kwenya vocal range bado kidogo anatakiwa afanye mazoezi ya sauti,
@rachelmligwa59224 жыл бұрын
Yaani huyu mtoto Ni hatari kwa kweli Basi imba gospel
@sarahmichael75384 жыл бұрын
Hongera sana Monalisa kwa malezi mema kwa binti yako;
@hadijamkwawa20494 жыл бұрын
Upo vzr toto
@TheAoras4 жыл бұрын
Pia mimi naomba likes tano peke yake. Sonia jameni. Saidia.
@herineemamasaki30774 жыл бұрын
Wewe ni wa juu Dear
@chale0ify4 жыл бұрын
Fungu jema, congrats
@alphoncinamosha98794 жыл бұрын
Unajua mungu aendeleze kipaji chako
@mwajomaessa75133 жыл бұрын
Uko vinzur kwelii🔥🔥🔥🔥
@happynessmasawe11964 жыл бұрын
Mungu akutangulie Sonia unaweza sanaa
@scholasticakikanka42233 жыл бұрын
Umenibariki sana
@mwanahijahozza66473 жыл бұрын
Wowowoo very nice my dear Sonia , God bless you
@neemaponera20374 жыл бұрын
MUNGU akuinue zaidi
@loveleasamson79523 жыл бұрын
Mungu akutunze
@magrethhezron55904 жыл бұрын
Waooooooh kwel wew ni wa juu
@preciousnatashanatasha26924 жыл бұрын
Wow 😍😍😍what a lovely voice. Girl you are blessed keep going 🔥🔥🔥🔥🔥
@bethaelnsumyirambobpraise77944 жыл бұрын
Ameniahidi Baraka, moja ya nyimbo zenye mguso Joel lwagwa, new bland song bonyeza link hapo chini pia usiache Ku subscribe kzbin.info/www/bejne/qYCyd6ecadqEhZo