Asante sana kaka Joel kweli Kuna wakati mchaw wa maisha ya mtu unaweza kuwa nimtu mwenyewe mhusika
@fedricksunjira76 Жыл бұрын
My living style changed once I started to attend your reasons, thanks for that bro
@FidelisMsuta10 ай бұрын
Kaka nanauka namna unavyofundisha tu naenjoy kwa mafundisho yako ❤it is the best way to improve in my life
@SamuelWanjiru-rf2nm3 ай бұрын
I Like de way you teach sr.mimi nimwanafuzi wako.ninayo matokeo mematu kutoka kwako. Sina chakukulipa but may lord bless u.napenda KAZI Yako sana Asante kwakujitoa naelimu kwawatu mbiala kujari umeinua wengi sana Kenya mbila wewe kijua.
@teacher_dory Жыл бұрын
Nashukuru sana Kaka Joel naacha hii tabia ya kujisemea nafsini mwangu haya maneno.
@kiloyamisalaba3748 Жыл бұрын
Nafurahia lesson zako Mr Joel
@sharifaomary9518 Жыл бұрын
Najuta kuchelewa kukufahamu
@gllifetime8371 Жыл бұрын
Ni kweli Kabisa, kauli inaumba
@khadijamwinyi5873 Жыл бұрын
Nilisha wahi kuwaza yote hayo Ila nimetubu
@timothykengere2535 Жыл бұрын
Shukrani 📚📚📚📚
@issakisusi7138 Жыл бұрын
Asante sana JOEL Nafuatilia zaidi na kujifunza kupitia wewe,ubarikiwe daima
@violethmapunda3500 Жыл бұрын
Asante brother, hutakiwi kukata tamaa kl mtu uanguka na usimama tena na kusonga mbele haijalipi umepitia magumu gani simama kaza mwendo mungu wetu ni mwema sana na anatutakia mema.
@sophyeliah954 Жыл бұрын
I don't know what to write, but Asante brother umeniponya.
@justinebaada9079 Жыл бұрын
najifunza mengi sana kupitia video zako mentor wangu. Mungu azidi kukuinua zaidi
@gracekagoma3231 Жыл бұрын
Ni kweli
@dativamugashe5928 Жыл бұрын
Kuna wakati nilijinenea "Hakuna anayenijali" and seriously nilipitia Depression. Hata Kama mtu angenitendea wema vipi, nliona Kama vile ananinafikia. I've chosen to have self love and pick up the pieces. Thanks brother: be blessed 🤝
@emanuelboay554 Жыл бұрын
mimi sifai
@cutting_timeless_barbersho1701 Жыл бұрын
Aseee Lecture mmb yashakua mengi asilimia kubwa yanatokea jambo moja wapo nishapitia ila nililikataa kifkra
@ayoubbuchilly7456 Жыл бұрын
The power of subconscious mind
@peterprimy2011 Жыл бұрын
Mm kujiona sina dhamani kujdharau
@williammpiluka9952 Жыл бұрын
pamoja sanakwasomo.
@zerryzeinnovator1230 Жыл бұрын
See you at the top, tupo pamoja
@mosesfrancis8495 Жыл бұрын
Kweli
@joycesanga6951 Жыл бұрын
ASANTE
@bernadetachari7648 Жыл бұрын
Asante kwa wasia wako
@faudhiasalum7279 Жыл бұрын
Ahsante sana
@healinghomeprayercentre Жыл бұрын
Thank you sir
@fhyubhhh2881 Жыл бұрын
Haya yote yalishanisumbua kw kipindi kirefu
@shijandobehe4953 Жыл бұрын
Asante sana kaka
@fhyubhhh2881 Жыл бұрын
Thank you brother
@danfordbyemerwa3890 Жыл бұрын
see you at top Joel
@hasanasosports1137 Жыл бұрын
Thank you bro Joel
@neemabisendo5392 Жыл бұрын
Unasehemu yako sio bure, nikweli kabisa unachosema
@johngibson3089 Жыл бұрын
Asante
@mwanatz5980 Жыл бұрын
Asante sana
@allymuungwana6419 Жыл бұрын
Siku hizi video zako Zina sauti ya chini sana sijui kwanin
@josephatnicodemus Жыл бұрын
Brother nmeyapitia lakini sasaiv kwasababu ya mafundisho yako naimani nitabadilika. Ubarikiwe.
@gracethomas5298 Жыл бұрын
Nazidi kujifunza kila leo hakika nabarikiwa Sana na wewe
@nurdininanjota4056 Жыл бұрын
Thanks brother 🙏. But naomba kwa msahada juu ya somo la neck name mfano kujiita Masha the Don Nini athari yake na ipi faida zake Kama zipo. na uwalisia wakutumia Nick name ni upi.?
@christinasebastian Жыл бұрын
Thanks bro bt napenda nipate ebooks
@maranathagospelmessagesbyj1255 Жыл бұрын
KIUKWELI HILI NENO LA NNE LINANIHUSU MTUMISHI UBARIKIWE SANA NA MADHARA YAKE NIMEYAONA, SO SUBIRI PART TWO YA SOMO HILI NAMNA YA KUEPUKA MADHARA YALIYOSABABISHWA NA KUJIAMBIA MANENO HAYA. YESU AENDELEE KUKUTUNZA.🤣🤣👏👏👂👂
@siahraphael9349 Жыл бұрын
Kaka mm nikonachangamoto kubwa ya madeni na sijui nifanye nini sasaivi maana bank hawana utani kabisa na nimeshindwa kurejesha mwenz januari mpaka leo sijarejesha hata robo yaani nimechanganyikiwa sijui hata nianzie wapi naomba ushauri wako Baba yangu.