Barikiwa sana brother Joel kwani kila siku nayaishi mafunzo yako
@rchrismbarikiwa2 жыл бұрын
Amen amen yani Mungu azidi kukutumia i can feel the spirit of God in you while speaking Hii ni message kutoka Kwa Mungu Kwa Kila mwenye maono. Mimi nimeshapokea sasa nikufanyia kazi maana niko kwenye njia sahihi
@brackskinyozi32808 ай бұрын
Barikiwa Joel kwa🙏...kuendelea kutufungua
@VenanceRoy61 Жыл бұрын
Asante Mwalimu nashukuru sana kwa mafundisho mazuri ❤❤❤
@hellenismail43512 жыл бұрын
Nakupenda sanaaa.....Uinuliwe zaidi my dearest brother🥰🥰🥰🥰
@blessun2 жыл бұрын
Nakupenda Pia
@timothykengere25352 жыл бұрын
Amina na shukran Ndugu Nanauka 🎙️📚📚📚📚
@EsterChengula-o2w Жыл бұрын
Ameni,,,, mtumishi na Mungu akubariki Sana maana unanitia moyo
@WilliamJulius-p1q Жыл бұрын
Asante sema ukwel nimebadilika sana kwa sasa napenda kukushukulu sana na mungu akubaliki
@levinaboniephase11952 жыл бұрын
Mungu akuweke ili tuendelee kuishi maneno yako joel🙏🙏🙏
@nicholausmwageni34752 жыл бұрын
Unafanya kazi nzuri sana ya kutuelimisha
@paulfrenck23222 жыл бұрын
Ubarikiwe mtu wamungu
@yusufuheri65242 жыл бұрын
Asante sana my brother from another mother hakika sintokata tamaa kukufatilia
@mussaelia86932 жыл бұрын
Mr Joel naweza pata full link ya somo hili ???, Ntafurahi sana ombi langu likikufikia na ikikupendeza nami nipate kujua vema .
@justinebaada90792 жыл бұрын
Asante sana bro. Hakika nazidi kubarikiwa zaidi na namshukuru Mungu sana ktk hiki ninachokifanya kwasababu ninajua wito niliopewa
@victoriasarwat4736 Жыл бұрын
ubarikiwe kaka nimejifunza kitu Mungu azidi kukuinua
@WiniFrida-c6w29 күн бұрын
Mungu akulinde kka Yan mm umenibadisha Sana
@rejisimpassa80369 ай бұрын
Mtumishi barikiwa sana kwa ujumbe mzuri. Naomba kujua je! Kuna tofauti kati ya kusudi na maono?
@keflentito2318 Жыл бұрын
Mungu akuzidishie baraka na kukutunza
@hellenakabakama-nz1cw Жыл бұрын
Kaka mungu akubariki Sana unanibarki Sana kwa mafundisho y'ako
@esterhwago70472 жыл бұрын
Nakukubali Sana natamani Sana kuishi mafundisho yako......💪
@MagrethJames-fx8nj Жыл бұрын
Mungu akubariki,ujumbe mzuri
@petermunuo16572 жыл бұрын
Ahsante sana joel nanauka
@SelinaMasunga Жыл бұрын
Mungu akubariki❤
@MsabaaMwenebokyo Жыл бұрын
Be blessed Sir
@rhinakiza2 жыл бұрын
I started following from America 🇺🇸
@Mwamba672 жыл бұрын
Thank you teacher,,,!
@mohamedabbas66132 жыл бұрын
We always stick around bro Thanks 👍.
@agathamichael88182 жыл бұрын
🙏🏿🙏🏿🙏🏿Barikiwa kaka
@SamuelKale-l7wАй бұрын
Kaka Mungu akubariki kwa mafundisho yakutuchenga. Ni sammy kale kutoka kitale kenya.
@mponejafaustne7358 Жыл бұрын
Mngu akubariki Katka kusudi lako kaka pia na mm anifanyie wepes nijue kusud lang
@kuruthumukondo714911 ай бұрын
Shukrani kaka ❤❤
@VeronicaYenga2 күн бұрын
Kweli. Inauma sana,
@subirachristopher45262 жыл бұрын
kaka Angu nakupenda sana, Mungu akutunze sana na Akuongezee neema nyingi
@fatboykells23802 жыл бұрын
Ubarikiwe kaka🙏🏽
@sevelinamalamla91192 жыл бұрын
Ubarikiwe zaidi kaka
@njeriwababaa85072 жыл бұрын
God bless you more Joel 👍🙏 niko🇰🇪
@ezrayavan76862 жыл бұрын
Hakika, mafundisho ni mazuri sana
@FrankFabiani6 ай бұрын
Barikiwa
@peterswai3912 жыл бұрын
Nice facts 💯💪
@hopemedia81602 жыл бұрын
Mungu akubariki sana
@pizorlokiskune869 Жыл бұрын
Good hope..
@jonasebuela89752 жыл бұрын
Mungu akubariki
@almasyahya76102 жыл бұрын
Asante sana brother
@linnahally50992 жыл бұрын
God bless you man of God
@erickzakaria31432 жыл бұрын
Asante brother
@rabanphotostudionyakanazi_4115 Жыл бұрын
Barikiwa sana
@thrivehappy96102 жыл бұрын
Thanks brother
@agustinochilumba39852 жыл бұрын
Ubarikiwe
@eliudbeyanga85752 жыл бұрын
Nakubal kaka be blessed
@paulfrenck23222 жыл бұрын
Enderea kutujuza habari nzuli sana 😢
@switbethstanford28722 жыл бұрын
Love it💪
@mussakachemba8642 жыл бұрын
I REAL APPRICIATE YOUR WORK💯💯💯💯🙏 GOD BLESS YOU.
@mohammedrashid2906 Жыл бұрын
Nice
@mwanashagladys45812 жыл бұрын
Ameen
@Muka_262 жыл бұрын
Keep pushing broh
@djcoco_designer57392 жыл бұрын
Vizuri
@dicksonireveliani7152 жыл бұрын
Kaka nahisi nilichelewa kukujua nimejifunza mengi toka nianze kukufatilia
@Keyjop Жыл бұрын
Nimenza kujiuliza hili swali miezi kadhaa nyuma ...yaani kwa nn nilizaliwa ..😅