Kwani watu huamka wakingoja vidio za Joel tupa like tukijifunza zaidi apa
@boscobalame8018 Жыл бұрын
Sante Joel Hata hivo Malengo Yangu Kuwa mkubwa Kwahyo Umeniandaa Mapema Ubarikiwe Sana 🤝 I'm Musician Band GOSPEL
@mussakubari3920 Жыл бұрын
kaka umenipa somo kubwa sana Mimi Nia uyo mtu nanilikua siyajui hayo mambo Asante kaka
@Rivadetalentboy Жыл бұрын
Asante bro umenifunza kitu kwenye kipaji changu🎻🎻🎻
@barakamsungu5260 Жыл бұрын
Wisdom, endelea brother unatusaidia sana Mungu akutunze.
@nassoromussa2423 Жыл бұрын
Dah! Yaani afadhali maana ni juzi tu nilikuwa na mtu mwenye hadhi kidogo serikalini basi kilichofuata ni kuanza kuulizwa maswali mingi kumuhusu. Kama mungu sikuwa tayari kumuelezea! Asante ndg. Joel.
@izacklukumai7658 Жыл бұрын
Barikiwa sana Mtu wa Mungu
@timothykengere2535 Жыл бұрын
Shukrani Ndugu Nanauka ukweli mtupu📚📚📚 🎙️.
@mshimbalufatiye9724 Жыл бұрын
Uko vzr
@esterjass9338 Жыл бұрын
Ahsante Sana Kaka nanauka kwa kunifungua mapeeema. Barikiwa Sana Kaka yangu
@juaupekeewako Жыл бұрын
Kitu kisababishacho watu kua hivo ni asili ya ndani ya binadamu,,lakini njia nyingine nzuri itakayosaidia watu Joel ni pale watu watakapoanza kujua their identities in spiritual na pia wajue wamekutana na hao watu maarufu kwasababu maalumu kwa muda Fulani,,,na amelaaniwa amtegemeaye mwanadamu pia kupenda pesa ni chanzo Cha maovu yote
@omarimtau5162 Жыл бұрын
Brother Joel Nanauka.. Mimi nadhani watu wengi wanakosea kwenye kumtwisha majukumu na mahitaji ya kila siku pamoja na kumuelezea na kujifanya anamjua sana kuliko anavyo jijua yeye mwenyewe.. **Difficult doesn't mean impossible**
@ladslauspius4845 Жыл бұрын
Mungu akubariki
@abdulkarimmohammedingobeke9454 Жыл бұрын
Ubarikiwe kaka.
@jonfredkewe3451 Жыл бұрын
Jamaa alizaliwa kwa faida
@andrewmwitika8487 Жыл бұрын
Sante sana
@farajalivingstone2538 Жыл бұрын
Amen amen amen! Mungu akubariki sana,Mtumishi wa Mungu
@wahda1976 Жыл бұрын
Asante sana kaka Joel
@sokanavitabusokavi8322 Жыл бұрын
Jinsi ya kuwa ”Chawa Mwerevu”
@esterjass9338 Жыл бұрын
Najaribu kuchangia, point nyingine Ni mazoea. Unaweza kukuta mtu maarufu ukiwa naye mbali unakuwa unamuheshimu Sana, Ila akikusogeza Sana mazoea yanaanza, heshima Inapungua na ukijua madhaifu yake ndo baasi unaanza dharau. Hii nayo Ni shida pia
@shukranjulius9526 Жыл бұрын
Amina barikiwa zaidi kaka umenifundisha kitu cha kujifunza kwenye maisha ya uaminifu wa kutunza taarifa za mtu ambae ameniamini
@christophernilongo364 Жыл бұрын
Shukran Sanaa kwa Ushauli uliojitosheleza wa viwango juu
@faudhiasalum7279 Жыл бұрын
Ahsante 😘
@neemaryan9947 Жыл бұрын
Shukran sana kaka Joel. Nilikua sifahamu haya kabisa,, imebidi nirudie video hii Mara mbili.
@abihahak Жыл бұрын
Ahsante kwa mafunzo!
@jumanzanywenimana9158 Жыл бұрын
God bless My brother 🙏
@ndihokubwayoherman2473 Жыл бұрын
Good advice
@janicejohn62 Жыл бұрын
Watu wengi tunakosea sana. Kuna mtu hafanyi tens jitihada za kujikwamua kisa yuko karibu na mtu Fulani. Kila wakati yuko nyumbani kwake anaomba hela . Hadi anageuka kuwa kero
@ahz6907 Жыл бұрын
Ni ushamba tu.haswa hiki kizazi cha dotcom.
@khadijakisingo7920 Жыл бұрын
Joel thanks so much 🙏💗
@zenarajabu3624 Жыл бұрын
Omba maarifa yatadumu, ila usiombe malighafi au pesa havitokufaa kwani vina muda wa kuisha au kuharibika.