No video

AUDIO BOOK: ISHINDE TABIA YA KUGHAIRISHA MAMBO - JOEL NANAUKA

  Рет қаралды 33,541

Joel Nanauka

Joel Nanauka

Күн бұрын

🔥🔥🔥 Unataka KUJIFUNZA Zaidi? Nenda hapa: joelnanauka.se... 🔥🔥🔥

Пікірлер: 108
@samwelojwang3043
@samwelojwang3043 Жыл бұрын
Umenitoa mbali sana mwalimu videos zako zimebadilisha maisha yangu, ubarikiwe mchungaji Mimi ni shabiki wako sana nikiwa Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@nitunda
@nitunda Жыл бұрын
kabisa ame tu towa mbali kabisa
@abdulrahmanhassan9254
@abdulrahmanhassan9254 Жыл бұрын
hichi kitabu kilinisaidia shukran sana mwalimu, pia umefanya vizuri sana kuweka kitabu kwa sauti kwa vitabu vilivyopita endelea hivyo hivyo mwenyezi mungu akubariki. tunaomba muendelezo wa vitabu kwa sauti vile vitabu vilivyo pita yaani vitabu ambayo vimeshakulipa.
@herbertbavuma7228
@herbertbavuma7228 Жыл бұрын
Ukiona hv unabaini hii T.O haikuwa yamchongo, keep ongoing br may Lord God bless u as much ur saving ur society. We also see u at the top.
@Prudentssmamtui
@Prudentssmamtui 3 ай бұрын
Hakika kaka Joeli Mungu kakupa kipaji na unakitumia umenita mbali..
@user-be9ev6xd6m
@user-be9ev6xd6m 7 ай бұрын
Mungu akuweke mwalimu wangu Amin
@nestorymapunda6441
@nestorymapunda6441 Жыл бұрын
Binafsi napenda sana vitabu vya audiobook ubarikiwe sana kaka joel
@gabrielmhina8216
@gabrielmhina8216 5 ай бұрын
Asante sana Joel Umenifaa sana.Mungu akubariki.
@amosmahona433
@amosmahona433 4 ай бұрын
ASante sana kwa elimu.Nimeitumia na nimeona mafanikio
@user-wy6re9be2g
@user-wy6re9be2g 8 ай бұрын
Nashukuru sana Kaka kwa kitabu hiki kizuri... Naanza Leo kuyafanyia kazi
@nestoryvenance4258
@nestoryvenance4258 8 ай бұрын
Nime jifunza kaka na nipata elimu kuhusu kugailisha màmbo asante
@user-ipallangyo
@user-ipallangyo Жыл бұрын
I am glade that you know why you was born
@MustafaShomari-nh7pn
@MustafaShomari-nh7pn 5 ай бұрын
Asante kaka najitaidi Sana kukutangaza ubalikiWe
@IngabireAisha3813
@IngabireAisha3813 10 ай бұрын
Kuna zaidi ❤❤❤❤
@karimabdoul7619
@karimabdoul7619 Жыл бұрын
Mwalimu Asante sana,ubaarikiwe Tuna hitaji Audio book ya Elimu ya Fedha, Na ipi Biashara ya kufanya. Nina omba Mwalim 🙏🙏.
@rajabumkwizu2050
@rajabumkwizu2050 Жыл бұрын
Kaka Joel kusemakweli nimekisikiliza iki kutabu umenipa kimenipa maono nakupa asante mimi ni MR. Rajabu billionea mwenye umli mdogo nimeiyona keshoyangu asante 🙏 barikiwa sana amina
@amanijoseph9497
@amanijoseph9497 Жыл бұрын
Ahsante Mentor. Ahsante Teacher. Ahsante Joel. Umenikomboa, Umetukomboa Wengi. Binafsi Ninapenda Kusikiliza Kuliko Kusoma. 🙏🙏🙏🙏🙏
@amosmahona433
@amosmahona433 4 ай бұрын
ASante sana kwa elimu
@stellanyato3644
@stellanyato3644 11 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥pastor
@mussakachemba3739
@mussakachemba3739 Жыл бұрын
Fanya na vitabu vingine joel.
@moxmulo825
@moxmulo825 Жыл бұрын
Aisee bro joel nimesikiliza mwanzo mwisho kwakweli nimejifunza vitu muhimu sana ambavyo kiukweli nikifanyia kazi naona kabisa vitu vitakuja kufunguka. Mungu akubariki pia kwa kuendelea kutupa nondo muhimu zinazotusaidia kwenye maisha yetu ya kila siku.🙏
@joelnanauka
@joelnanauka Жыл бұрын
Ahsante sana, tuendelee kujifunza na endelea kuwaalika na wengine.
@nellyswithin6299
@nellyswithin6299 7 ай бұрын
Ubarikiwe
@muhamedkhamiss8882
@muhamedkhamiss8882 Жыл бұрын
Kaka mkubwa .Aina ya voice nimeikubali haina tofauti na wale ,safi cn uko good
@calvinulomi4144
@calvinulomi4144 Жыл бұрын
Nimejifunza vingi sana kaka Joel..kupitia wewe. Be blessed indeed our mentor 🙏
@pauljosephtarimo2279
@pauljosephtarimo2279 Жыл бұрын
Hongera sana
@HellenaAkinyi23_30
@HellenaAkinyi23_30 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana coach Joel kwa kushare huu maarifa kuu kwa youtube... You're a blessing in my life 😇 Eagerly waiting to hear your reading coach🤗
@joelnanauka
@joelnanauka Жыл бұрын
Ameen, thank you and remain blessed
@HellenaAkinyi23_30
@HellenaAkinyi23_30 Жыл бұрын
@@joelnanauka I'm humbled
@erastoshelukindo932
@erastoshelukindo932 Жыл бұрын
Napateje hiki kitabu?
@jamilayuvenal5033
@jamilayuvenal5033 Жыл бұрын
My couch for sure yote unayo ya zungumzaga, yana gusa maisha yanguu, kwel umenibadilisha Sana mwalimu, saiv nimeacha kuangalia vitu visivyo na maana mtandaoni badala yake najifunza vitu mbalimbali kutoka kwako na wengine Kama ww
@habibismael4937
@habibismael4937 Жыл бұрын
Mmh Asante love from 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@zakayolugala4984
@zakayolugala4984 11 ай бұрын
Munguakujalie maishamarefu nimejifuza mengi naninaendelea kukufuatilia
@binjafa6362
@binjafa6362 Жыл бұрын
Nipo naww kaka umenisaidia mambo mengi sn
@patrickpatrick6386
@patrickpatrick6386 Жыл бұрын
Shukrana
@reiphan9894
@reiphan9894 Жыл бұрын
Ubarikiwe zaidi Nanauka
@saidagalu2914
@saidagalu2914 Жыл бұрын
Mungu akubariki nimejifunza na ntafikia mbali ahsante sana
@nurdin8202
@nurdin8202 Жыл бұрын
Ahsante Sana nakuombea Kwa mungu akupe umri mrefu uendelee kutufundisha Mimi nilifeli form four baadae nilikusikiza nikarudia Tena nikafaulu kwasasa nipo chuo kikuuu ahsnte
@simbamaepo3192
@simbamaepo3192 Жыл бұрын
Good creativity kwa kutusomea kitabu kizima. Hongera Mwalimu
@nitunda
@nitunda Жыл бұрын
mwalimu ame weza kabisa
@simbamaepo3192
@simbamaepo3192 Жыл бұрын
@@nitunda haina ubishi
@maboyiamurani331
@maboyiamurani331 Жыл бұрын
Ndugu Asante kwa kurefusha masomo tunashukuru mungu akulinde
@user-ml2yn8iz6r
@user-ml2yn8iz6r 8 ай бұрын
Leo Tar 1.12.2023, ninaanza kufuatilia video na coachings zoooote you have beeen sharing. I hope i am going to change, nitarudi na ushuhuda haphapa. Thank you in advance.
@suzanamushi4567
@suzanamushi4567 Жыл бұрын
nimeanza kutumia 2 mnts rule, duuh it works aisee, ndo nimeanza rasmi, Thanks Joel
@williamkilulu2222
@williamkilulu2222 Жыл бұрын
kaka joel, kwa maneno yako naweza kusema unanifufua kila siku, hakika kwa mafanikio yangu yote sito kusaau, naitwa william dk naishi canada🇨🇦 ila tanzania nimezaliwa
@williamkilulu2222
@williamkilulu2222 Жыл бұрын
mungu akupe maisha marefu mafanikio yetu yawe kwa kizazi chako kijacho..
@abduvensapa
@abduvensapa Жыл бұрын
great work Couch
@dorahmatitu2554
@dorahmatitu2554 Жыл бұрын
Hbr my kaka. Yaaan ubarikiwe sana. Mungu akubariki sana kwa kazi zako 🙏🤝. Shukran sana nimejfunza sana. Nitatafuta vtabu
@alexbushishi8342
@alexbushishi8342 Жыл бұрын
Limbic & Prefontal Contex ⏱️ for time management.💯
@user-vo8go4zj6t
@user-vo8go4zj6t 5 ай бұрын
😢Mm ni muhanga hususani matumiz makubwa ya kimtandao, kuliko kazi, pia najua kua mziki wakidunia ni dhambi Lakin nashindwa kuacha kusikiliza kutokana na upweke nilio nao nataman Hali hii initoke kabisa😢
@user-ipallangyo
@user-ipallangyo Жыл бұрын
Thank you so much for this content, God bless you so much, I promise you I gonna change in Jesus name
@hassanomary7353
@hassanomary7353 Жыл бұрын
Asante sana Kwa kutuamsha
@francischiwangafrans3161
@francischiwangafrans3161 Жыл бұрын
Brazer somo zuri,Naomba namba zako ili tupate vitabu
@nassorokigeta9802
@nassorokigeta9802 Жыл бұрын
Naomba nikushukuru kwamara yakwanza mkuu nanauka mm nimepata mafanikio mengi sana kupitia kwako mungu akujalie kila lililo jema kwako amin
@abelgeorge7535
@abelgeorge7535 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana kaka kitabu chako nilikisoma na kwa hakika kimenisaidia sana kuondokana na tabia ya kughairisha mambo
@joelnanauka
@joelnanauka Жыл бұрын
Hongera sana sana👏🏼👏🏼👏🏼
@user-uo4ug1ym2e
@user-uo4ug1ym2e 6 ай бұрын
Asante
@kigoracredit7314
@kigoracredit7314 Жыл бұрын
Safi sana kaka hii ndio nzul sana tulio wengi hatupendi kusoma ila tunapenda kusikiliza sana
@wiliamabdallah7714
@wiliamabdallah7714 Жыл бұрын
Asante Sana kaka Joel Mimi binafsi unanijenga japo nipo Veta nasoma level two naendea kujivunia uwepo wako Pia nazidi soma kitabu chako cha Timiza Malengo Asante sana...Bwana akubariki
@nvpmedia6467
@nvpmedia6467 Жыл бұрын
Kanuni ya 18/40/60 imenisaidia sana Mkuu mimi kama kijana tangu nilipo jifunza nina fanikiwa kufanikisha Mambo niliyo yapanga kufanya bila kujali kua kuna watu au jamaa watanitazamaje au watasemaje. MUNGU AZIDI KUKUTUMIA PASTOR JOEL NANAUKA See U at the top
@vickymollel9867
@vickymollel9867 Жыл бұрын
Nimevuka hakika, naweza kufanya vikubwa kuanzia Sasa. MUNGU akubariki. Lakini naomba na kwa vitabu vingine ufanye hivi Ili kuwasaidia pia wenye changamoto ya uoni🙏🙏
@jovanafidelis2802
@jovanafidelis2802 Жыл бұрын
Yaani nimelengwa Moja Kwa Moja Hadi nahisi nimechomwa mkuki khaaa
@odhiaodhia9898
@odhiaodhia9898 Жыл бұрын
Jeuri yangu mjini na utajiri ninao miliki unatokana na kitabu cha kughairisha mambo
@muniraahmed8794
@muniraahmed8794 Жыл бұрын
Hongera Joel Mungu akulinde
@housemanagmentfinishing1151
@housemanagmentfinishing1151 Жыл бұрын
shukrani bradha Joel kwa elimu pana
@subiramahmoud6863
@subiramahmoud6863 Жыл бұрын
Nanauka , barikiwa brother ❤️❤️❤️
@daktariwamauzo
@daktariwamauzo Жыл бұрын
Nilikisoma miaka 4 iliyopita, kimenisaidia sana kufocus, ahsante sana!
@amaniupendo1078
@amaniupendo1078 Жыл бұрын
Merci beaucoup pour ton précieux livre. Vraiment il est très riche. Plus encore, ta voix qui lit. C'est comme si tu me parle directement. Be blessed. 🇨🇩🇨🇩
@devothasimbi6495
@devothasimbi6495 Жыл бұрын
C'est vrai.
@nitunda
@nitunda Жыл бұрын
jambo andika kiswahili 😂😂
@omarjuma1794
@omarjuma1794 Жыл бұрын
#JoelArthurNanauka Jenius By Discovery
@alonemakanyaga1760
@alonemakanyaga1760 Жыл бұрын
Nalewa sana kaka joel
@hashimjj1165
@hashimjj1165 8 ай бұрын
Kaka shukrani sana
@babyhamisi1437
@babyhamisi1437 Жыл бұрын
Congratulations dear, great job
@muhammedwakif6216
@muhammedwakif6216 Жыл бұрын
Kubadilika ni njia ngumu sana lkn inahitaji subra na plans na kudum nayo Naamini video zako ni njia moja lakini umuhimu zaidi ni ww mwenyewe kuwa tayari ahsante kwa maneno mazuri na yenye kutia hamasa
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 Жыл бұрын
Subiri ni download 🙌🙌🙌🙌💃😍iiii video 💔
@giserahenerico5185
@giserahenerico5185 Жыл бұрын
Naamin mahamzi yangu nikiyoyaogopa kuyafanya kwa mda mrefi hapa dawa imeshapatikana kujiamni na kufanya bila kughaili mungu anishike mkona mafanikio tumeumbiwa wote hapa duniani kumbe
@selemanihussein7873
@selemanihussein7873 Жыл бұрын
Thank you for the gift
@hamzermahundu6371
@hamzermahundu6371 Жыл бұрын
Nipoo
@ibrahphones9945
@ibrahphones9945 Жыл бұрын
Salute mkuu mungu ata zidi kukubariki coz umenitoa kwenye gizaaa
@deboramenard1855
@deboramenard1855 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana kaka
@domimido8460
@domimido8460 Жыл бұрын
Sijui mi ntaoa lini jaman Yan Kila nikipanga naona maisha ya ndoa yatanishinda sio kwa kuogopa huku na miaka inakimbia kinyama daaah
@matukiotv1146
@matukiotv1146 Жыл бұрын
My mental master amefikia kwenye game la *Audibook* Someone said ..YEAH. Lem see.... Nimegundua wanaokomenti huku woooote ni Mabilionea miaka michache ijayo. aamin lab...
@dkalbertoanyasime9357
@dkalbertoanyasime9357 Жыл бұрын
Heko sana nanauka
@teamfocusfunny966
@teamfocusfunny966 Жыл бұрын
Hizi mbinu zilinisaidia sana kipindi nipo Secondary,ulifundishaga Clouds kwenye kipindi Cha terminal
@daktariwamauzo
@daktariwamauzo Жыл бұрын
At that time nilikuwa kidato cha tano, kilinisaidia sana na mimi, nilisikiliza CLOUDS FM
@ndumefit2141
@ndumefit2141 Жыл бұрын
Kaka je audio ipo kwenye boardcast
@mwinjatheson2367
@mwinjatheson2367 Жыл бұрын
Asant sana kiongozi nahitaji vitabu vyako
@joelnanauka
@joelnanauka Жыл бұрын
Karibu sana 0762 31 21 71
@muhamadharun9432
@muhamadharun9432 10 ай бұрын
Hii content nzuri sana thank you kaka 🙏🏾
@innocentswai6239
@innocentswai6239 Жыл бұрын
nzur sana life coach ila ningepndkez uwe unaweka may be audio mark au boom play
@yusufuheri6524
@yusufuheri6524 Жыл бұрын
Asante studios
@mwatanojongo9306
@mwatanojongo9306 Жыл бұрын
daaaah kwakweli unanishibisha ubongo kk yani kitabu icho nnacho na jinsi nilivo kielewa uwa napenda kukirudia kusoma mara kwa mara kk
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 Жыл бұрын
Awesome 💐
@edwardkachwele7299
@edwardkachwele7299 Жыл бұрын
Hakika bro
@ghfhfdtyfgggd6271
@ghfhfdtyfgggd6271 Жыл бұрын
Tunasubili na vitabu vingine.Mutuwekee
@rosenaafya9356
@rosenaafya9356 Жыл бұрын
Uwiiiiiiii😫😫😫😫 uyo ni mimi 🥹🥹
@samwelimwanja4105
@samwelimwanja4105 Жыл бұрын
Tupo pamoja
@abdallahmakombo3866
@abdallahmakombo3866 Жыл бұрын
TABIA NZURI NI NGUMU KUIJENGA NA NI RAHISI KUIACHA "JOEL NANAUKA
@khadijajuma7142
@khadijajuma7142 Жыл бұрын
Kitabu ninacho na Audio hii Nitadownload. 😁shukran sana
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 Жыл бұрын
Hongera Dea madini ayo ume nunuwa wapi naomba na mim basi nisome
@khadijajuma7142
@khadijajuma7142 Жыл бұрын
@@faudhiasalum7279 Nilinunua Dar kwenye book shop zake Joel pale ubungo. Ila niliondoka nacho, ningekua karibu ningekuletea usome Dea.
@halimahleema5165
@halimahleema5165 Жыл бұрын
Mchungaji wewe niwabaraka Sana kwangu Ila ninaombi tusaidie kutubadilishia audio za secret books mara nyingi vitu vingi vinatupika lkn tunaitaji kujifunza Kwa Lunga raisi za kiswahili
@veronicawangari8089
@veronicawangari8089 Жыл бұрын
Niko dani kabisa 🤣
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 Жыл бұрын
💔
@mwanatz5980
@mwanatz5980 Жыл бұрын
Asante
@user-gy1lb9fo2b
@user-gy1lb9fo2b Жыл бұрын
Natamani ningejua haya mapema nilihairisha jambo wenzangu wapo juu walioendelea wamenizidi mara dufu
NGUVU YA ZIADA KWENYE KUWEKA MALENGO - JOEL NANAUKA
41:10
Joel Nanauka
Рет қаралды 120 М.
ISHINDE TABIA YA KUGHAIRISHA MAMBO SEHEMU YA PILI
35:42
Harris Kapiga
Рет қаралды 67 М.
КТО ЛЮБИТ ГРИБЫ?? #shorts
00:24
Паша Осадчий
Рет қаралды 2,4 МЛН
Zombie Boy Saved My Life 💚
00:29
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 21 МЛН
7 Days Stranded In A Cave
17:59
MrBeast
Рет қаралды 91 МЛН
Please Help Barry Choose His Real Son
00:23
Garri Creative
Рет қаралды 22 МЛН
Uchambuzi Wa Kitabu Cha How To Stop Worrying And Start Living
27:44
GODIUS RWEYONGEZA
Рет қаралды 4,5 М.
MAMBO 10 YA KUKUSAIDIA KUSHINDA TATIZO LOLOTE LILE
29:50
Success Path Network
Рет қаралды 52 М.
CREATING GENERATION OF WEALTH CREATORS - JOEL NANAUKA
1:51:07
Joel Nanauka
Рет қаралды 31 М.
The Richest Man in Babylon Summary in Swahili by Mwl. Augustino Mwogosi
45:27
UKOMAVU WA KIAKILI (MENTAL TOUGHNESS) - JOEL NANAUKA
1:11:22
Joel Nanauka
Рет қаралды 189 М.
UHURU WA KWELI WA KIFEDHA - JOEL NANAUKA
1:14:26
Joel Nanauka
Рет қаралды 48 М.
JINSI YA KUJITAYARISJHA KWA KUZUNGUMZA - JOEL NANAUKA
14:13
Joel Nanauka
Рет қаралды 12 М.
КТО ЛЮБИТ ГРИБЫ?? #shorts
00:24
Паша Осадчий
Рет қаралды 2,4 МЛН